Funny boe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 3,513
- 7,869
Asante sana, unaagiza mashine moja inaletwa na pisi kali za kwenda kama 20 hadi mezani ulipoKuna lile li Jack Daniel , yani ukiweka mezani linawaka kama gold😋
Aroooo! Pombe ni raha sana jamani
Asante sana, unaagiza mashine moja inaletwa na pisi kali za kwenda kama 20 hadi mezani ulipoKuna lile li Jack Daniel , yani ukiweka mezani linawaka kama gold😋
Brutal nilikunywa kama juice sikufeel chochote nikahisi kama nimekunywa apple juice nikaona napoteza pesa yangu bure😃Yawezekana wallah
Ki brutal unakunywa usiku, unalewa alfajiri ukifika nyumbani aah mambo gani hayo😀
KulA maishaView attachment 3585688+Kitomoto Rosti+Wine Miksa Value(Mseto)+Maji Bariidiih Kubwa(Dew Drop)+Vitamin Music.....Mambo Ni Dwaah...!!!Dwaah...!!
Kheri brutalBrutal nilikunywa kama juice sikufeel chochote nikahisi kama nimekunywa apple juice nikaona napoteza pesa yangu bure😃
Mimi ni pombe tu bwashee, na stories pisi kali nimewaachia gen zAsante sana, unaagiza mashine moja inaletwa na pisi kali za kwenda kama 20 hadi mezani ulipo
Aroooo! Pombe ni raha sana jamani
So itakubidi unywe nyingi nyingi ili uone kama unaweza ifeel ukalewa, na baada ya hapo?😂😂Brutal nilikunywa kama juice sikufeel chochote nikahisi kama nimekunywa apple juice nikaona napoteza pesa yangu bure😃
Kwahiyo unazinywa peke yako chini ya meza? 😀😀Mimi ni pombe tu bwashee, na stories pisi kali nimewaachia gen z
Kuna lile li Jack Daniel , yani ukiweka mezani linawaka kama gold😋
Hapa nipo kitandani nimejiegemeza kwenye mto nazivuta chini ya uvungu tu polepole 😅Kwahiyo unazinywa peke yako chini ya meza? 😀😀
Dude lina vibe la kibingwa sanaBaba lao... 😁
Nakuja na Dosho Twelve 😀Hapa nipo kitandani nimejiegemeza kwenye mto nazivuta chini ya uvungu tu polepole 😅
Asante sana, pote huko mimi ninapambana sana kote hukoMimi ni pombe tu bwashee, na stories pisi kali nimewaachia gen z
Hivi ka dosho kanakunywa kweli😅Nakuja na Dosho Twelve 😀
Kama halewagi ntamnywesha
Sijui kwanini nawaza Dosho bado chalii hatumii vileo, baba atamchapa 😀😀😀Hivi ka dosho kanakunywa kweli😅
Hizi nilikunywa magoti ya kakosa nguvu😅
Mfundishe mtoto pombe angali mdogo ,ili asije kunywa kwa kujificha , mambo ya walevi 3: 19Sijui kwanini nawaza Dosho bado chalii hatumii vileo, baba atamchapa 😀😀😀
Umesema ulanzi meku🤔Hiyo ni mbege bwashee