Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Chadema ndo walikuwa mstari wa mbele kumpaka madongo ya ufisadi wanafikiri kuwa watanzania n vpofu au viziwi?? Tunawaona tunawaona kesheni mkiomba ila kushka dola ng'ooooo
 
Kwa wale mlikuwa hajui, huyu ndie mgombea wa Chadema 2015 na ndie rais 2015 Chadema itakapochukua nchi na pia litimie lile neno rais wa 2015 lazima atoke Kaskazini haswa kwa kuzingatia, ukimuondoa ZZK, Chadema haina any other candidates wanaoweza kuwapatia ushindi kwenye urais!.
Tena hata mimi nitaingia rasmi kwenye siasa kwa kujiunga rasmi Chadema na kuna jimbo nitalichukua kama nimeliokota!, mgombea wa CCM nitampiga chini kama kumsukuma mlevi!.
Pasco

Mahaba niueeee, Mahaba nigalagazeeeeeee..... (kwa sehemu nimejua upande aliopo mtu Fudenge)
 
Mbowe alishasema kuwa kama EL akiamua kuja CDM bac lazima arudishe mali zote za umma alizotuibia na kukiri kwa nini alifanya hivyo na kwa sababu zipi. Na hapo hata wananchi watampima na kumruhusu kuwa angalau mwanachama na si kupewa nafasi ya uongozi wala kugombea post yoyote.

:cool2:


Baadhi YA Kauli ziliwaponza sana
 
Acha kupotosha umma, Lowasa sio waziri mkuu mstaafu, ni waziri aliyejihudhuru kwa matumizi mabaya ofisi ya umma, huyo ndiye mzee wa richmundi, kuhusu kwenda Chadema, unaota ndoto za alinacha, hiki ni chama cha watu makini.
Habari za siku nyingi ndg yangu, yapo wapi?
 
Nilishawahi kusikia kuwa jeuri ya EL ni kwamba anawatishia eti wakimtema, ataenda upinzani. Tusije tukawa mbulula tukampokea CCM wakapata credit. Huyu jamaa nadhani ndio katuletea matatizo ya umeme kwa maslahi yake binafsi. Umeme unapanda mara dufu tunahoji tukiwa bar afu tunatulia (tuingie barabara kidogo-tuonyeshe anger). Wenzetu Kenya walipandishiwa bei ya chakula, wakaingia barabarani na mabango, tumekuwa wabinafsi sana.
Lowassa leo anazunguka nchi nzima na gia yake kubwa ni ruswa kwa watanzania maskini na bodaboda. Na matatizo mengi tunayoyapata, kielimu(shule za kata), kiuchumu (ki-umeme) yalikuja akiwa PM, leo aje upinzani tumpokee. Tutakuwa waroho wa madaraka.
Yako wapi
 
CDM ipi ya kulipokea jizi lililokataliwa na Baba wa Taifa?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji33][emoji33][emoji16][emoji28][emoji14][emoji51][emoji32][emoji57][emoji33][emoji37]
 
Tujadiliane hapa!

Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa akitakiwa kutoka CCM, Chadema wanaweza kumkataa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wallah Leo nimecheka sana, duuh Jf kiboko kumbe watu walishatabiri wakatoana hadi mapovu. Halafu hao member karibu wengi waliochangia huu Uzi 2014 siwaoni, natamani sana nijue wako upande gani kwa sasa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] naona vitu vinafukuliwa aisee
 
Nauza viwaja 6 vilivyopimwa mwanza maeneo ya kiseke ,sehem panaitwa Bujingwa kwa jumla vina ukubwa wa mitersguere zaidi 15000 kwa bei ya chini sana karibu tufanye biashara huna hati karibu.
 
Mahaba niueeee, Mahaba nigalagazeeeeeee..... (kwa sehemu nimejua upande aliopo mtu Fudenge)
Mkuu Mahesabu, hoja hii ni ya January 2014!. Swali ni moja tuu kumhusu huyo mtufudenge wako, kufuatia mahaba niue aliahidi angejiunga Chadema na angegombea jimbo fulani kwa kumuangusha mgombea wa CCM kama kumsukuma mlevi, jee alijiunga Chadema?, aligombea? . Kama hakujiunga kwa nini hakujiunga ili hali aliahidi? .

P.
 
Back
Top Bottom