ITV, Mengi to be dealt with soon

ITV, Mengi to be dealt with soon

JF inaelekea pabaya watu wamekuwa too emotion driven and with these kinds of mindset, it will be difficult to advance our cause. Mengi amefanya makosa ambayo yako wazi , kwa kutumia TV yake ambayo iko nchi nzima kuwa-attack hao mafisadi .

Naomba nieleweke ya kuwa nakubaliana na wale wote wanaotaka kuwatokomeza mafisadi but I vehemently disagree with Mengi's approach. Many people are taking this issue lightly because the victim here is Rostam. What if tomorrow someone else will jump on his /her TV, and worst of all, start spewing venom against the president or certain tribe? Then TCRA has made a bold decision of summoning Mengi, which will be helpful in curbing this problem.

Kitu kingine ambacho sikielewi kwa nini list yake ya mafisadi wamejaa wahindi tupu ? Vipi mbona sijawaona Karamagi, Mramba , Mkapa. . . et al. Looking from the nutshell, one can easily conclude that Mengi intentionally has targeted the least vulnerable members of our community...

We must be strategic and smart in fighting ufisadi ....
 
Mimi binafsi naona uvumilivu unaniishia sasa. Hebu fikirieni serikali nzima sasa inatekeleza maelekezo ya Rostam Aziz!

Ni dhahiri kwamba hao TCRA, PCCB na hata Polisi wanapokea maelekezo kutoka kwa kiranja huyu wa mafisadi. Nadhani muda wa maneno umepita, inabidi tuingie mitaani kulaani nchi yetu kutekwa na mafisadi. Nimefurahishwa na tamko zito la zile asasi zisizo za kiserikali zipatazo 50 kuitaka serikali iwafikishe mahakamani mafisadi wote. Huo ni mwanzo mzuri, kinachofuata sasa ni sisi wenye uchungu na nchi yetu kuungana na asasi za kiserikali kuandaa maandamano makubwa nchi nzima kupinga ufedhuli huu wa mafisadi. JF ishiriki katika uhamasishaji wa kufanyika maandamano hayo. Magazeti machache yaliyobaki yenye uzalendo pia yasaidie.

Tukiendelea kulala nchi yetu itaangamia huku tunaona.
 
Kutokana na mambo mengi yanayotokea nchini nadhani kuna kila haja, na sababu ya kufanya vyombo vyote vya Habari iwe magazeti au TV kuwa mashirika yenye kutoa hisa (public) na mtu mmoja anaruhusiwa kumiliki chini ya asilimia 49..Pia ruksa itatolewa kwa vyombo ambavyo vinawakilisha jumuiya (NGO) fulani iwe dini, Kabila, mkoa, wilaya, jinsia na kadhalika..

Nimeyasema haya toka mwaka 2006 wakati nikimshambulia mtu wa home Mh. Diallo ktk kumiliki vyombo hivi akiwa mbunge, waziri na mjumbe wa chama CCM..Nilizungumzia nguvu ya vyombo vya habari na hatari zake hasa zinapokuwa chini ya mmiliki mmoja lakini hadi sasa hivi hatukufanya marekebisho yoyote.

Mengi hajafanya kosa lolote kwa sababu hakuna sheria yoyote inayoweza kumweka mmiliki wa mali kuhusika na edition za shirika ambalo ni Incorporated!..wapo Waandishi, Wahariri na ITV ni chombo kinachojisimamia kisheria (legal entity)..

Naomba nieleweke hapa...Swala la Mengi linamhusu Mengi sio ITV kabisa. Kisheria Mengi ni mtu kama sisi wote ambaye anaruhusiwa kutumia vyombo hivi kuzungumza lolote analofahamu..

Mengi kama mwananchi mwingine yoyote akifanya makosa au kusema uongo atashtakiwa/hukumiwa yeye na matangazo yale ya ITV yatatumika kama ushahidi na sio kukihukumu chombo hiki kwa sababu tu ni mali ya Mengi. What if maneno hayo ningeyasema mimi sheria ingebadilika kwa sababu sina uhusiano na ITV basi ningeshtakiwa mimi..

Ile mikutano ya Rostam na waandhishi wa Habari ambao waliandika yote ya Uongo kuhusiana na Mengi.. Je Mengi anatakiwa kuvishtaki vyombo hivyo kwa kuandika Uongo wakati ni Rostam aliyesema Uongo na magazeti yalinukuu tu yale waliyosikia Rostam akisema.

