G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,276
- 38,847
Nauliza tu huyu mtu ni Mzanzibar? kama ndiyo, vipi kuhusu mahusiano yake na hukumu aliyotoa ambayo iligubikwa na utata?
Huyu Jaji aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar kabla hajawa Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.
Hata kama ni suala la kurafsiriwa kama ubaguzi potelea mbali. Mwenendo wa Wazanzibar kwa Tanganyika hauko sawa. Kuna namna wanatuharibia ustawi wetu kama Tanganyika.