Jaji aliyesoma hukumu ya CHADEMA ni Mzanzibar? Aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar

Nawashangaa sana wale CCM Watanganyika, wenye uwendawazimu, wanaoshabikia na kufurahia ushenzi wa haliya juu unaofanywa na wazanzibari dhidi ya Tanganyika:

Q. Waliopora bandari za Tanganyika na kwapa waarabu wote ni wazanzibari (waziri, katibu mkuu, mwanasheria mpaka mkurugenzi wa bandari ya Dar)

2. Walippora mbuga za wanyama na kuwapa waarabu, ni mkwe wa Rais, kwa kumwoa mzanzibari, naye ni mzanzibari.

3. Waliopora uwanja wa ndege na kuwapa waarabu, ni wazanzibari.
4. Wanaotaka kuifuta CHADEMA, kuanzia walioshtaki mpaka jaji, ni wazanzibari, japo huyo jaji amekulia Tanganyika, lakini kiasili ni mzanzibari.

5. Msimamizi wa kikundi kisicho rasmi, kikundi cha watekaji na wauaji ni mwanafamilia.

NB: Wazanzibari wameamua kuipora Tanganyika halafu kuna watanganyika wasaliti, wajinga wasio na uzalendo kwa Tanganyika, wanashabikia huu ushenzi dhidi ya Tanganyika yao. Enyi wasaliti, hata kama hamuipendi CHADEMA, ipendeni Tanganyika yenu.

Kwa hapa tulipofikia, ni aheri wazanzibari warudi kwao kwani kuwepo kwao Tanganyika ni hasara na madhira makubwa kwa Tanganyika.
Mumezoea kuiba,wakiwekwa wengine,mnaumia,mwataka kuiba tu
 
Acheni wizi,mumezoea kuiba,wakipewa wengine,mnaumia
 
Nauliza tu huyu mtu ni Mzanzibar? kama ndiyo, vipi kuhusu mahusiano yake na hukumu aliyotoa ambayo iligubikwa na utata?

Huyu Jaji aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar kabla hajawa Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.

Hata kama ni suala la kurafsiriwa kama ubaguzi potelea mbali. Mwenendo wa Wazanzibar kwa Tanganyika hauko sawa. Kuna namna wanatuharibia ustawi wetu kama Tanganyika.
View attachment 3363996
Huyu ni mpare mtu wa Usangu ni ndugu wa karibu na Diwani Athuman Msuya former DGIS , Ni -TISS pia
Alikua anafanya kazi na Mchengerwa maafisa wa kumsaidia Jaji kuandika hukumu ..huko kote alikopita NEC na ZEC ilikua ni kufanikisha kazi ya CCM ndo amezawadiwa Ujaji.
Moja ya kesi yake kubwa kusimamia ni ile ya jamaa kumchoma mke wake kwa gunia la mkaa basi.
 
Nauliza tu huyu mtu ni Mzanzibar? kama ndiyo, vipi kuhusu mahusiano yake na hukumu aliyotoa ambayo iligubikwa na utata?

Huyu Jaji aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar kabla hajawa Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.

Hata kama ni suala la kurafsiriwa kama ubaguzi potelea mbali. Mwenendo wa Wazanzibar kwa Tanganyika hauko sawa. Kuna namna wanatuharibia ustawi wetu kama Tanganyika.
View attachment 3363996
Rais Samia ni Mzanzibari, kawatumia wazanzibari wenzake walikokuwa wanachama wa Chadema kufungua kesi kuikwamisha Chadema, kamtumia Jaji wa mchongo Mzanzibari mwenzake kuifungia Chadema kufanya shughuli zozote za kisiasa. Hivi nyie maccm Watanganyika hamuoni aibu kuiuza Tanganyika kwa Zanzibar, kodi zetu ndiyo zinaijenga Zanzibar kwa kasi ya 5G, Watanganyika wanatumiwa kuwateka na kuwaua Watanganyika wenzao ili Mzanzibari aendelee kuitawala Tanganyika. hakika kuna siku mtalipa kwa usaliti huu.
 
Nauliza tu huyu mtu ni Mzanzibar? kama ndiyo, vipi kuhusu mahusiano yake na hukumu aliyotoa ambayo iligubikwa na utata?

Huyu Jaji aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar kabla hajawa Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.

Hata kama ni suala la kurafsiriwa kama ubaguzi potelea mbali. Mwenendo wa Wazanzibar kwa Tanganyika hauko sawa. Kuna namna wanatuharibia ustawi wetu kama Tanganyika.
View attachment 3363996
Acha kumung'unya maneno. Bibi Kizimkazi amatengeneza mpango maalim na timu selected ya Wazanzibari kuiharibu kabisa Tanganyika, just check the patterns it's all crystal clear.
Mzanzibari(though he grew up in Tanganyika) judge kuhukumu kesi ya CHADEMA, Wazanzibari kuifungulia kesi CHADEMA ambayo ni kiini macho tu ila msingi wa sarakasi zote ni Chura Kiziwi mambo yake yaende smoothly kwani hekaheka za CHADEMA ndiyo pia zinawapa nguvu wale wanaompinga ndani ya hicho chama chao(CCM) cha wafi*raji, watekaji na wauaji.
Kwa kifupi Tanganyika kuweza tena kujikwamua kutoka katika makucha ya Wazanzibari it's an uphill task to say the painful truth, Watanganyika wengi kwa sasa wana-survive kwa uchawa na uchumi uko kwa wanaouza mali na miradi ya Tanganyika ambapo muuzaji mkuu ni huyo bibi na baadhi ya wanufaika ni Watanganyika walio katika flow ya hizo pesa za Waarabu.
Kila kitu kipo wazi ila njaa za chawa na wana platforms za kupigia kelele kulinda huo ujambazi, Tanganyika inatia huruma.
 
