Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,281
- 4,614
Ulifikiri vyema!!Hebu fikiria baba yako amekufukuza harafu ukahamia kwetu, tutakufukuza pia au tutakupa hifadhi?? Ukombozi ni njia ngumu sana na falsafa yake ni wachache tu wanaoweza kuielewa, hatutupi kuni wakati bado tunapika hata kama ni kuni ya mnyaa ambayo ukipikia macho yanawasha, fikiria zaidi utajua itakuwaje.
Lazima tuchunge midomo yetu,fikiri,chambua kisha nena kwa umakini na tahadhari.