ITV, Mengi to be dealt with soon

ITV, Mengi to be dealt with soon

u really believe thats the case? I stand to be corrected lakini je kuna precedent ya serikali kushtaki any of its institutions? Serikali inazidi kumwongezea mengi washabiki na umaarufu wanapomfungulia kesi za kijinga ambazo atashinda.

Mh,
Tangu lini serikali legelege, iliyotekwa na genge la mafia (mf. serikali za Equatorial Guinea, Madagasca, na nyiginezo) iliwahi kushinda kesi mahakamani bila kutegemea rushwa?!

Ofisi ya mwanasheria mkuu imejaa watoto wa mafisadi; kuanzia shule za awali hadi vyouni (vyuo vikuu pia), kufaulu kwao hutegemea ama kuiba mitihani au kununua vyeti. Umahili wa kuandaa au kujibu hoja thabiti za kisheria wataupata wapi? Haupatikani kwenye rushwa bali serious study! Huo ndio ukweli utawala wa kifisadi. Kila kitu; vyeo, uongozi, mapenzi, heshima hununuliwa kwa hongo au rushwa!
 
Baada ya kuona hizi documents, more respect kwa Enigma-loosely translated as mysterious, difficult to identify person.

Catch him if you can.
 
Tusilaumiane.Hawa wahindi noma.Mpaka sasa tumeshashindwa.Kila kitu hapa kwetu cha wahindi.
Wahindi ni watu wajanja sana na wasiri sana.Kwa wale wenzangu mlio ugenini au mliowahi kukaa ungenini mtanielewa .Lazima uwe mjaja ili usurvive ugenini.Ee mbona kama wenyenji wakiwa nyanya watapokea amri toka kwako.Ni asilimia ndogo ya ujanja wa wahindi tunao ujua.
Kila nchi walipo wahindi wanakuwa na serikali yao ndani ya nchi hiyo.Wanakuwa na raisi wao.wanakuwa na mawaziri wao.Sera yao in kulinda maslahi yao.Na hapa mbinu mbalimali kali hutumika kutegemeana na nchi walipo mojawapo ni kuwa na Powerfull local mercernaries.
Kwa hapa afrika wamesoma mind za wenyeji-uwezo na udhaifu wao toka (First class citizens to sixth class citizen)
Daima nguvu yao ni pesa.Wahindi ni watu wabaya sana.Na ni wabaya sana hasa kwetu sisi
Utaelewana na mhindi tu pale utapokubali kuwa second class Citizen na umekubali kununuliwa.
Haya yetu macho.Reginald Mengi hakubali kuwa second class citizen na hataki kununuliwa.The match-Reginald Mengi VS wahindi.The match that is fought in all fronts-known and unknown.

Mwaka jana nimekaa India kwa miezi sita ndo nilijua wahindi walivyo. Kwanza wanadharauliana sasa wao kwa wao. Pili kama ulivyo sema wahindi ni wasiri mno, halafu wanapenda kuabudiwa. India salamu lazima wakubwa washikwe miguu....shangaa.... rushwa ndo usiseme, tena wao wanatoa wazi wazi, japokuwa serikali ya india sasa hivi inapambana vilivyo dhidi ya rushwa.

Kitu kingine kinacho wafanya wahindi wakija africa hawataki kurudi kwao, bora watoe rushwa ni umaskini na maisha magumu kwao. Mimi nimeishi nao, chumba kimoja unakuta watoto wa kike na wa kiume na baba na mama humo humo kwa hiyo wakionja raha ya bongo hata umuue hatoki!

Tunacho takiwa kufanya ni kutowapa mwanya wa rushwa, na mhindi hakuthamini mpaka ajue kuna kitu unacho yeye hana, hapo anakuwa na adabu.

Mengi wanamchukia kwa sababu anajua siri zao na hakubali wajionyeshe eti wanfedha kumbe wamwziiba serikaini wakati yeye anahangaika kuzitafuta kihalali, hiki ndo chanzo cha ugomvi.

Usione hao eti manji, RA, n.k. wote wamekuja maskini lakini wametumia rushwa kuwanunua viongozi wetu wenye njaa na sasa wamejilimbikizia mali na pesa ambazo si halali, ndo hapo tulipo fikia.
 
