It's Friday it's okay🍻 ndio imeanza hio unainjoi weekend ukiwa wapi?

It's Friday it's okay🍻 ndio imeanza hio unainjoi weekend ukiwa wapi?

kumbe pamekuchaa hizi pombe zitakuja kunikill😁
Mdogo mdogo tupo tunaendeleza
IMG_1915.jpeg
 
Daah mie mwenzenu nilinyimwa ulevi, hata vinywaji vya Viwandani siwezii.
Sijui ni hali gani hii, nyie pigeni kamyweso, mie natazama uzuri wa vyupa/kopo na majina yake. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe akili yako pombe tosha.
Sasa ukilewa itakuwaje? 😹
Bora ubaki huko kwenye pure drinking water
 
Wewe akili yako pombe tosha.
Sasa ukilewa itakuwaje? [emoji81]
Bora ubaki huko kwenye pure drinking water
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu, niliwahi jaribu Jack Daniel, nilitema haraka sana.
Nikajaribu kuweka sukari, [emoji23][emoji23][emoji23] , sio kwa kilichotokea kile.
Doooh.

Kuna mtu alisema bora sijawa mlevi. Maana hapa enyewe ni Mlevi tosha, nikiongzea pombe si ndo kuchizika kabisaa
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jack D uliweka sukari? 😹😹😹😹😹😹

Wee kweli mwehu khaaa..!! 🤣

Wewe hata Marijuana hufai kugusa utaokota makopo uduguu..!! 😹
 
Jack D uliweka sukari? [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]

Wee kweli mwehu khaaa..!! [emoji1787]

Wewe hata Marijuana hufai kugusa utaokota makopo uduguu..!! [emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani hatariii tupuuu.
Bangi nishawahi stuaa, ila ila ilaa. Au bas.
 
Back
Top Bottom