Je, ina maana kama gazeti la Rai tu ndiyo lingeandika habari zile za Uongo gazeti hilo lingekuwa matatani kwa sababu aliyesema ni mmiliki wake..

Chombo cha habari kitakuwa liable tu ikiwa habari zilizotangazwa hazina source yaani TV au gazeti wamechukulia tetesi, uvumi wa mjini kutangaza vitu ambavyo hawana uhakika na wahusika wa taarifa hizo.. Hapa Mhusika ni Mengi na hakuna sehemu mengi kasema au kukubali kwamba aliyosema ni Uongo uliotungwa na ITV... Hivyo kama kuna mashtaka yoyote wa kumshtaki ni Mengi sii ITV hata kama ni mali yake...Sheria yetu haikatazi mtu mmoja kumiliki hisa kubwa ktk chombo cha habari...
 
Nakubaliana nawe kwa asilimia 100 Hongasuta kwa msimamo wako. Hakuna haja ya kupoteza muda kwa maneno. Sasa ni wakati wa kusimama na kumwambia Rostam na vibaraka wake ndani ya serikali kwamba 'imetosha'. Kwa nini mtu mmoja, tena kutoka Uajemi, atukoseshe raha mamilioni ya Watanzania? Kinachouma zaidi ni kwamba amejenga jeuri kutokana na fedha alizotupora sisi wenyewe. HAIWEZEKANI!
 
Mkandara kosa alilofanya Mengi liko kwenye barua aliyoandikiwa na TCRA, kutokana na hiyo barua Mengi ameviolate kipengele cha 22. Swali la kujiuliza ni kwa nini Mengi alipewa airtime na ITV ? Kwa sababu naisikia kilikuwa ni kipindi maalum ndani ya ITV na kilirushwa mara mbili...please correct if a'm wrong.

Swali lingine la kujiuliza jee mimi Rufiji leo nikitaka kipindi maalum ndani ya ITV,niko tayari kulipia, ili niweze kusema ya kuwa Mkandara na JK ni mafisadi (mfano), je ITV watanipa muda
. Jibu hapa ni Rahisi awatafanya hivyo. Kwa hiyo ITV hiko liable kwani wameruhusu TV yako kutumika katika kumshambulia mtu mwingine.
 
Mkandara kosa alilofanya Mengi liko kwenye barua aliyoandikiwa na TCRA, kutokana na hiyo barua Mengi ameviolate kipengele cha 22. Swali la kujiuliza ni kwa nini Mengi alipewa airtime na ITV ? Kwa sababu naisikia kilikuwa ni kipindi maalum ndani ya ITV na kilirushwa mara mbili...please correct if a'm wrong.

Swali lingine la kujiuliza jee mimi Rufiji leo nikitaka kipindi maalum ndani ya ITV,niko tayari kulipia, ili niweze kusema ya kuwa Mkandara na JK ni mafisadi (mfano), je ITV watanipa muda
. Jibu hapa ni Rahisi awatafanya hivyo. Kwa hiyo ITV hiko liable kwani wameruhusu TV yako kutumika katika kumshambulia mtu mwingine.

Swali dogo bwana/bi Rufiji, Je Rostam alichofanya TBC, TBC nao wana makosa kama ya ITV au????
 
Rufiji,
Mkuu wangu hizi sheria ni lazima tuzitazame vizuri kama zimeandikwa kwa ajili ya wananchi wote au watu individuals.. Hii sheria inahusu kuchafua majina ya watu, kundi ama jumuiya kwa malengo ya udini ukabila na kadhalika..

What Mengi said ni UFISADI sasa ikiwa mafisadi ni Wahindi na hakuna sehemu Mengi kasema Mafisadi ni wahindi ila kawataja Mafisadi hao kwa majina yao kama Watanzania na hakuonyesha uhusianao wao kijumuiya kuwa sababu ya Ufisadi wao hii inaingia akilini?...
Kuhusiana na approved programme lineup, mkuu wangu mhusika yeyote wa TV ana kila haki ya kukatisha/kuondoa kipindi kama kuna breaking news ambazo ni muhimu na zitaweza kuvuta watazamaji wengi..Mara ngapi tumeona CNN wakivunja vipindi kutokana na habari za kutatanisha.. To ITV habari ya Mengi ni kubwa na ilitakiwa kutangazwa na vyombo vyote vya habari, kisha zikajadiliwa.. Mengi akaitwa ktk vyombo vingine kupata habari zaidi iwe kitimoto au kadhalika... huu ndio uhuru wa habari..Mengi ndiye responsible na sio ITV..

