ITV, Mengi to be dealt with soon | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV, Mengi to be dealt with soon

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Enigma, May 20, 2009.

 1. Enigma

  Enigma Senior Member

  #1
  May 20, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 108
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  I have had a number of opportunities (since I left Busanda) to meet with several officials in the government who have assured me that ITV will be shut down sometimes this week after Mr. Mengi has failed to give "sufficient reasons" why his flagship TV station should not be shut down following the spat between him and Rostam Aziz.

  The little flies who were in Dar, Arusha and Dodoma looking for some "dirt" have collected enough evidence to show that there is an understated collaboration between some rogue intelligence officers and some of the politicians who were removed from power last year. These rogue elements in the service command unchecked influence and power that no one can challenge.

  It is from that collaboration and meetings that intensified sometimes in April (soon after Mengi went public with his allegations) the decision has been taken to tame Mengi and his media outlets and even possible silence him. He has been marked as the individual who pose the most lethal threat to the plan of Agenda 21.

  So, together with him there are number of news outlets that have been marked as well the most prominent of them is this esteemed forum. JF will face a clear threat either to tone down its criticism or required in some way to abide by certain standards that are being drawn especially after the "zeutamu" saga.

  As I fly back to Dar, I believe the plan to shut ITV is being timed with JK out of the country but with all his blessings. As a step toward that goal, Mr. Mengi will be required to give a testimony or explanation to a government entity, the outcome however has already been predetermined. NO NEED to fight. Any resistance will be futile.
   
  Last edited by a moderator: May 29, 2009
 2. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata wafanyeje, huu si mwisho wa mapambano! Aluta continua...
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Muulizeni Spika SAMUEL SITTA kwa nini alikataa ile kamati ya ADAM MALIMA vs MENGI haikuwa public

  from there ndipo utaona picha kamili jinsi Mengi anavyotumia vyombo vyake vya habari...hilo la kumshut down halipo ila mwenyewe akiamua kufanya hivyo well and good as long as ana bide by sheria zinazomruhusu kurusha hayo matangazo


  Kuhusu JF...hapo hakuna kitu unless unataka kutuambia Mengi keshainunua lakini kama hajauziwa then it wont be a bad idea kuuziwa akifika bei...ohhhh kuhusu JF kuwa shut down hilo halipo nyie endeleeni tuuu

  in a nutshell nzi leo naona exclusive yako imekuwa haina kiambatanishi cha upupu kama sikuzote unless utauleta baadae as attachment
   
 4. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2009
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ama kweli siko la kifo cha tabaka tawala na mfumo wao fisadi halisikii dawa...but pia yawezekana ni Mengi anaendelea na pre-emptive strikes zake na kuplay victim as usual...

  omarilyas
   
 5. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mmmmmh, GT unaongea kana kwamba wewe ni Mkuchika!!!!
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Pleeeeease! Mengi is no threat to anyone.
   
 7. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hakuna hata chembe ya ukweli.

  Serikali haiwezi ku-shut down ITV kwa reasons ulizoziweka hapo juu, hazina uzito wowote whatosever.

  Labda hii habari ni ya kuchangamsha genge!
   
 8. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  shekhe mwenzio nilikuwa nawasikilia Nadi Ikhwan Safaaa lakini wanifanya nirudi ahhh unamambo weye!

  [​IMG]

  nisikilize kwa makini sana

  JF ilikuwa tishio in 2005 au 2006 mwanzoni kama sikosei na ni kweli walitaka kuishut down kwa kupanic lakini common sense ika prevail...ndio sometimes huwa wanapiga kijisindano now and then just kuwakumbusha kuwa wapo

  JF ilikuwa ina members ambao walikuwa kwenye listi ya who is who was INTELLIGENTSIA wetu hapa mjini kuanzia academics kama akina Marjorie Mbilinyi mpaka ma lawyers na madaktari

  Then half way through ikaanza kukosa mwelekeo na nzi kuendelea kulikisha madude wale jamaa wakaanza kuogopa na hii pia ilichangiwa na utoto mwingi ulijikita na msumari wa mwisho ukawa enzi za hoja kujibiwa kwa hoja ikafa na ukaingia ushabiki...wa akina Mengi, Freeman, CCM, CHADEMA, Rostam then waarabu wanasema ikawa KHALAS!

  sasa why would they shut down kitu ambacho hakina threat kwao? by the way utamu sie wengine tunaupata kama kawaida ila kuna namna ya kufanya ndio utaweza kuiaccess.

