ITV, Mengi to be dealt with soon

ITV, Mengi to be dealt with soon

hao ni wajinga kuna ishu za kudeal nazo lakini sio kama inshu ya ITV kurusha hotuba ya Mengi
 
hao ni wajinga kuna ishu za kudeal nazo lakini sio kama inshu ya ITV kurusha hotuba ya Mengi kkuwataja watafuna nchi ambao wao kawaita mapapa! hao ndio wanafanay
 
And the drama between Mengi and "others" goes on and on. Ngoja tuone mwisho wake utakuwaje. I like this comedy.
"Others" are coming to take Mengi this time.

Kila mtu kwenye camp amechanganyikiwa, "others" , "others" everywhere.

People are scared.

Its true what ANALUCIA said,"THEY(OTHERS) CAN COME AND TAKE ANYONE THEY WANT, AT ANYTIME,AND IF YOU THINK, JF WILL STOP THEM!!!!
THEN YOU ARE BETTER THING AGAIN".
 
hao ni wajinga kuna ishu za kudeal nazo lakini sio kama inshu ya ITV kurusha hotuba ya Mengi kkuwataja watafuna nchi ambao wao kawaita mapapa! hao ndio wanafanya tunaishi kwa umasikini huku wenyewe wakiwa na uraia wa nchi mbili! Mimi napna hiyo TCRA nayo imeanza kuwa kichaka cha mafisadi maana hapo naona wanamtete Fisadi papa Rostam. Haya wanampa presha Mengi na kuhusu TBC1 nao wamefanyaje kuhusu wao? waache kutufanya wa Tanzania kuwa ni wajinga tena kwa inshu ya TBC1 ndio kabisa maana kile ni kituo cha uma chenye kuendeshwa na Kodi zetu sisi walala hoi.

Wamuache mzee wa watu wa deal na mafisadi.
 
hao ni wajinga kuna ishu za kudeal nazo lakini sio kama inshu ya ITV kurusha hotuba ya Mengi kkuwataja watafuna nchi ambao wao kawaita mapapa! hao ndio wanafanay
yup
hao ni wajinga kuna ishu za kudeal nazo lakini sio kama inshu ya ITV kurusha hotuba ya Mengi
then
hao ni wajinga kuna ishu za kudeal
unatujazia forum mkuu.
Kama unahisi kuna kitu umesahau kupost basi chini ya post yako kulia kuna kifungo (button) ya edit uibinye halafu utapata chansi ya kuediti kisha unasave post yako.

Pole sana kwa kukushushua
 
Last edited:
This country bwana!

No one with access to and responsibility to safeguard the national resources is against FISADIS!
 
Mtaani kuna tetesi kuwa hatu ahii iliyochukuliwa inalenga kuifinga mikono serikali kuingilia masual ambayo ITV itatangaza kipindi cha uchaguzi ujao. Ni kawaida kwa kesi kuendelea kwa muda mrefu hivyo hii ninjia ya kuiwezesha ITV na chadema kupambana na ufisadi katika uchaguzi. Wadau mmeipata hiyo? inaukweli?
 
kuna habari mtaani kuwa hii ni move ya kuhakikisha kuwa serikali haiibani ITV kipindi cha uchaguzi. kwa kuwa kesi iko mahakamani basi hawatafanywa lolote wakitangaza vita dhifi ya ufisadi. wakubwa mmeipata hiyo? ikoje?
 
Heeeeeee

Kweli ukistaajabu ya Musa........................ya Firauni.

Mwenzenu naona kizunguzungu kichwa kinaniuma kabisaaaaaaaaaaa. By the way Mzee Invisible thanks kwa kutuelimisha nduguzo.

Ngoja tuone kifuatacho ITV...............Isidingo ze Need
 
Kuna thread moja ambamo ilidaiwa kuwa hakuna kitu kama typo kwa waliosoma. Sasa hebu tusome barua ya wakili Ngalo na tuone kama haina typos! Tukianza na hiyo ya pili. Kuanzia letter head, cheo cha anaetumiwa barua ( Director Generat), Jina la authority ( Comn 1 unications), anuani ( Roadt). Tukija kwenye main body; summoned imekosewa, client imekosewa, namely imekosewa na hata jina la client wao limekosewa (Limit2d). Makosa kama haya yanaendelea katika barua nzima.

Je itakuwa haki kudai kuwa kwa sababu ya haya makosa basi hizi barua ni batili? Au ni kama ilivyokuwa kwa mwenzake, ni makosa ya kibinadamu na ishara zaidi ya sloppiness rather than evil intent?

Amandla.......

BTW, kunawezekana kuonekana kama kuna errors, ni tatizo la scanner tu!

Post #5 highlighted those errors. Have a good day !
 
