Komando tamimy
Senior Member
- Nov 18, 2020
- 108
- 121
Kanisani mzee ila kwa sasa nipo maeneo ya mfaranyakiPeramiho sehem gan, hospital, kanisani, au maposeni secondary,
Baas sawaa sekondary kwani wahitaji
Serikali ya kiki hii.Selemani Jafo amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanawalipa walimu wote wa ajira mpya
Jaffo yupo sana pale wizarani.Alikuwa wapi watuwameteseka hivi .jaziona siku za jafo hapo wizarani ni chache saana
Una uhakika wamepewa fungu? Watu tunapenda kulaumu .Nimeona niliseme hili kwa kifupi,ili wadau wengine waliona kwa upana zaidi.Haya ni sehemu ya maisha yanayogusa watu,mtu ndo kaanza ajira hana chochote,inakuwaje wakurugenzi na naafisa elimu wakae kimya!?
Alianza kwa sifa Lakini sasa amelewa kabisa, labda anakemewa na Naibu Rais mpya.Alikuwa wapi watuwameteseka hivi .jaziona siku za jafo hapo wizarani ni chache saana
Attention seeker tu hakuna lolote paleSasa alishindwa kuwapigia simu au kuwatumia email.
Sisi tusiohusika tunatangaziwa ili iweje?
Haya matamko hayatusaidii chochote.
Kama waziri kasema baadhi ya maeneo hawajawalipa na amewape siku saba,huekewi nini hapo?We unaona ni sawa. Kuanza kazuvbila hela ya motisha?usitete ujinga,penyevkweli uongo hujitenga na wala huku sio kulalamikaUna uhakika wamepewa fungu? Watu tunapenda kulaumu .
Nakuwa mwalimu ninayeanza kaziDogo tulia,
HELA YA SERIKALINI INATOKA KWA UTARATIBU MAALUMU.
Afisa elimu na mkurugenzi ni KAMA SISIMIZI TU.......!
Sasa hao ukiwaendea sijui wewe unakuwa NANI??
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Jaffo maneno mengi tu!Alianza kwa sifa Lakini sasa amelewa kabisa, labda anakemewa na Naibu Rais mpya.