Zaidi ya mapenzi bwasheeUlevi nao ni Mapenzi?
Saa sita usiku,shati begani huku nyimbo za kikwetu kama zote!Tia vitu tia vitu
Meza moto😁
La msingi kuyumba..Unyama sana bwashee, kulewa na kutambaa hakuna namna🍻
Mno, nimeona uzi nikapata kiu , ngoja nivute kitu chini ya uvungu , nilipatie koo chochote kitu🤗La msingi kuyumba..
Kunywa maji ulale.. akikuletea hutokula? Au utawekapo tu mkonoKitandani,siko vizuri kiafya.
How do you drink responsibly ?Cheers
Drink responsibly