  Lakini having said that Mengi anataka ku pre-empt mambo ambayo hayapo ila yakitakiwa kupatikana yatapatikana kwani ushahidi upo wa kutosha kumnyanganya leseni na kukifunga kabisa hicho kituo..but

  why pick a fight wakati mbagala watu hawana vyoo baada ya kulipuliwa mabomu?

  why pick a fight wakati kuna by elections mbili?

  Why pick a fight na attention *****?

  Muhimu ni kua address machache yaliyopo kwenye ilani ya uchaguzi
  Nzi rudi tena na zaidi ya haya uliyoleta...

  listening status: MASIKINI ROHO YAKO by IKHWAAN SAFAA
   
 9. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2009
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  He'll get an injunction... itaizua serikali from doing that... And ITV ikiwa down ita reinforce argument that ccm belongs to rostam along with jakaya and that is something that jk wudnt let happen because it will lead to him being perceived as weak and under the control of huyu muiran.. so thts not going to happen... Mengi aonekane shujaa, from there he can even run for president he himself..lol.. ccm hawawezi kufanya hivyo..
   
 10. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,589
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Game, route aliyochukua Mengi inaweza kum cost kama asipopata support ya wazalendo, kwasababu uelewa wa wabongo nao una extent yake. Inanikumbushia ile stori ya kelele za mbwa mwitu zilizopuuziwa kwasababu kila mara waliojitolea kuja kumrescue mpiga kelele hawakumwona mbwa mwitu,tusipomwona mbwa mwitu,Mengi will suffer,hope kuna wazalendo tosha wa kuamua kumpa support kwani utumwa umetulemaza na hatuoni ni kwa vipi na sisi na rangi zetu na race zetu kuwa we can!
   
 11. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Mengi is a non issue...he seized to be an issue long time ago ...au ushasahau jamaa yetu alivyomsum up huyu Mengi?  Ngoja nikukubushe...kwenye ile thread ya ANATOMY OF STUPIDITY...ambayo wengi hawaipendi kwa sababu inawagusa jamaa zao:

  Kuhusu Mengi kuwa President hebu kwanza kunya chai kisha urudi


  Mengi wanaomsupport si wengi kama unavyofanywa uamini...the bottom line hana appeal yoyote ile kwa watu wa kawaida..demographic yake ni urbanites na wanaojidai kupiga vita ufisadi wakati na wao pia ni mafisadi

  Kama huamini then go back to OCTOBER 1995 pale shule ya uhuru (siku hizi wamejenga MWM school) binafsi niliamini kuwa kweli MREMA na NCCR wako in tune na wananchi...lakini matokeo yakawa mengineyo...the issue si kuwa wananchi wanaipenda sana CCM ila tatizo ni kuwa they care less about alternative. Kama huamini nenda kwenye kisiwa cha KWALE kisha waulize maoni yao kuhusu Mengi
   
 12. M

  Mkandara Verified User

  #12
  May 21, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mnajua nini wanabodi!.. Mimi baada ya kufikiria sana haya mambo yote yanayotokea nadhani kuna kila sababu ya Utabiri wa Sheikh Yahya Ukamilike!..
  Binafsi naanza kuamini kwamba Mengi anaweza kuwa solution ya matatizo yetu kwa sababu sasa hivi ndiye adui mkubwa wa mafisadi.
  Maadam Dr. Slaa amekataa kusimama, ubashiri wangu unanambia kwamba Mengi ni mtu pekee anayeweza kusimama dhidi ya Kikwete na AKASHINDA...
  Na haitakuwa raha kama Mengi ataondoka CCM na kujiunga na chama cha Upinzani kwa minajiri hiyo tu..Ajiunge na chama chochote kile maadam asiwepo mgombea wa kiti hicho kutoka chama kingine cha Upinzani (muafaka upitishwe baina ya vyama hivi).. waachie ngoma iwe kati ya Kikwete na Mengi kisha vyama hivyo kama kawaida yao vigombanie ruzuku na posho za majimbo (Ubunge)..
   
