Bwashee na weekend imeanza😀 huko Aunt naye soon atatuletea hekaheka

Bwashee na weekend imeanza😀 huko Aunt naye soon atatuletea hekaheka

Sir mgax

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2023
Posts
2,029
Reaction score
3,555
Nyie familia kabisa,
Bwashee na weekend imeanza😀 huko Aunt naye soon atatuletea hekaheka.

Haya ni jambo jema pia wazawa wa hili liukoo na akina ndege,mrembo anayependa weed yule wa pale karibu na baharini.

Ni shangwe zaidi na furaha tele watu wakizinguana japo sio vizuri.Mpasua mabarafu wewe ni familia kabisa na hupendi dharau sir👊.Ingawa yupo joh ukkimzingua hachelewi kukuwashia mitambo ya uchawi na ulozi.

😁BK sijakusahau mkuu,Ila we jau sana.

Daah bless up familia,
“BARAKA KUBWA”
Niseme tena ninashukuru kwa hii zawadi.
 
Back
Top Bottom