Yaani badala ya kumpongeza our hero Mengi wanampotezea mda wake kwa kumlazimisha ku deal na non-issues kama hizi!!!!?? Kweli Rostam na Manji nchi ni yao, ndiyo waongoza nchi.

Yaani nimeamini hata kama kiongozi wa idara/department ni Proffesor but hana sauti ya kutumia elimu yake ku deal na issues, wanakaa mezani kusubiri order za mafisadi na serikali yao. Unajua wananchi watanzani tunasema tunakaribia milion 40 lakini kwa upande wangu wananchi wa tanzani hawazidi 10 (mafisadi) na tuiobaki wote ni wahamiaji. Serikali gani hii ambayo haijali maslahi ya wazalendo?? Wazalendo kwa serikali ya Tz ni wale ambao wanaweza kutoa fedha za ufisadi kwenye mabeji kama kule Busanda ili kununua shahada na kuhonga mawakala wa vyama, huu ni uharamia na ukichwa wa mwenda wazimu.

Jamani kwa nini tusiandamane kupinga Mengi kughasiwa. Huyu ndiye mzalendo pekee aliyeweza kuthubutu kutaja mafisadi wa kweli hadharani tofauti na mimi nabwabwaja hapa na anonimity yangu. Tumuunge mkono jamani. Hii ni kwa faida yako na vizazi vijavyo kwani nahofia si muda mrefu tutakuwa wakimbizi ndani ya nchi yetu, apartheid ya South Africa inaingia Tza doubled!!! Kina RA watakapofanikiwa kushinda ubunge tena na Manji naamini anajipanga kuwania, basi tumekwisha, tutaendelea kudharauliwa mno na watajiona vijogoo kabisa. Tusikubali kuwa mtetea tuamke tupambane.
 
I’ve read all letters, ya TCRA na ITV Advocate!

don’t know why they’re here! Unless kama sijazielewa, otherwise there’s nothing burning here!!! Mnataka kutushawishi kwamba ITV (Mengi) inataka kuhujumiwa? If I can remember, Manji alipeleka malalamiko TCRA kwa kile alichoona (yeye Manji) kwamba Mengi anatumia nafasi yake kama mmiliki wa vyombo vya habari kutumia vyombo hivyo kuwadharirisha wenzake! Au kwa maana nyingine, anatumia vyombo vyake kwa maslahi yake binafsi.

Whether this’s true or not, ni kweli sheria za vyombo vya habari zinakataza kuweka mbele maslahi binafsi badala ya yale ya kitaifa!! Hii si mara ya kwanza kwa ITV kushutumiwa kwa jambo hili, kuna wakati ilisemwa kwamba hata muda anaopewa JK kama kiongozi wa nchi ni mdogo ukilinganisha na ule anaopata Mengi( am not sure abt this, and it’s none of my businesss)! Sasa kama TCRA walipelekewa hayo malalamiko na Manji, what could they do?!

Hawakutakiwa kuwaandikia ITV kwenda kuji-defend? Mbona kwenye hiyo order ya TCRA sijaona popote panapoonesha dalili za kutaka kuihujumu ITV? Au ni kwavile TCRA walipiga biti kwamba ITV wasipo-appear before Authority watakuwa punished? I don’t think kama kuna something wrong hapo. TCRA ni mamlaka inayotambulika kisheria hivyo order yake lazima iheshimike whether mtuhumiwa(Say ITV) kafanya kosa au hapana!!!

Kwangu mimi hii nayo ni ilele ya kutaka kumuonesha RM kwamba ni mtu anayehujumiwa!! Kila anapohisi kunafanyika mambo negative dhidi yake, anatafuta defensive mechanism ya kutaka kujionesha anaonewa!! Nakumbuka last year, or year before kuna wapuuzi fulani waliongea kwamba eti RM ni mbaguzi wa kidini!! Katika kutaka kuonesha yeye si mbaguzi, few days later ( if not hours) ITV wakarusha kipindi cha karibu nusu saa (kama sio saa nzima) ikimuonesha RM akila msosi na watoto wa Madrasa kule Kibaha kama sikosei! Katika maongezi yake hiyo siku, nakumbuka RM akisema “ …..watoto, kuna watu wanasema eti mimi nawabagua nyinyi……!” Nilicheka sana siku hiyo na kujiuliza how can such great man look for such cheap popularity!
 
Last edited by a moderator:
Jamani kwa nini tusiandamane kupinga Mengi kughasiwa. Huyu ndiye mzalendo pekee aliyeweza kuthubutu kutaja mafisadi wa kweli hadharani tofauti na mimi nabwabwaja hapa na anonimity yangu.

Mkuu anza kuorganise hayo maandamano kama hujabebwa juu juu mpaka segerea ukaozeee kule kutamka simple lakini vitendo ndo hapo sasa.
 
