ITV, Mengi to be dealt with soon

Wakifanya hivyo ina maana vyombo vyote vya habari vitapata kufungiwa kabisa ikiwamo TBC1 ile tv ya chama cha majizi Tanzania.
Kwa siku hizi chache nimekuwa nikiinasa redio ya Free Afrika Mwanza ikitumika kwa kampeni za chama cha wezi Tanzania huko Busanda. Maana hawatangazi habari za wagombea wa vyama vingine vya siasa ila chama anachotumikia mmiliki wake Diallo. Je nayo ifungiwe?
It will be unfair kufungia itv na tutawa punish kwa kila njia wote watakaohusika kuifungia tv hii kwa kila namna tutakavyoweza.
Moja ya nitakalofanya ni ku boycot kuangalia tbc1 na star tv.
 
Kuna umuhimu wa vita kulipuka hapa nchini. Tuteketezane weee kamamtu milioni 5 hivi, vumbi likitulia itakua akili na heshima kwa taifa na watu milioni 35 watakaobaki. Sio hivi sasa kila mtu anamamlaka ya urais. Hajulikani rais nani, waziri nani, fisadi nani. Kila mtu ana call the shots. Usalama wa taifa kazi wanayoiweza ni kufatilia zeutamu, ndio wanachoona cha maana kwa taifa. Wakati wabaka uchumi wamewaweka mfukoni.

Nataka mawazo ya tufanye nini ili tumalizane, heshima kwa taifa irudi, ili waje kufaidi nchi ya maana wajukuu???... tusiogope damu, U.S na Japan wapo shwari sababu walimwaga sana damu zamani. Rwanda sasa hivi kuna nidhamu sababu hiyohiyo, hapa tunaremburiana tu... Bullshit!

MKuu unafahamu thamani ya uhai wa watu milioni tano au unaongea tu? kama kweli unamaanisha unachoongea anza wewe kwa kujipiga kiberiti mchana kweupe kupiga ufisadi na serikali mbovu kama yule mama wa kikongo alivofanya kupinga ubaguzi wa rangi ujumbe wako utakua umefika..! Sisi watanzania wazuri sana wa maongezi na kukaa nyuma ya PC zetu tukitype huku tukiwa tumetulia majumbani mwetu lakini yakiitishwa hata maandamano humpati mtu sembuse vita...!
 
Tetesi za kufungiwa ITV soon nami nimezipata kutoka mahali ambapo napaamini. Ila mtoa habari alidai sio wiki hii, ila mwisho wa mwezi huu.

Napata taabu kuamini. I hope it is not true. Ikitokea hivyo, ukurasa mpya katika siasa za nchi hii utafunguliwa.
 
Tetesi za kufungiwa ITV soon nami nimezipata kutoka mahali ambapo napaamini. Ila mtoa habari alidai sio wiki hii, ila mwisho wa mwezi huu.

Napata taabu kuamini. I hope it is not true. Ikitokea hivyo, ukurasa mpya katika siasa za nchi hii utafunguliwa.

Hivi wanaweza kufungiwa kwa "kosa moja" tu?. Nasubiri kwa hamu kutokea kwa hicho kitu ili nione reactions za wananchi maana kuna habari nyingi sana ambazo TBC1 na Star TV hawazitoi kwa sababu na manufaa yao wenyewe. Kama wananchi wa Busanda wameshaanza kuwashtukia mafisadi itakuwaje 2010 mijini?

Ukitaka kupata habari za Kampeni za Busanda (kama ilivyokuwa Tarime) ITV ni best katika coverage ya habari hizo na haiegemei upande wowote tofauti na TBC 1 ambayo ni kodi na mali yetu na ilitakiwa kutuhabarisha kinachoendelea lakini mh wanatuficha! Sasa kama mpango huo upo basi ni kuturejesha miaka 20 nyuma na kutuweka gizani tena.
 
Mnajua nini wanabodi!.. Maadam Dr. Slaa amekataa kusimama, ubashiri wangu unanambia kwamba Mengi ni mtu pekee anayeweza kusimama dhidi ya Kikwete na AKASHINDA.....


