ITV, Mengi to be dealt with soon

Jamani TBC pia wameandikiwa wajieleze, barua aliyopata Mengi(soma ITV) pia TBC wameipata.

Tatizo lenu ni nini? Ushabiki au?
 
Tatizo ni kuwa haikutangazwa mapema kuwa nao TBC wamepewa onyo isije kuwa onyo limetoka baada ya JF kukemeaa.....
 
Kuna kitu kimoja ambacho watu hawajakielewa hapa. Madai kwamba Mengi ametumia vyombo vyake vibaya kuwasema watu wengine yanatoka wapi? Yeye aliitisha mkutano na waandishi wa habari. Vyombo vya habari vyenye ujasiri vikaandika na kutangaya alichokisema, ikiwa ni pamoja na vyombo vyake mwenyewe- Kosa hapa ni lipi? Inamaanisha ukimiliki vyombo vya habari basi usiitishe press conference? Au vyombo vyako visitangaze kile utakachokisema?
 
Back
Top Bottom