Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,825
- 95,676
Situmii hizo takataka. Beer yangu ni safari..nikikosa nitakunywa wineNikajua wewe ni mdau wa brutal na mwenzake Savannah 😊
Situmii hizo takataka. Beer yangu ni safari..nikikosa nitakunywa wineNikajua wewe ni mdau wa brutal na mwenzake Savannah 😊
Kwanza unajenga ili iweje?Hapo sasa, huku kwenye baa nilipo huwa tuna kampeni moja kuwa "laki 5 haijengi, kula bia tu,"
Vijana wengi wana mawazo ya kimaskini, mtu anaanza kazi leo kesho anawaza kuzeeka na mafao, sisi enzi zetu ukifika miaka 55 ndio unakumbuka bei ya tofali, kujenga ujanani ni woga wa maisha.utajengaje kwa laki 5 bana
Ethics za kazi gani haziruhusu ukiwa bar usinywe bia ? Unafanya kazi ngurumo ya upako nini?Ethics za kazi haziruhusu, nipo na mkwe wangu, tunapata lunch hapa, natumia non alcohol na lemon juice.
Wanao wahi wengi ni wajuisimtatukuta tunaendelea kugonga glass
Wakati dunia yenyewe hii tunapita tu, huwezi kujenga barabarani baba😜😜Kwanza unajenga ili iweje?
Bia haiwezi kukuzuia usijenge labda kama haupo makini na maishaWakati dunia yenyewe hii tunapita tu, huwezi kujenga barabarani baba😜😜
Uko sahihi, sema ukifika club akaagiza juisi au soda utazimaliza zote ila hakuna hata dem atakusogelea kukupa hata salamu tuWanao wahi wengi ni wajuisi
Kila mtu akijenga hizi appartment zilizojengwa na waoga wa maisha nani akae?Wakati dunia yenyewe hii tunapita tu, huwezi kujenga barabarani baba😜😜
Ni kula bia tu, tutajenga tukifika huko tuendako.Bia haiwezi kukuzuia usijenge labda kama haupo makini na maisha
Uko sahihiKila mtu akijenga hizi appartment zilizojengwa na waoga wa maisha nani akae?
Si nasikia saizi napo kuna vijana wengi hawana maisha wanauza figo? Tutawanunulia hizoMaisha ndio haya, kula bata , kula bia, MUHIMBILI na Mloganzila wameleta mashine mpya za Dialysis, na Bima ita cover.