It's Friday it's okay🍻 ndio imeanza hio unainjoi weekend ukiwa wapi?

It's Friday it's okay🍻 ndio imeanza hio unainjoi weekend ukiwa wapi?

Hakuna siku ulilala nnje ila unataka kujenga😅
Utamaduni wa mwafrika haaahaa Mimi nakaa kanyumba Fulani iviii nakalipia 300,000 mzee sio pesa ndogo kwa uchumi huu..

Let's say nyumbani unawaachia 10,000 hapo Kila kitu kipo kwa fridge na vyakula vingine vyoteee vipo... Michele, unga, tambi, sukari e.t.c

Bado usafiri/ nauli na emergency zinginee..bado budget ya pombe Kila siku walau 20,000 ELFU YA POMBEEE AISEEEE..

Hapo hujasaidia ndugu na jamaa mbali mbalii maisha ya town ni gharama sana sanaa 😊 😊 😆 😁

NB. MUHIMU SANA SANAAAAAA TENA SANA KUUPA MOYO POLEEE
 
0e4b1dd8-90d2-4ae4-84a0-6d3345774fde.jpeg
 
Back
Top Bottom