Mpandafarasi
Member
- Dec 7, 2008
- 57
- 11
Mwenye taarifa aniambie kama huyu Nkoma alishakubalika kwamba ni M-Tanzania.
Prof. Nkoma haionyeshwi alizaliwa wapi lakini tangu alipoletwa nchini kutoka huko Botswana, ilieleweka yeye ni raia wa Malawi. Kusoma hapa na kuajiliwa hapa ilikuwa ni makosa ya ujamaa wa enzi hizo. Ano ndugu pia walioko nchini bila uraia wetu na wanaishi maeneo ya Kunduchi.
Pamoja na suala hilo kuzimwa na ikulu, je alishakuwa M-Tz? Isije ikawa tunasumbuliwa na raia wa nchi jirani.
Wakuu,
Kama kuna MewanaJF mwenye details zaidi kuhusu huyu jamaa Nkoma na atupe data hapa ili tuzifanyie kazi mapema please,
Nawakilisha