Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,803
- 95,690
Siwezi kunywa hivyo bana..safari ina mzuka flani hivi amazing ngoja nibaki hapo hapoSo itakubidi unywe nyingi nyingi ili uone kama unaweza ifeel ukalewa, na baada ya hapo?😂😂
Siwezi kunywa hivyo bana..safari ina mzuka flani hivi amazing ngoja nibaki hapo hapoSo itakubidi unywe nyingi nyingi ili uone kama unaweza ifeel ukalewa, na baada ya hapo?😂😂
Yeah, ukishatosheka hapo we kaa kwa kutulia tu usubiri amani ya moyo wakoSiwezi kunywa hivyo bana..safari ina mzuka flani hivi amazing ngoja nibaki hapo hapo
Totoo njooMfundishe mtoto pombe angali mdogo ,ili asije kunywa kwa kujificha , mambo ya walevi 3: 19
Wazazi wakitaka kwenda kazini walikua wanatunywesha mbege ili tusinzie watoroke😅
dah! 😅 haya bwana,
Shaka Ondoa Chifu....!!!KulA maisha
Unatumia ipi totoo?dah! 😅 haya bwana,
Ndio maana mmeshindikana 😀😀Wazazi wakitaka kwenda kazini walikua wanatunywesha mbege ili tusinzie watoroke😅
Pole…Kitandani,siko vizuri kiafya.
Mi nakunywa maji tu 😁Unatumia ipi totoo?
😀😀😀 Msabato? Au Mlokole? Maana hao hata wine watakukemea mapepoMi nakunywa maji tu 😁
Walokole wanakunywa kwa kujificha , ogopa matapeli😀😀😀 Msabato? Au Mlokole? Maana hao hata wine watakukemea mapepo
Kwenye maji ntakumixia na chochote kitu uyumbe kdogo
nakuja na maji yangu😁😀😀😀 Msabato? Au Mlokole? Maana hao hata wine watakukemea mapepo
Kwenye maji ntakumixia na chochote kitu uyumbe kdogo
Hairuhusiwi kupita na chochote getininakuja na maji yangu😁
Ni wanafki kinomer 😀Walokole wanakunywa kwa kujificha , ogopa matapeli
Kama una ya bia moja nenda bar , safari moja huanzisha nyingne , hakuna mlevi atakuacha usiyumbe bwasheeAisee na hivi nimefulia, unanitamanisha sana
Wanakunywa chooni halafu wanatafuna majani ya mapera kukata harufu😅Ni wanafki kinomer 😀
Nawajua..