Mkuu wangu Magaidi wa 9/11 karibu wote ni Waislaam na waarabu, vyombo vya habari kila siku vinazungumzia habari za magaidi kwa kuwataja wahusika, haiwekezani mimi leo nisimame na kusema ni ubaguzi ikiwa jina la Uislaam halitumiki kama kielelezo cha machafu hayo..
Kifupi hata kama Mengi amekosea ni Mengi sii kosa la ITV na TCRA hawana haki kabisa ya kutaka kuifunguia ITV kwa maneno ya Mengi..
Manji ni Fisadi haikuhitaji mengi wala ITV kusema hayo sisi wote tunajua fika kwamba mtu huyu ni FISADI.. sasa tunategemea nani ataweza kuwafahamisha wananchi ikiwa siku zote tunaogopa sheria kwa hofu ya Rangi kwa sababu tu Manji ni mhindi..As a fact hakuna neno hata moja alosema Mengi ambalo ni geni kwetu, kinachotakiwa kufanyika kisheria ni vyombo vya kuzuia rushwa na kupambana na Ufisadi kutafuta ukweli wa maneo haya..

Nimeshasema siwezi kuhukumiwa mimi leo nikisema Rufiji ndiye akiyesababisha kifo cha Wangwe.. Watatazama Ilibi yako, mahusiano yako na marehemu na mengine mengi toka ktk statement yangu yanayokusisha wewe na kifo kile...Kila kitu kikikubaliana na statement yangu ktk ushahidi watakaokusanya basi wewe utashtakiwa au kuachwa huru, sii kazi yangu kukusanya ushahidi bali kutaarifu vyombo vinavyohusika..Na wala sii kazi ya vyombo hizi kuhukumu mtu isipokuwa mahakama..Itakuwa ajabu mahakama kukubali kesi zile tu zenye 100 proof ya mhusika kuwa ndiye muuaji..basi mawakili watakuwa hawana kazi!

Tunafanyiwa haya kila siku nchi hizi..mara kibao vijiwe nyetu vimevamiwa na askari baada ya mtu kupiga simu Polisi baada ya kuona mambo asiyoyaelewa (after 9/11) na hata siku moja hatuwezi kupingana na sheria kwa madai tu kuwa sisi ni Waislaam au watu weusi.. They have to prove kwamba sisi ni magaidi na ushahidi utaweza patikana wanapokuja kufanya searching!..
Mara zote wameondoka watupu hivyo kughairi taarifa zile lakini sijasikia mtoa habari akifunguliwa mashtaka..Since 9/11 nchi hizi ziko katika vita hivyo kila mtu ni suspect na sisi tunatakiwa kabisa kufikiria kwamba vita yetu na Mafisadi ni vita ya kitaifa. haina rangi wala kabila isipokuwa taarifa zaidi ndizo zinaweza kuwaangusha Mafisadi...Kwani Mafisadi wapo wengi baina yetu!.
 
Mkandara kosa alilofanya Mengi liko kwenye barua aliyoandikiwa na TCRA, kutokana na hiyo barua Mengi ameviolate kipengele cha 22. Swali la kujiuliza ni kwa nini Mengi alipewa airtime na ITV ? Kwa sababu naisikia kilikuwa ni kipindi maalum ndani ya ITV na kilirushwa mara mbili...please correct if a'm wrong.

Swali lingine la kujiuliza jee mimi Rufiji leo nikitaka kipindi maalum ndani ya ITV,niko tayari kulipia, ili niweze kusema ya kuwa Mkandara na JK ni mafisadi (mfano), je ITV watanipa muda
. Jibu hapa ni Rahisi awatafanya hivyo. Kwa hiyo ITV hiko liable kwani wameruhusu TV yako kutumika katika kumshambulia mtu mwingine.

umefanya observation nzuri kweli.. je alichofanya Rostam kwenye TV ya Taifa nani ataiwajibisha TBC? Angalau tunaweza kusema ITV ni ya Mengi, TBC ni ya nani?
 
Swali dogo bwana/bi Rufiji, Je Rostam alichofanya TBC, TBC nao wana makosa kama ya ITV au????

Sheria ni msumeno, kama TBC walifanya alichofanya Mengi nao wana kila sababu ya kutandikwa barua ...that is what we call oversight.
 
