It's Friday it's okay🍻 ndio imeanza hio unainjoi weekend ukiwa wapi?

😀
screenshot_20250822-215731-2-jpg.3585610
Hii kitu tamu sana
 
Nipo Samaki Samaki "maafisa Ubashiri" walipiga mzigo wa UEFA naona ndio wanaingia, nimegundua jambo moja, wengi wanakuja na Bajaj Bolt na kwa maa ya kwanza hapa Mlimani City Parking zipo wazi, nini kimetokea huko mtaani?
Watu wapo ila magari hakuna.
Ngwese lipo juu
 
Safi, unakunyw bia lakini?
 
Back
Top Bottom