 13. C

  Chuma JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2009
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkandara kweli umeishiwa ....hata kufikiri unashindwa....!!

  Mzee una papers huko canada au umejilipua km Mzee mwenzako?

  Kama Mengi anauwezo agombee CCM, maana yeye amekuwa akitumika kuonesha mambo ya vita vya rwanda wakati wa uchaguzi kuwatisha wananchi wasichague upinzani... for what good Mengi amefanya hadi umfikishe hapo?

  yeye ni oppurtunist fulani tu.
   
 14. M

  Mkandara Verified User

  #14
  May 21, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Chuma,
  Mkuu mimi nimejilipua kama mzee mwenzangu nasubiri paper, sasa unasemaje!..wee vipi unakanyagwa nini?
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Tuko pamoja kwenye mengi sana humu jamvini but i DISAGREE COMPLETELY ON THIS ONE, you dont need a president simply because he fights mafisadi bana

  Presidency ni istitute na sio kwa Mengi, he is as good as he fights Mapapa but not for presidency

  Lets not mix up things
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Game Theory!!

  Now this is what I missed of you in recent months, you have rightly put some of us into perspective!! Nadhani pia utakuwa umetukumbusha wajibu wa JF kama baadhi yetu (wageni kama mimi) na pia kuonyesha status bar ilipo sasa.

  I hope its not too late kuamka na kuacha siasa fupifupi zisizo na kina ili kutoa support ya kweli kwa nchi

  La mwisho kwa leo, do you think hao viongozi upupu tulionao wanauelewa kama wa kwako? si ajabu yote uliyouliza hayawasumbui wao ni fululu fululu tupu


   
 17. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Well said GT, welcome back. Duh...sijui kilikusibu nini siku za hivi karibuni...!!!
   
 18. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Mkandara,

  Kwenye hili mkuu umefikiria kinyume kabisa; siku ambayo Mengi ataamua kuingia kwenye siasa ndio utakuwa mwisho wa mtu yoyote kujitokeza na kuwanyooshea kidole mafisadi.!!

  Sasa hivi Mengi ana sauti ya juu kwa sababu wananchi hawamchukulii kama mwanasiasa, wanamuona mfanyabiashara mwenye upendo na nchi yake; sifa hiyo ikiyeyuka sio tu kwamba itamuadhiri Mengi bali Taifa kwa ujumla.

  Binafsi sipendi kabisa kila raia mwenye ujasiri kama alio uonyesha Mengi aingie kwenye siasa...ni vizuri sana tubakie na wengine ambao sio wanasiasa lakini wana heshimika kwenye jamii.

  Nasikitika sana hatuna viongozi wa dini sasa (na hata wale waliostaafu) wenye ujasiri wa kukemea maovu nchini, hawa mchango wao ungekuwa mzito kuliko wa watu kama Mengi mara elfu na elfu.
   
