Jaji aliyesoma hukumu ya CHADEMA ni Mzanzibar? Aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar

Jaji aliyesoma hukumu ya CHADEMA ni Mzanzibar? Aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar

Kwani Zanzibar sio TANZANIA.

Ukiona chama kinaanza kujenga hoja kwa udini, ukabila au kwa eneo analotoka Mtu, jua chama hicho kimefilisika kisiasa.
Udni ubaguzi umeanzia kwenu ibiris wa ccm kwani bila kufunga makanisa kuteka kuua watanganyika vyote visingekuwepo
 
Nauliza tu huyu mtu ni Mzanzibar? kama ndiyo, vipi kuhusu mahusiano yake na hukumu aliyotoa ambayo iligubikwa na utata?

Huyu Jaji aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar kabla hajawa Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.

Hata kama ni suala la kurafsiriwa kama ubaguzi potelea mbali. Mwenendo wa Wazanzibar kwa Tanganyika hauko sawa. Kuna namna wanatuharibia ustawi wetu kama Tanganyika.
View attachment 3363996
Ogopa tecnolojia na muda
 
Nawashangaa sana wale CCM Watanganyika, wenye uwendawazimu, wanaoshabikia na kufurahia ushenzi wa haliya juu unaofanywa na wazanzibari dhidi ya Tanganyika:

Q. Waliopora bandari za Tanganyika na kwapa waarabu wote ni wazanzibari (waziri, katibu mkuu, mwanasheria mpaka mkurugenzi wa bandari ya Dar)

2. Walippora mbuga za wanyama na kuwapa waarabu, ni mkwe wa Rais, kwa kumwoa mzanzibari, naye ni mzanzibari.

3. Waliopora uwanja wa ndege na kuwapa waarabu, ni wazanzibari.
4. Wanaotaka kuifuta CHADEMA, kuanzia walioshtaki mpaka jaji, ni wazanzibari, japo huyo jaji amekulia Tanganyika, lakini kiasili ni mzanzibari.

5. Msimamizi wa kikundi kisicho rasmi, kikundi cha watekaji na wauaji ni mwanafamilia.

NB: Wazanzibari wameamua kuipora Tanganyika halafu kuna watanganyika wasaliti, wajinga wasio na uzalendo kwa Tanganyika, wanashabikia huu ushenzi dhidi ya Tanganyika yao. Enyi wasaliti, hata kama hamuipendi CHADEMA, ipendeni Tanganyika yenu.

Kwa hapa tulipofikia, ni aheri wazanzibari warudi kwao kwani kuwepo kwao Tanganyika ni hasara na madhira makubwa kwa Tanganyika.
Mbona km uchochezi huu.
 
Acheni kujidanganya. Hata Nyerere aliwahi kuwa mgombea wa TANU. Hata Warioba aliwahi kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu na NEC ya CCM. Kama mnataka Majaji wawe jobless wa Kijiweni au madereva wa Matatu kama Mwambukusi hamtapata watu wazuri. Heche Kila siku anaongea ya Singapore na South Korea hata shule sijui alisona wapi na ana uzoefu wakazi gani. Kila mtu MTANZANIA anaweza kufanya kazi yoyote, lakini alisomeshwa na CCM. Hata Tundu Lissu si alisomeshwa Galanosna TANU? Hawa wote Wana maslahi na TANU, wako biased. Amkeni CHADEMA, hatuendi hivyo. Rais ni Rais tu, ndiye Tanzania. Iko hivyo hivyo na Rais wa Marekani na Ufaransa Dunia nzima iko hivyo hivyo.
 
Mara zote wazanzibari ni watu wa hovyo tuu, ukikaa nao kwa muda kidogo ndio utawajua jinsi walivyokua watu wa hovyo kupita kiasi
 
Huyu ni mpare mtu wa Usangu ni ndugu wa karibu na Diwani Athuman Msuya former DGIS , Ni -TISS pia
Alikua anafanya kazi na Mchengerwa maafisa wa kumsaidia Jaji kuandika hukumu ..huko kote alikopita NEC na ZEC ilikua ni kufanikisha kazi ya CCM ndo amezawadiwa Ujaji.
Moja ya kesi yake kubwa kusimamia ni ile ya jamaa kumchoma mke wake kwa gunia la mkaa basi.
Asante kwa taarifa za kijasusi mkuu upo vyema.
Tumemjua, ngoja tuone hatma ya hii kesi yenye maelekezo tayari.
 
Back
Top Bottom