Mkuu Mtumishi,

Nimeziona hoja zako lakini labda nikueleze kuwa hoja hizi zinatiririka kwa kadri matukio yanavyobadilika au hoja za nyongeza zinapojitokeza.
Kwa mfano hoja yangu ya kwanza niliitoa wakati thread hii haikuwa na mwelekeo wowote au kitu thabiti cha kutufanya tujiingize katika details. Baada ya kuunganishwa kwa hizo barua hapo juu sitegemei hali ya uchangiaji itabaki kuwa ni ileile la hasha, kuanzia hapo tunajadili yale mapya yaliyojitokeza ambayo hayakuwepo hapo mwanzo. Bahati nzuri maelezo ya kwenye barua yanajieleza kuwa yanayotokea yanaweza kutokea kwenye taasisi yeyote ile. Kutakiwa Mengi?ITV kutoa maelezo ya uvunjaji wa taratibu au sheria si kitu kigeni.
Kwa faida yako na wachangiaji wengine kuwa, hata Mengi alipokuwa mwenyekiti wa baraza la mazingira la taifa (NEMC) aliwahi kuongoza harakati kadhaa ambazo tulionyeshwa kupitia ITV akiamuru viwanda kadhaa kufungwa kwa kukiuka taratibu na sheria zinazohusu utunzaji wa mazingira. Kwa hiyo hili si jambo geni ni la kawaida huzikuta taasisi au kampuni yeyote ile. Kuna watu ambao walikuwa wanalalamika kuwa Mengi anakwenda kufanya kazi kiutendaji ambazo zilitakiwa kufanywa na Mkurugenzi wa NEMC lakini wengine waliona sawa tu ili mradi ametekeleza kazi za NEMC.
Mwisho, sh*t si tusi.
Mkuu yamekuwa hayo tena,umepiga bonge la U-Turn,polepole tutafika tu na ukweli siku zote utasimama
 
I have had a number of opportunities (since I left Busanda) to meet with several officials in the government who have assured me that ITV will be shut down sometimes this week after Mr. Mengi has failed to give "sufficient reasons" why his flagship TV station should not be shut down following the spat between him and Rostam Aziz.

The little flies who were in Dar, Arusha and Dodoma looking for some "dirt" have collected enough evidence to show that there is an understated collaboration between some rogue intelligence officers and some of the politicians who were removed from power last year. These rogue elements in the service command unchecked influence and power that no one can challenge.

It is from that collaboration and meetings that intensified sometimes in April (soon after Mengi went public with his allegations) the decision has been taken to tame Mengi and his media outlets and even possible silence him. He has been marked as the individual who pose the most lethal threat to the plan of Agenda 21.

So, together with him there are number of news outlets that have been marked as well the most prominent of them is this esteemed forum. JF will face a clear threat either to tone down its criticism or required in some way to abide by certain standards that are being drawn especially after the "zeutamu" saga.

As I fly back to Dar, I believe the plan to shut ITV is being timed with JK out of the country but with all his blessings. As a step toward that goal, Mr. Mengi will be required to give a testimony or explanation to a government entity, the outcome however has already been predetermined. NO NEED to fight. Any resistance will be futile.

Sifikiri kwamba wanataka kuifunga, wanataka kumpa jambajamba tu mengi kwa kumtia mi pressure kutoka kila angle.
Ila ndio wanampa martyrdom sasa.


Kuna kitu alisema Enigma.. I need to that again... I probably missed something. Is this it?


Baada ya kuona hizi documents, more respect kwa Enigma-loosely translated as mysterious, difficult to identify person.
Catch him if you can.


Heshima nzito kwa Mkuu Enigma.

Ni dhahiri huu mkakati wa RA na wenzake wa kuifunga ITV uko mbioni kama alivyodokeza Enigma. Otherwise sioni sababu ya kwa nini Mawakili wa ITV/ Mengi wameona kuna umuhimu wa kwenda Mahakamani Kuu mapema namna hii; itakuwa wameona TCRA wanatumiwa na genge la RA.