Nakushangaa, TBC haiwezi kukemewa kwa kuwa RA aliitisha press conference katika public hotel,
walioenda wameenda waliobaki wamebaki na walioona inafaa kurushwa wakairusha na walioona
haifai kurushwa wakaiacha. Its an event not like Mengi did.

press conference inafanyika popote sidhani kama hicho ni kigezo. Mengi kuita conference ofisini kwake sidhani kama ni kosa. Tatizo ni kumquestion mengi wakati TBC nao wamefanya kosa lilelile bila kuulizwa!!!

Kwanza huyu jamaa kuna habari zisizo rasmi ndiye alileta hawa jamaa wa kempinski.
 
Mkuu anza kuorganise hayo maandamano kama hujabebwa juu juu mpaka segerea ukaozeee kule kutamka simple lakini vitendo ndo hapo sasa.

Mkuu wangu Fidel80. Maandamano yetu yatakuwa na heading na concept paper ambayo tutaipeleka kuombea kibali ambayo tunaelezea mambo mazuri ya mengi. Yaani targetting kupongeza shughuli zake na mchango wa biashara zake kwa Tz. Yaani ni hivi tumwonyeshe Mengi mbele ya umma kuwa ni wa faida kwa Tz. Mbona kina RA wanaweza kuwanunua watu (kulipa sitting allowance) ili apate wafuasi wengi mkutanoni?? Unajua kwa sababu ya shida na njaa zetu zilizosababishwa na ufisadi wa kila aina aina mtanzania mlalahoi akisikia harufu ya shilingi anaifuata hata kama hapendi. Poor Ingunga indeginous citizens???
 
I’ve read all letters, ya TCRA na ITV Advocate!

don’t know why they’re here! Unless kama sijazielewa, otherwise there’s nothing burning here!!! Mnataka kutushawishi kwamba ITV (Mengi) inataka kuhujumiwa? If I can remember, Manji alipeleka malalamiko TCRA kwa kile alichoona (yeye Manji) kwamba Mengi anatumia nafasi yake kama mmiliki wa vyombo vya habari kutumia vyombo hivyo kuwadharirisha wenzake! Au kwa maana nyingine, anatumia vyombo vyake kwa maslahi yake binafsi.

Whether this’s true or not, ni kweli sheria za vyombo vya habari zinakataza kuweka mbele maslahi binafsi badala ya yale ya kitaifa!! Hii si mara ya kwanza kwa ITV kushutumiwa kwa jambo hili, kuna wakati ilisemwa kwamba hata muda anaopewa JK kama kiongozi wa nchi ni mdogo ukilinganisha na ule anaopata Mengi( am not sure abt this, and it’s none of my businesss)! Sasa kama TCRA walipelekewa hayo malalamiko na Manji, what could they do?!

Hawakutakiwa kuwaandikia ITV kwenda kuji-defend? Mbona kwenye hiyo order ya TCRA sijaona popote panapoonesha dalili za kutaka kuihujumu ITV? Au ni kwavile TCRA walipiga biti kwamba ITV wasipo-appear before Authority watakuwa punished? I don’t think kama kuna something wrong hapo. TCRA ni mamlaka inayotambulika kisheria hivyo order yake lazima iheshimike whether mtuhumiwa(Say ITV) kafanya kosa au hapana!!!

Kwangu mimi hii nayo ni ilele ya kutaka kumuonesha RM kwamba ni mtu anayehujumiwa!! Kila anapohisi kunafanyika mambo negative dhidi yake, anatafuta defensive mechanism ya kutaka kujionesha anaonewa!! Nakumbuka last year, or year before kuna wapuuzi fulani waliongea kwamba eti RM ni mbaguzi wa kidini!! Katika kutaka kuonesha yeye si mbaguzi, few days later ( if not hours) ITV wakarusha kipindi cha karibu nusu saa (kama sio saa nzima) ikimuonesha RM akila msosi na watoto wa Madrasa kule Kibaha kama sikosei! Katika maongezi yake hiyo siku, nakumbuka RM akisema “ …..watoto, kuna watu wanasema eti mimi nawabagua nyinyi……!” Nilicheka sana siku hiyo na kujiuliza how can such great man look for such cheap popularity!

Unataka kutushawishi yale ya TBC1 na RA ni ya kitaifa? Au kwa makusudi ume skip issue hii kuizungumzia kwenye details zako?
 
yup

then

unatujazia forum mkuu.
Kama unahisi kuna kitu umesahau kupost basi chini ya post yako kulia kuna kifungo (button) ya edit uibinye halafu utapata chansi ya kuediti kisha unasave post yako.

Pole sana kwa kukushushua

Anaongeza namba ya posts mkuu! kwi kwi kwi..!
 
jamani mbona tukiuliza maswali yanayohusu sifa nyinginezo za bwana Mengi michango yetu inafutwa. hapo hapa ni mahali pa ziumu fikra za bwana Mengi pekee? i smell rats
 
Back
Top Bottom