Nauliza tu huyu mtu ni Mzanzibar? kama ndiyo, vipi kuhusu mahusiano yake na hukumu aliyotoa ambayo iligubikwa na utata?

Huyu Jaji aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar kabla hajawa Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.

Hata kama ni suala la kurafsiriwa kama ubaguzi potelea mbali. Mwenendo wa Wazanzibar kwa Tanganyika hauko sawa. Kuna namna wanatuharibia ustawi wetu kama Tanganyika.
View attachment 3363996
downloadfile-1.jpg
 
Kuna ulazima wa kuwa na Katiba Mpya itokanayo na matakwa ya Wananchi kabla ya mambo kuharibika kabisa.

Kuendelea kuruhusu mtu mmoja kuchagua kundi la watu wake wa wa karibu kuendeleza utawala wake wa mabavu kwenye karne hii ya 21, ni hatari sana kwa mustakabari wa Taifa letu.
 
Haya yote yakitokea nafurahia kwa sababu Watanganyika tumegeuka kuwa Machawa na kuisahau Tanganyika yetu. Acha Wanzanzibar watutawale
 
Nauliza tu huyu mtu ni Mzanzibar? kama ndiyo, vipi kuhusu mahusiano yake na hukumu aliyotoa ambayo iligubikwa na utata?

Huyu Jaji aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar kabla hajawa Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.

Hata kama ni suala la kurafsiriwa kama ubaguzi potelea mbali. Mwenendo wa Wazanzibar kwa Tanganyika hauko sawa. Kuna namna wanatuharibia ustawi wetu kama Tanganyika.
View attachment 3363996
CCM inawavuruga hadi sasa mnashindwa kumjua adui yenu ni nani!
Baada ya miaka zaidi ya 60 ya uhuru ni mara ya kwanza Tanganyika kuongozwa na Rais mzanzibari kama mnavyodai, swali hao maraisi wazawa waliopita walifanya nini cha maana zaidi ya ufisadi, kung'ang'ania madaraka na kuhakikisha raisi anaekuja analinda maslahi yao.
mkianza kutafafuta wazanzibar wanaofanya kazi Tangayika angalieni na watanganyika wangapi wanafanya kazi zanzibar mkianzia na rais wa zanzibar Dr Huseni Mwinyi
 
Mfungua kesi ni mzanzibar ,msoma hukumu ni mzanzibar aliye mteua msoma hukumu bila shaka naye ni mzanzibar 😏😏😏 kwa Hal hii maji mtaita mma
 
Ivi jaji akitoa hukumu,historia si huwa inamuhukumu pia??!
I mean itafika mahali watu watarejea maamuzi ya kesi yake apo ndo wataposhangaa ilikuaje akatoa maamuzi kama hayo!!
Hii dunia tunapita tu.!
 
Na kwanini apewe nafasi za kiutawala Tanganyika?, hili liko sawa!!.
Kiufupi Hiko hv mzanzibar ana haki ya kuja Tanganyika na kupewa madaraka yoyote Yale serikalini na ata kwenye utumishi wa umma lkn ww Mtanganyika huna ata haki ya kupewa ubalozi wa Nyumba Kumi kule Zanzibar
 
Nauliza tu huyu mtu ni Mzanzibar? kama ndiyo, vipi kuhusu mahusiano yake na hukumu aliyotoa ambayo iligubikwa na utata?

Huyu Jaji aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar kabla hajawa Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.

Hata kama ni suala la kurafsiriwa kama ubaguzi potelea mbali. Mwenendo wa Wazanzibar kwa Tanganyika hauko sawa. Kuna namna wanatuharibia ustawi wetu kama Tanganyika.
View attachment 3363996
Tanganyika idai uhuru wake muungano ufe kila mmoja akae kwake maana watanganyika wanataabika kwa mateso ya mkoloni kaburu toka Zanzibar
 
Ivi jaji akitoa hukumu,historia si huwa inamuhukumu pia??!
I mean itafika mahali watu watarejea maamuzi ya kesi yake apo ndo wataposhangaa ilikuaje akatoa maamuzi kama hayo!!
Hii dunia tunapita tu.!
Dawa yake ni kusomewa Alibadiri nyingi pia washitakiwe kwenye mahakama ya uhalifu ya kimataifa The Hague
 
Nauliza tu huyu mtu ni Mzanzibar? kama ndiyo, vipi kuhusu mahusiano yake na hukumu aliyotoa ambayo iligubikwa na utata?

Huyu Jaji aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar kabla hajawa Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.

Hata kama ni suala la kurafsiriwa kama ubaguzi potelea mbali. Mwenendo wa Wazanzibar kwa Tanganyika hauko sawa. Kuna namna wanatuharibia ustawi wetu kama Tanganyika.
View attachment 3363996
Huyo ni Mtanganyika mwenzenu, sio Mzanzibari.
Kila jumba bovu mnaliangushia Zanzibar.
 
ibirisi wa ccm wanatajirika wanakuwa mabilionea kwa kuiba pesa za walipa kodi Hazina bilion 15 na zingine nyingi kwa kazi ya kukandamiza demokrasia utekaji mauaji kuwabambikia kesi za uongo kufunga makanisa na sasa kuzuia mikutano ya chadema kwa njia haramu za kishetani, wizi mpya huyo jaji kapewa mabilioni kama aliyopewa IGP Polisiccm Bashungwa Amos makala chawaccm na mbowe, Nchi inafirisiwa kwa matumizi haramu ya pesa za walipa kodi, wapinzani wanateswa wanataabika lakini ibirisi wa ccm wanatajirika wanajilundikia mali binafsi
 
Back
Top Bottom