Maoni yangu ni kuwa TCRA wanaweza kumuadhibu Mengi/ITV kwa njia nyingi. Mojawapo na ambayo "more likely" litakuwa chaguo lao la kwanza ni kuipunguzia ITV "coverage". Iwapo sasa hivi anaruhusiwa kurusha Tanzania nzima basi wanaweza kumpunguzia kwa kumuondolea kanda ya Kaskazini (kama mfano). TCRA kabla ya kufanya hivyo ni lazima wawe na sababu, kama tunavyoona hapa mikakati ya kutafuta hizo sababu zinafanyika kwa bidii.

RA na kundi lake wamajikita zaidi Kanda ya Kaskazini (Arusha n.k) na Ziwa Victoria (Usukumani na Unyamwezini), tusishangae kuja kusikia ITV imepigwa mafuruku kurusha matangazo yake katika ukanda huo. Wakati huo huo ABC Television (inayomilikiwa na Lowassa & Co.) ndio imeshakabidhiwa leseni kurusha matangazo Arusha....connecting the dotes.
 
Kumbe ni kosa kukiuka ratiba ya vipindi ??!!! Sasa kama kuna breaking news inakuwaje?

Labda, lakini kama ndiyo hivyo... Je ile airtime aliyopewa Rostam Aziz na TBC nayo si itakuwa similar case?
 
Heshima nzito kwa Mkuu Enigma.

Ni dhahiri huu mkakati wa RA na wenzake wa kuifunga ITV uko mbioni kama alivyodokeza Enigma. Otherwise sioni sababu ya kwa nini Mawakili wa ITV/ Mengi wameona kuna umuhimu wa kwenda Mahakamani Kuu mapema namna hii; itakuwa wameona TCRA wanatumiwa na genge la RA.


Maoni yangu ni kuwa TCRA wanaweza kumuadhibu Mengi/ITV kwa njia nyingi. Mojawapo na ambayo "more likely" litakuwa chaguo lao la kwanza ni kuipunguzia ITV "coverage". Iwapo sasa hivi anaruhusiwa kurusha Tanzania nzima basi wanaweza kumpunguzia kwa kumuondolea kanda ya Kaskazini (kama mfano). TCRA kabla ya kufanya hivyo ni lazima wawe na sababu, kama tunavyoona hapa mikakati ya kutafuta hizo sababu zinafanyika kwa bidii.

RA na kundi lake wamajikita zaidi Kanda ya Kaskazini (Arusha n.k) na Ziwa Victoria (Usukumani na Unyamwezini), tusishangae kuja kusikia ITV imepigwa mafuruku kurusha matangazo yake katika ukanda huo. Wakati huo huo ABC Television (inayomilikiwa na Lowassa & Co.) ndio imeshakabidhiwa leseni kurusha matangazo Arusha....connecting the dotes.

One thing is for sure...mengi has disrupted the way the EPA money was meant to be used by these guys..now they are busy investing in media kujisafisha na kujilinda...hela za laaana bwana.
 
kwenye hiii nadhani bora wangeiacha ITV ikafa natural death lakini hiiii naweza kubackfire bigtime

ahahahahahahah!haya baba

inaonekana zile data zako za kumpinga enigma ULIKUWA UNATUMIA LINEAR INTERPOLATION!

we lazima ni mwalimu wa hesabu unajua i thought kamba YOU HAVE SOMETHING WITH PROOF!

anyways bro!
 
2010 tuwe makini na kura zetu...tusione aibu kuuliza hela za tshirt na pilau zinatoka wapi? 2005 tulilala saaaaana.

Naomba Vyama vya UPINZANI kulipeleka hilo kwa wananchi kila wanapoenda kuwahutubia. Lazima wawaambie wananchi kuwa hizo T-shirt na Pilau ni mali yao wenyewe, ni hela ya madawati, hela ya hospital, hela ya pembejeo, hela ya kuchimbia visima vya maji, hela ya umeme, hela ya kulipa waalimu mshahara etc.
 
