Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Lowassa Ni Ccm Na Ccm Ndio Lowassa Nani Ampokee Fisadi Ha Ha Ha Haya Makaburi Yamewafanya Watu Wabadili Id
 
Nani wa kumpokea Lowassa chadema?
Mkuu kura yangu nilimpa Maghufuli, hiyo haina maana kwamba hadi usawa huu nimefurahia maamuzi yangu. History will judge my decision. Nilishindwa kumpigia kura Lowassa kwasababu ya msimamo wangu humu JF na sina chama wala si mfuata mkumbo.
 
Nakubali na kusimamia nilichosema, naamini lilikuwa kosa kumpokea Lowassa na pia naamini lilikuwa kosa kubwa zaidi kumkabidhi kupeperusha bendera ya Urais.

Baada ya kusema hayo, natambua pasina shaka yoyote kuwa CCM kuendelea kushika dola ni kosa kubwa na baya na lenye gharama kubwa sana kwa Taifa, vizazi vyetu na kila mzalendo mwenye akili timamu. Lowassa alikuwa na makando kando yake aliyotoka nayo CCM, kwa hiyo CCM ni tatizo kubwa zaidi kwa Tanzania kuliko Lowassa na mafisadi wote (combined). Kwa sababu mpaka tarehe hii ya leo 4/4/2017 CCM imeendelea kutoa/kutengeneza mafisadi kwa viwango na idadi ya kutisha bila ya uwepo wa Lowassa...... hivyo ndio kusema Lowassa alikuwa tunda la mfumo wa CCM.

CCM ni kitu gani kama sio watu kama lowasa , ROSTAM karamaghai ambao ndo walikuwa wadau wakubwa wa ccm
 
Mkuu kura yangu nilimpa Maghufuli, hiyo haina maana kwamba hadi usawa huu nimefurahia maamuzi yangu. History will judge my decision. Nilishindwa kumpigia kura Lowassa kwasababu ya msimamo wangu humu JF na sina chama wala si mfuata mkumbo.
Bora yako umeamua kuwa mkweli
 
CHADEMA kwa sasa hawapokei "viongozi" toka CCM, hivyo Lowassa hawezi kujaribu kuomba kujiunga CHADEMa.

Ila wanachama wa kawaida wa CCM wanaoguswa na elimu ya uraia pamoja na kuzinduliwa toka usingizi wa ujinga, maradhi, ufisadi na kulindana (hivyo kukosa uzalendo na haki zao za msingi) hao wataendelea kupokelewa kila iitwapo leo.
[emoji2]
 
Back
Top Bottom