SIO KWELI!
hujamuelewa gt,AU HUJASOMA ALICHOKIDADAVUA!
 
Game, umefanya vizuri kutupa hilo dokezo. Nimefuatiilia na kupata haba

Nafikiri hawa jamaa CCM wanaweza kabisa kufanya hivyo kwasababu mbili.
1. serikali yote na chama viko mkononi mwa mtu anatyeitwa Rostam

2. Hasira zao dhidi ya Mengi kwa kuwaumbua zinaffunika busara yeyote. hasira ikiingia busara hutoweka. ni busara ndio ingeweza kuwafanya waone madhara ya kuifunga ITV kisiasa, kiuchumi nk.

3. serikali hii imeshapoteza umaarufu wake hivyo ni lazima itumie mabavu kulazimisha uhalali. Serikali ya Hitler ilikuwa hivyo hivyo. Imeeanza kufanya hivyo maeneo mengine mengi tu



Hata hivyo itakuwa ni vyema wakiifunga kwa maana watanzania wataweza kuifahamu serikali yao vyema ie kwamba seriakli hiyo ni chombo cha mafisadi.
 
Nawawekea TAMKO KALI LA ASASI ZA KIRAIA KUHUSU UFISADI: Naona kazi ya ukumbozi imeanza:
PRESS RELEASE

‘WAR AGAINST CORRUPTION: THE GOVERNMENT SHOULD RESPOND TO THE VIEWS OF THE PEOPLE'

We members of the Feminist Activist Coalition (FemAct), over fifty civil society organisations (50), who work together to advocate for women's and human rights, social transformation and the empowerment of all women and marginalised groups, met on 20th May 2009 to reflect on the on-going debate about grand corruption in Tanzania and the future of the country. We are deeply concerned with the current situation and especially the inadequate way with which the Government is handling the ever-increasing syndicated grand corruption and organised crime cases and scandals in the country. Stories of syndicated grand corruption in the country are horrifying, and force us to draw one solid conclusion, that the Tanzania state has been hijacked!

FemAct recognises syndicated grand corruption as all private gain-motivated abuse of public office, plunder of public property, corruption in the electoral process, lack of transparency in public contraction processes, (i.e. public procurement, public investment, privatisation), budget execution without consideration of national priorities, discriminatory enforcement of laws and regulations, and disobedience of public leadership ethics.

FemAct has noted numerous scandalous events which document the mushrooming of grand corruption and state hijacking operations in Tanzania. Just to mention a few, we note acts of grand corruption in Mining Development Agreements (MDAs) with specific reference to the Buzwagi project scandal; energy contracts with specific reference to the sagas of Richmond LLC/Dowans and Independent Power Project –Tanzania Limited (IPTL); wanton privatisation contracts with specific reference to the National Bank of Commerce (NBC), Kiwira Coal Mine, Tanzania Telecommunications Company Limited (TTCL), Kilimanjaro International Airport (KIA), Tanzania International Container Terminal Services (TICTS) and Tanzania Railways Corporation (TRC); plunder/embezzlement of public financial resources with specific reference to inflated construction cost of Bank of Tanzania Twin Towers, fraudulent appropriation of public finances (with impunity) in the External Payment Arrears (EPA) account [Kagoda Agricultural Limited and others], defaulted Commodity Import Support (CIS) fund and Debt Conversion Programme (DCP) fund; syndicated grand corruption in the public procurements with specific reference to acquisition of military equipment, aviation radar, and presidential jet; plunder of public funds by falsification with specific reference to Tangold, Meremeta, and Deep Green conspiracies; plunder of natural resources with specific reference to fisheries, forestry and wildlife; land alienation shielded by claims of Foreign Direct Investments (FDIs) policy with specific reference to bio-fuel farming (Rufiji saga); and grand corruption involving obsolete/expired medical supplies risking Tanzanians life.