Mkuu, hii haikuwa ya kawaida. HATA ingekuwa TBC1 wametumiwa barua ya karipio kama hii ya ITV bado haitakuwa na shutuma kali kama ya ITV. Sio tu ITV wanadaiwa kuvuruga ratiba ya vipindi BALI wanadaiwa ku-" incite race hatred"

Kwangu naona TCRA wamedaka hisia za wanasiasa ambao waliona kama Mengi alikuwa anawatafuta waasia...jambo linalonitisha. Ingekuwa yale mapapa aliowataja wangetokea kwa bahati mbaya wakawa wazaramo wote au wahaya basi ITV wangeshitumiwa kwa ukabila au wangekuwa ni waislamu au wakristo basi ingekuwa udini. Je hamwoni TCRA wanatafuta kuigawa nchi kinyume na yale ambayo tuliyoyasikia kwa Mengi!

Imekuwa bahati njema mno hizo documents zimekuja hapa na kutudhihirishia uozo mtupu ulioko kwenye vyombo vya serikali yetu, tusingelijua haya yote !! Kumbe serikali imejoo uozo, na huyo Prof ANATUAIBISHA TULIOENDA SHULE! Wuuuuuuuuuii Mungu atubariki, tusikate tamaa tutafika tu.

Asante sana kwa aliyeleta hii posting.
 
Just out of curiosity,

Leseni za haya mashirika ya utangazaji zinatolewa kwa kipindi gani? Naogopa isije kufika wakati wa kuomba kuongeza muda wa leseni za ITV na Radio One tukaambiwa amekiuka baadhi ya maadili.

Pili, isije ikawa kuna bureaucracy katika kuongeza muda wa leseni ambao huwezi kwenda mahakamani kwanza mpaka umemaliza ngazi zote za kukata rufaa ndani ya utaratibu wa sheria za mawasiliano[Sijui kwa sheria za TCRA zimekaaje]. Si unajua mambo ya 'discretionary power' kutumika kama 'delay tactics' ili kumyamazisha mtu

Naomba kuwakilisha.
 
kwa wataalamu wa sheria je hiyo compliance order inaweza kuwa batili kwa kukosa tarehe ana seal? maana hiyo order inayo tarehe ya iliyoandikwa ila hakuna tarehe na seal kama walivyoainisha wanasheria wa mengi. au ndio mambo ya typo error?

katika barua yao kwa tcra wanasheria wa mengi wamekumbusha kwamba suala husika lipo mahakamani na kushauri umuhimu wa kuzingatia taratibu za kushughulikia masuala yaliyopo mbele ya mahakama. hata hivyo ngalo walikwenda kama walivyoitwa na haijawekwa wazi kama tcra waliendelea kuwahoji mengi na wanasheria wake. sasa kama waliwahoji huku wakijua fika kwamba suala hilo lipo mahakamani je tcra wanaweza kutuhumiwa kwa kuvunja sheria? au hiyo ndio sababu ya mengi kupeleka suala mahakama kuu?
 
Huyu mengi nae mpuuzi maana nashangaa kwanini he ddnt seek legal advice kwa hawa kina ngalo kuhusiana na what might happen as a result of the announcement.. Au labda walimpa ill advice...
 
I have no doubt kuwa Mengi ndiye anayehusika na hizi barua kufika hapa, je motive yake ni nini ikiwa tayari mawakili wake wana shughulikia hili swala?

So far mambo yako katika hatua za mwanzo, Mengi ana wasiwasi gani gani hadi kutofika kuwaamini mawakili wake?

Je, hawa mawakili wana mshauri vizuri mteja wao?

Pundamilia,
Naona wikiendi uliianza toka jana, ....
 
And the drama between Mengi and "others" goes on and on. Ngoja tuone mwisho wake utakuwaje. I like this comedy.
 
Dah nahisi kizungu zungu dah
hakuna haja ya kuwa na woga kuhusu haya mambo.Bwana Mengi ni mtu wa kumanuva.Kuna njia za kuwajibu...na kuweza kupambana nao.Yeye ni rafiki mkubwa wa Jk ,mabalozi na watu wengi influential.
 
I have no doubt kuwa Mengi ndiye anayehusika na hizi barua kufika hapa, je motive yake ni nini ikiwa tayari mawakili wake wana shughulikia hili swala?