Sheria ni msumeno, kama TBC walifanya alichofanya Mengi nao wana kila sababu ya kutandikwa barua ...that is what we call oversight.


yaani unaamini kutoandikiwa TBC barua na TRCA ni "oversight"? Well... kwanini hawaku "oversight" kutomwandikia barua Mengi na kuiandikia TBC?
 
kama TBC walifanya alichofanya Mengi nao wana kila sababu ya kutandikwa barua ...that is what we call oversight.
Rufiji,
Mkuu umenifurahisha sana Ulipotumia neno KAMA TBC wamefanya hivyo wanastahili.... wakati unajua wamefanya!.. duh, kaazi kweli kweli!
 
Mkandara nasema hivyo kwa sababu sina uhakika, si unajua tuko mbali na nyumbani. Na ndio maana nimesema hata kwenye ishu ya mengi nilisema mnisahihishe kama nimekosea. Mwanakijiji nimesema kuwa wote wawili TBC na ITV inabidi watandikwe barua .Jamani kwenye sheria atuwezi kupick na kuchoose , sheria zipi ziwe enforced ...Tunaishi katika utawala wa sheria, ITV wamepewa permit ya kurusha matangazo ambayo imestipulate clearly what they can and can't do...
 
Rufiji,
Mkuu ndio swali uloulizwa nyuma na wanabodi, Je, hizo sheria wamepewa ITV lakini hawakupewa TBC?..
Licha ya yote hivi kweli leo hii ukiwa na news zinazomhusu balozi wetu huko uliko ukapiga simu TV stationa ambayo watakuwa interested na habari yako inayomhusu balozi wa Tanzania. Wakiirusha habari hiyo wakati wewe ukizungumza, hiyo TV watakuwa wamevunja sheria gani?..

Mkuu sheria ile inahusu TV station zote na hairuhusu TV station yenyewe ku speculate habari ambayo inavunja sheria.. Sio habari zote zinakuwa na jukumu la station ikiwa source inatoka nje, wao ni wataarifu tu wa habri inayotolewa na mhusika. Itakuwa makosa ya TV station kutangaza habari waliyoitafuta wao, kuitunga wao, wakitumia mtangazaji wao kisha habari ile ikawa haina ukweli ambao unavunja sheria zilizowekwa...Sijui kama unanielewa hapa.
 
Mtoto wa kuumeni kuwa mpole punguza taharuki, si wewe uliyesema hoja inajibiwa kwa hoja kwenye post yako hapo juu au?? sasa mbona unaleta mambo ya akina khadija kopa??? Mipasho kwa kwenda mbeleee, i wish mods wangeanzisha kundi la taarabu hapa nafikiri tungekuwa na waimbaji wazuri sana.. hahaha

Nimejaribu kufuatilia posts za Pundamilia Zinanipa mashaka kidogo !!Nadhani tunaweza kuwatambua wakina Judas Iscariot kwa kutazama posts zake kwa undani !!!
 
Mtoto wa kuumeni kuwa mpole punguza taharuki, si wewe uliyesema hoja inajibiwa kwa hoja kwenye post yako hapo juu au?? sasa mbona unaleta mambo ya akina khadija kopa??? Mipasho kwa kwenda mbeleee, i wish mods wangeanzisha kundi la taarabu hapa nafikiri tungekuwa na waimbaji wazuri sana.. hahaha

Tatizo liko wapi?
 
Mkuu Pundamilia, kwanza naomba nitambue uhuru wako wa kikatiba wa kutoa maoni. Pili naomba niungane na Kapinga, Mzee MM na wengine juu ya yale waliyochangia. Pia nami nikuulize hapa:

  1. Unauhakika gani kuwa Mengi ndiye anayezifikisha docs hapa JF?Kama ni Mengi then ni Mengi pia kakwambia kuwa hawaamini maAdvocates wake?Asingewaamini angewapa hiyo kazi?


  1. [*]Unaona Ubaya gani kwa Watanzania kupata info kama hizo za kwenye barua za Sakata la M na TCRA humu mtandaoni?Do u have good intentions na JF au nawe ni walewale mamluki tu?

Kuhusu Mengi kutaka kuonewa huruma na Wananchi, kwa mtizamo wangu, sidhani kama biashara za Mengi na mambo yake mengine yanahitaji huruma ya Watanzania ili kufanikiwa. Ila hayo ya Mafisadi kwa sasa yatahitaji huruma ya Wananchi, kama ambavyo tumekuwa na huruma hata wakaendelea kutunyanyasa na kutunyonya ndani ya ThiThiEm.


Let it be so said

Nimeshaandika kuwa nimeambiwa na Mengi au unataka niseme unavyotaka wewe?
 
Back
Top Bottom