It is FemAct's conclusion that this increasing trend of syndicated grand corruption is due to the capture of the state by powerful moguls working as one in a powerful corruption network/syndicate. The network is reinforced by such strategies as money laundry and corruption in the electoral process; "free-market" neo-liberal macro economic policy, including liberalisation and privatisation, which benefit big capitalists and imperialists rather than sustainable development for all women, men, and children; lack of strong good governance institutions, structures and systems (weak state); greed and selfishness of political and public leadership; weak civic engagement by the people themselves; continued application of many colonial era legislations [in effect regulations and procedures] and antiquated constitution; weak political party systems giving opportunity to corrupt entrepreneurs to take leadership positions; and government support for a small group of leaders who act against the people's interests with impunity.

FemAct believes the syndicated grand corruption and the free-market economy policy are to blame for adversities Tanzanians have been forced into, including the current weak state; economic crisis; political leadership entrepreneurship; the increasing gap between the rich and the poor; increasing poverty amongst the majority of Tanzanians; increasingly low quality and quantity of social service delivery – education, health, physical infrastructure, power utility and administration of justice; declining social and economic wellbeing across majority sections of society [in effect increasing cost of living, which majority cannot afford]; increasing unemployment; increasing insecurity [in effect increasing gender-based violence, criminal and banditry acts]; emboldening of corruption syndicates and actors; increasing of otherwise avoidable deaths such as those involving road accidents, maternal deaths, HIV&AIDS infection arising from sexual abuse, and child mortality; examinations leakage and cheating [in effect declining standard of education]; and fall of cooperatives and declining agriculture and rural economy in effect threatening food security.

Consistent with the above observations, FemAct is hereby declaring its position and demands the following:-

  • The Government acts indiscriminately, immediately and without excuse to prosecute all persons suspected of grand corruption cases and dismantle their corruption networks.

  • The Government is held responsible to immediately: implement wholly the Parliamentary resolution on Richmond; provide credible a public statement on all grand corruption scandals currently in public debate; disclose all existing investment contracts for public access and scrutiny; and ensure state function enforcement organs specifically the Police Force, the Office of Director of Public Prosecution, the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) and the National Security (intelligence services) conduct their respective business in an accountable manner under strict adherence to professional ethics and expected competences.

  • Citizens are held responsible to: identify and reject all corrupt elements to occupy elective political offices through ballot; refuse to implement policy decisions reached without public participation/scrutiny and reached outside the law; be vigilant against acts of land alienation by corrupt elements; fearlessly continue interrogating and exposing grand corruption and persons behind the schemes; and continue supporting like-minded elements exposing acts and actors of grand corruption.

  • The corporate entities are held responsible to: follow legal procedures and business ethics in all their dealings, prioritising humanity and public interest; and expose corporate sector actors involved in grand corruption.

  • Civil society entities are held responsible to: rescind from taking part in any act related to grand corruption; and continue mobilising and enlightening the public on war against corruption and culprits.

  • The public and mass media are held responsible to: maintain their exemplary public advocacy to expose grand and petty corruption; rescind from being ‘used' by and in favour of corrupt syndicates/actors to misinform the public about the genuine common cause of fighting corruption; and continue disseminating civic education that will ultimately contribute to increased civic competence to hold the Government to account.

  • Religious leaders are held responsible to: declare their respective positions in the war against grand corruption and thereby mobilise the pubic at large to fight corruption; and continue preaching against corruption and corruption in the electoral process.

  • Political parties are held responsible to: critically assess inter-party electoral systems with a goal of ensuring political parties are no longer prone to influences of corrupt elements assuming public offices/leadership through political parties.

  • The multilateral organisations and other development partners are held responsible to stop imposing their agenda and conditionalities on the government and other recipient partners, especially the free market neo-liberal macro economic framework which has proven to be bankrupt by the global crisis.

  • Citizens, civil society organisations and the Government are together duty bound to engage in a national debate for a new Tanzania in which there is an alternative macro economic framework for sustainable development that will ensure equal social and economic benefits for all Tanzanians without any type of discrimination – by race, sex, ethnicity, class, age, nationality, religion, disability or HIV and AIDS status.