So far mambo yako katika hatua za mwanzo, Mengi ana wasiwasi gani gani hadi kutofika kuwaamini mawakili wake?

Je, hawa mawakili wana mshauri vizuri mteja wao?

Punda, achana na mawazo ya "Kipundapunda" na badala yake jadili issue. Sasa kama yamekushinda kabisa kwanini usim PM robot Invisible ili aweze kukujulisha kuwa amezipataje kama una mind kwa sana? Huwezi kuwa hapa JF unajadili hoja halafu unalaumu kuwa nini kimewekwa hapa na moderators,kama kuna shida nadhani unaweza kwenda kule kwenye malalamiko ili ufikishe yale yanayokusibu.

Wanasema if its too hot why stay in a kitchen mkuu,joto likizidi unajiondoa jikoni,kuna forums nyingi tu kama michezo,hoja mchanganyiko na hata muziki wa gospel na kizazi kipya mkuu.

Kwa kifupi ni kwamba huna haki ya kuuliza kwanini habari flani ama document flani imewekwa hapa,hiyo ni kazi ya moderators,wewe ni kujadili ama kuwa msomaji,unless ni posting unayohisi ni disrespectful ama unlawful,ni options mbili ambazo zinakupa uhuru wa kutosha kabisa wewe kama mwanadamu,na si kama "Punda"
 
Niliwahi kusema:

Jamani Sheria ya TCRA inasemaje kuhusu hisa za wazalendo? Naaambiwa inakataza wageni kumiliki hisa zaidi ya 65% lakini RA anataka kuzipeleka nje zote. Inadaiwa kwamba wanatoa kisingizio cha UFISADI alioufanya Mkapa kwa kuuza kinyemela hisa za serikali katika Mobitel (sasa TIGO) na hivyo Tigo sasa inamilikiwa kwa asilimia 100 na wageni lakini sheria inakataza. Wanajaribu kutoa tafsiri ya kisheria kupotosha kwamba eti sheria ilikua na maana na kuanzishwa tu then baadaye mzalendo anaweza kuuza popote wakitoa mfano wa TIGO walkati TIGO ni UFISADI wa Mkapa na genge lake. Sasa Chenge (akiwa Miundombinu) aliandika waraka kwa AG Mwanyika akitoa maeleekezo ya kutaka RA aachiwe auze hisa zake. AG inasemekana alikataa kabla ya kubanwa na kulegeza kamba, na baaaye Bodi ya TCRA ikagawanyika kabla ya kupitisha lakini Management hadi sasa ina maoni tofauti kuhusu uamuzi wa bodi, Inasema sawa, bodi ina uamuzi lakini si kukiuka sheria, sasa kazi ipo maana wanaandaa mabadiliko ya Sheria Ndogo (regulation) ambayo zamani ilikua Waziri anaweza kubadili tu kwa kutangaza katika gazeti la serikali (GN) lakini sasa Samuel Sitta, anaelezwa kuwa kizingiti kwa kuunda kamati ya bunge ya Sheria Ndogo ambayo sasa italazmika kupitia kwanza sheria ndogo kabla haijatangazwa katika GN. Ndio maana kulikua na mkakati maalumu wa kumng'oa Sitta ili kuruhusu hiyo regulation tena inabadilishwa kwa sababu ya mtu mmoja tu, RA. Hizo ni HABARI ZA UHAKIKA MNO!!!!!!

Habari zaidi kuhusu ufisadi wa Chenge, RA na EL tutawaleteeni soon,na kwa wale waliosikiliza Bunge leo, wafuatilie Mchango wa Mbunge mmoja mwanamke wa Chadema, anayetoka mkoani Kilimanjar, aliyeuliza fedha za Barabara ya MSata-Bagamoyo na fedha za uwanja wa Ndege wa Mwanza
progress.gif

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/10865-rostam-aziz-new-habari-corporation-facts-126.html

Je, TCRA wanakumbuka ama ndio wameshazima soo? Hii ndio muone mwanzo wa mahusiano mema kati ya TCRA na RA
 
Back
Top Bottom