 19. M

  Mkandara Verified User

  #19
  May 21, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  MTM na YeboYebo,
  Wakuu zangu kwanza ningewaomba mnisikie..
  Unajua siku zote tujaribu kufikiria nje ya sanduku na mapenzi yetu kwa sababu huwezi kunambia hata mtu mmoja ambaye anafaa kuwa rais hasa nchi zetu za kimaskini..Huyo marehemu Mwl JK. Nyerere alipoingia TAA hakuna aliyedhani anaweza kupata Umaarufu huo, Mwinyi na Mkapa wote hawa walikuwa watu wa kawaida kabisa na naweza kusema hawakuwa wanasiasa basi tu zari iliwatokea.
  Kuhusiana na Mengi mimi napima yote haya yanayotokea na jinsi anavyoandamwa iwe ktk miradi au Siasa. Mengi pamoja na kuwa mfanyabiashara ana husika sana ktk Siasa za nchi yetu sawa na Padre Mtikila.. Ebu nambie kuna mfanyabiashara gani ambaye sisi sote tunafahamu ni mwana CCM kama huyu jamaa na imekuwaje watu tukamfuatilia kiasi hicho kwa mazuri yake kinyume cha watu kama Rostam!.
  Pili, Ukitazama jinsi Mafisadi wanavyomvalia njuga, sio jana wala juzi na imekuwa hata kumwingilia ktk matangazo ya TV yake ambayo ni biashara yake. Wanataka aiendeshe kwa jinsi wanavyotaka wao jambo ambalo nashindwa kuelewa wakati wanavyo vyombo vyao vinaendesha vipindi kinyume vile vile.
  Tatu Umaarufu wa jamaa huyu kweli umetokana na biashara lakini ktk chaguzi nyingi tumeona kwamba Umaarufu wa mtu ni kigezo kikubwa sana... Na Kikwete alianza kutangazwa toka mwaka 1995 na akajengwa kufikia kuwa huyo tunayemwona leo..Bado hizo sifa unazozihitaji sizioni kwa Kikwete wala mgombea yoyote unayefikiria. Wote wanasiasa haswa wameondoka bila hata kukanyaga Ikulu.
  Waliyasema haya haya kwa Gavana wa California mbeba vyuma, mcheza sinema - Anold Shwarzenegger kwamba atapoteza umaarufu wake akiingia Siasa, badala yake leo hii amekuwa Gavana anayejulikana kuliko magavana wote wa Marekani..Na wapo watu wanaoamini anaweza kuchukua Urais wa Marekani kama wataruhusu mzawa wa nje kugombea. Ukiwauliza sababu watakupa kama zangu.. ni mtazamo tu wa kifikra.
  Hivi ndivyo vipimo vilivyonisukuma mimi kufikia fikra hizo na kimawazo nimeiona challenge kubwa kwa Kikwete ikiwa mengi na umaarufu wake anaweza kugombea. na naweza kusema Mengi ana CV bora zaidi ya wagombea wengi kwani vita ya maskini huanzia kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake...
  Kumbukeni tu kwamba nchi yetu imerudi nyuma sana kifikra na watu wengi badala ya kufikiria kuijenga nchi chini ya utawala uliopo wameisha kata tamaa. The main issue sasa hivi ni Ufisadi na bila kuondoka Ufisadi wananchi watakuwa bado na kamba shingoni..Na hakuna tofauti kati ya kamba shingoni au minyororo ya mkoloni..Yote ni kutawaliwa.
  Mengi simjui na hata siku moja sijawahi kumwona zaidi ya picha zake, lakini huyu mtu ana kitu fulani ambacho kusema kweli kinanipa mwanga wa kumwona kama mshindani mzuri sana wa kisiasa kwa Kikwete kwa sababu anajulikana sana hadi vijijini ambako jina la mtu linaweza kuwa sababu kubwa ya kura za wananchi kumiminika...
  Na mwisho, kila mara hujiuliza - Ni kitu gani hasa kinachowatisha viongozi na hasa Mafisadi kutokana na huyu jamaa.. kweli ananyimwa uwekezaji sehemu nyingi sana lakini ukitafuta sababu huwezi kuipata. Benki na other financial institution zipo tayari kumpa fedha kwa mradi fulani inakuwaje iwe tatizo kubwa kwa viongozi wetu kumpa huyu mtu mradi wa Kitaifa kisha apewe mgeni ambaye hatujui hata alikotokea!..
  Kuna siri gani haswa!..
   
 20. M

  Magezi JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145

  Kuhusu MREMA na NCCR enzi hizo hapo sikubaliani na wewe. Baada ya CCM kuona wameshindwa uchaguzi mfano DSM, walifanya faul za makusudi ili uchaguzi urudiwe na tayari walikuwa na masanduku yaliyo jaa kura. Nakubaliana na wewe kuwa waTZ hawana uvumilivu, lakini la 1995 hapana ni wizi tu wa kura ulitawala lakini Mrema angechukua majimbo yote ya mijini.
   
Loading...