Kila mmoja akae kwake muungano ufeWako wengi kila sekta sio yeye tuu
Kila mmoja akae kwake muungano ufeWako wengi kila sekta sio yeye tuu
Mnaiota, isingekuwa iko midomoni kwenu for every minute.Hakuna anayeiota Zanzibar wewe matako
Muungano ufe kila mmoja akae kwake huyo mtu mmoja arejee Tanganyika zipo fursa nyingiTunakukumbusha tu kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar ni Mtanganyika kutoka upareni. Nyie endeleeni kutafuta uzaliwa wa watanzania.
Haufi tena maana hata mipaka ya Tanganyika haijulikaniMuungano ufe kila mmoja akae kwake huyo mtu mmoja arejee Tanganyika zipo fursa nyingi
Yaguju.Muungano ufe sasa tuondokand na ibirisi shetani Dikteta fashisiti mama iddy Amin Dada
Tatizo hawa watu hawaoni kuwa watakuja kulipia ujinga kama huu ndio mana wanaendelea na wanakuja kuzawadiwa. Angejua kuwa wanawae au mkewe atalipia wasingekuwa wana thubutu kukubali ujinga.Huyu ni mpare mtu wa Usangu ni ndugu wa karibu na Diwani Athuman Msuya former DGIS , Ni -TISS pia
Alikua anafanya kazi na Mchengerwa maafisa wa kumsaidia Jaji kuandika hukumu ..huko kote alikopita NEC na ZEC ilikua ni kufanikisha kazi ya CCM ndo amezawadiwa Ujaji.
Moja ya kesi yake kubwa kusimamia ni ile ya jamaa kumchoma mke wake kwa gunia la mkaa basi.
Hao jamaa hawajui kusoma ni makusuku vilaza kupitiliza.. kwa hiyo siku hizi wapare wamekuwa wazanizbar ? hata kama mko na chuki na kale kajisiwa ila uyo ndugu yenju msibadilishe asili yake alaaa!Mshaambiwa sio Mzanzibari lkn mnataka iwe na iyonekane ni Mzanzibar mnataka kudanganya watu kwa faida yanani!!!!!!!!!!
Funza ameesha kuwasha uko behind the sceneMakaburu wakoloni toka Zanzibar sasa wanaitawala Tanganyika kimabavu
Sisi watanzania ndo bado tumelalaTatizo hawa watu hawaoni kuwa watakuja kulipia ujinga kama huu ndio mana wanaendelea na wanakuja kuzawadiwa. Angejua kuwa wanawae au mkewe atalipia wasingekuwa wana thubutu kukubali ujinga.
Kwahiyo hii ni sawa?Kiufupi Hiko hv mzanzibar ana haki ya kuja Tanganyika na kupewa madaraka yoyote Yale serikalini na ata kwenye utumishi wa umma lkn ww Mtanganyika huna ata haki ya kupewa ubalozi wa Nyumba Kumi kule Zanzibar
Umeembiwa mpare wewe kiazi sasa wapere wamekuwa sio wamuungano tokea lini.Kwana chadema inabidi wagomee hukumu kwasababu jaji aliyetoa hukumu hana uhalali kwakuwa maswala ya kisheria siyo ya muungano
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? hilo ndilo tatizo la kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni, muungano ufe kila mmoja akae kwakeFunza ameesha kuwacha uko behind the scene
Leta funza huyo tumtoe uko wewe Laza ulokubuhuUwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? hilo ndilo tatizo la kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni, muungano ufe kila mmoja akae kwake
Wapere ndo watu gani?Umeembiwa mpare wewe kiazi sasa wapere wamekuwa sio wamuungano tokea lini.
Usinipanic nyie ni wabaguzi snAcha upuuzi wako.
Huu ni utatu mwovuMfungua kesi ni mzanzibar ,msoma hukumu ni mzanzibar aliye mteua msoma hukumu bila shaka naye ni mzanzibar 😏😏😏 kwa Hal hii maji mtaita mma
Pity unajua nilokusudia wewe changudoaWapere ndo watu gani?