duh inauma hiyoWengine tumeshaagwa weekend nitakua busy tukutane jumatatu!
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona mnalewa mapema waungwana mpaka saa 3 si mmemaliza stock yote?
[emoji140] iko vyediiiView attachment 3585633
Asikwambie mtu tutu…Bia Tamu
Yaan mtu aende mlimani city akatumie zaidi ya 1M afu anakodi Uber? Huyo anaigiza maisha. LolNipo Samaki Samaki "maafisa Ubashiri" walipiga mzigo wa UEFA naona ndio wanaingia, nimegundua jambo moja, wengi wanakuja na Bajaj Bolt na kwa maa ya kwanza hapa Mlimani City Parking zipo wazi, nini kimetokea huko mtaani?
Watu wapo ila magari hakuna.
Hii Mbege mbona.Ulanzi vp?View attachment 3585686
Sikiliza na bluez [emoji445]. ni [emoji91][emoji91]Nipo home nasikiliza old bongo fleva.
Inaonekana juice mahi, ina alcohol kwelii??
Kunywa mkuu ya 6/7/8 hivi uniambie 🤣🤣Inaonekana juice mahi, ina alcohol kwelii??
Daah mie mwenzenu nilinyimwa ulevi, hata vinywaji vya Viwandani siwezii.Kunywa mkuu ya 6/7/8 hivi uniambie [emoji1787][emoji1787]
Ila kama mlev kama mimi hata 20 natembea fresh kabisa
Nipo ya 12 hapa
Kuna nini mkuu😀😀kumbe pekuchaa hizi pombe zitakuja kunikill😁
Wanatumia mpaka 2.5 m wanatoka na blt, tena Passo.Yaan mtu aende mlimani city akatumie zaidi ya 1M afu anakodi Uber? Huyo anaigiza maisha. Lol