Issued by FemAct members and signed by
1. Tanzania Gender Networking Programme (TGNP)
2. Legal and Human Rights Centre (LHRC)
3. Concern for Development Initiatives in Africa (ForDIA)
4. Youth Action Volunteers (YAV)
5. The Leadership Forum (TLF)
6. Coast Youth Vision Association (CYVA)
7. Walio Katika Mapambano na AIDS Tanzania (WAMATA)
8. Tanzania Media Women's Association (TAMWA)
9. Youth Partnership Countrywide (YPC)
10. Tanzania Human Rights Fountain (TAHURIFO).
11. HakiArdhi
12. Women Legal Aid Centre (WLAC)
13. Tanzania Coalition on Debt and Development (TCDD)
14. Lawyers Environmental Action Team (LEAT)



22 Mei 2009
 
Utaawala wa kikwete umeanza kuelekea njia ya Hitler. lakini ni kawaida ya tawala ambazo zimejaa propoganda bila uwezo wa ku-deliver'. lets wait these could be the morbidity symptom of the regime
 
i394_ITVCo3.jpg

i395_ITVCo4.jpg


Then...

i396_ITVCo5.jpg

i397_ITVCo6.jpg


And...

i393_ITVCo1.jpg

i398_ITVCo2.jpg


To be continued........
 
Ukijua hili, wenzako wanajua lile. But my worry is the legal battle might divert and give the real war a new unwanted meaning
 
Biography (fupi) ya Prof. Nkoma hii hapa, huenda naye ni fisadi au anatumiwa....
Prof. John Sydney Nkoma Professor John S. Nkoma is currently the Director General of the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) since 2004. As Chief Executive Officer of TCRA, he is charged with the co-ordination of activities of the Authority which include the regulation of telecommunications, broadcasting, postal services; management of the radio frequency spectrum; management of electronic and other Information and Communications Technologies (ICTs).
After obtaining his BSc degree in Physics and Mathematics from the University of Dar es Salaam, Tanzania, Prof. Nkoma obtained his MSc and PhD degrees in Physics from the University of Essex, UK. Prof. Nkoma has over 25 years experience in University teaching, Research and Development, and Senior Management. He was a member of the physics department at the University of Dar es Salaam from 1971 to 1981, where he also served as Head of Department from 1979 to 1981. Thereafter, he joined the University of Botswana, where during 1993 to 1997 he served as Dean of Faculty of Science and was promoted to full Professor of Physics in 1997. He left the University of Botswana in mid-2004 to join TCRA.
Prof. Nkoma is a Fellow of the African Academy of Sciences (AAS), has been Senior Associate, International Centre for Theoretical Physics (ICTP), Italy, is a Member, American Physical Society (APS). For many years he has been the Representative for Africa in the Reference Group, International Programme in the Physical Sciences (IPPS), University of Uppsala, Sweden. He has conducted several consultancies in Science and Technology for developing countries. He has served as External Examiner to several Universities: University of Dar es Salaam, National University of Lesotho, University of Malawi, University of Swaziland, University of Zimbabwe, University of Namibia
In connection with research, Prof. Nkoma's fields of research interests include the study of the interaction of electromagnetic waves with materials (metals, semiconductors and insulators), and the role of science and technology such as ICTs on development. He is the author of over 70 research articles in international journals. His publications include two co-authored books suitable for University students: 1. Introduction to Optics: Geometrical, Physical and Quantum, Bay Publishers, ISBN 99912-511-6-2 (2003); 2. Introduction to Mechanics: K inematics, Newtonian and Lagrangian, Bay Publishers, ISBN 99912-561-4-8 (2004).
 
15s5735.jpg



WRONG MOVE

kwenye hiii nadhani bora wangeiacha ITV ikafa natural death lakini hiiii naweza kubackfire bigtime


I dont like dealing with these issues kwa namna hii...issues kama hizi zina namna yake ya kudeal nayo lakini si hivi
 
Last edited:
this is a wrong move

I dont like it at all

iko namna ya kudeal na Mengi lakini siyo hivi....
 
Last edited:
Sifikiri kwamba wanataka kuifunga, wanataka kumpa jambajamba tu mengi kwa kumtia mi pressure kutoka kila angle.

Ila ndio wanampa martyrdom sasa.
 
Back
Top Bottom