Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wallah Leo nimecheka sana, duuh Jf kiboko kumbe watu walishatabiri wakatoana hadi mapovu. Halafu hao member karibu wengi waliochangia huu Uzi 2014 siwaoni, natamani sana nijue wako upande gani kwa sasa
Hahaha wanagugumia kwa maumivu moyoni maana hii gia iliyobadilishwa na viongozi wao ilikua kiboko.wewe hujiulizi kwa nini watu wakali muda wote na wanatokwa na matusi sana? Yaani waliachwa na stress mbaya.
 
Hahaha wanagugumia kwa maumivu moyoni maana hii gia iliyobadilishwa na viongozi wao ilikua kiboko.wewe hujiulizi kwa nini watu wakali muda wote na wanatokwa na matusi sana? Yaani waliachwa na stress mbaya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu Mahesabu, hoja hii ni ya January 2014!. Swali ni moja tuu kumhusu huyo mtufudenge wako, kufuatia mahaba niue aliahidi angejiunga Chadema na angegombea jimbo fulani kwa kumuangusha mgombea wa CCM kama kumsukuma mlevi, jee alijiunga Chadema?, aligombea? . Kama hakujiunga kwa nini hakujiunga ili hali aliahidi? .

P.


FUDENGE ambaye namjua mimi tu na si mwingine atatueleza kwa kina......
(niliwahi ku-declare interest , ni kati ya watu walioni-inspire kupenda uandishi wa habari wa callibre yake)
 
Tujadiliane hapa! Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa akitakiwa kutoka CCM, Chadema wanaweza kumkataa?
Mkuu sijuwi uko wapi sasa ila waliojibu huu uzi sijuwi wako wapi?! Uliwapatia sana...
 
Acha kupotosha umma, Lowasa sio waziri mkuu mstaafu, ni waziri aliyejihudhuru kwa matumizi mabaya ofisi ya umma, huyo ndiye mzee wa richmundi, kuhusu kwenda Chadema, unaota ndoto za alinacha, hiki ni chama cha watu makini.
24 August 2014.

Toka tarehe hiyo hujaonekana Mkuu,
Gia ya angani iliwapoteza sana watu makini waliokuwa CDM.

"Siasa sio Makali* kila mtu anayo"
 
Nilishawahi kusikia kuwa jeuri ya EL ni kwamba anawatishia eti wakimtema, ataenda upinzani. Tusije tukawa mbulula tukampokea CCM wakapata credit. Huyu jamaa nadhani ndio katuletea matatizo ya umeme kwa maslahi yake binafsi. Umeme unapanda mara dufu tunahoji tukiwa bar afu tunatulia (tuingie barabara kidogo-tuonyeshe anger). Wenzetu Kenya walipandishiwa bei ya chakula, wakaingia barabarani na mabango, tumekuwa wabinafsi sana.
Lowassa leo anazunguka nchi nzima na gia yake kubwa ni ruswa kwa watanzania maskini na bodaboda. Na matatizo mengi tunayoyapata, kielimu(shule za kata), kiuchumu (ki-umeme) yalikuja akiwa PM, leo aje upinzani tumpokee. Tutakuwa waroho wa madaraka.
Hapana Mkuu,

Sio uroho wa madaraka.
 
Hakyanini ukiwa nje ya vyama hivi namaanisha huna mahaba na vyama vyetu vya siasa,hakika utaona mengi.


Roho inakuwa Safi na yenye Amani tele.
 
kama imani iko hivyo (hakuna ccm bila lowasa) kwanini sasa tusiamini kuwa hakuna CDM bila Zitto?

Hivi waliochangia uzi huu enzi hizo wakirudia waliyoyaandika sasa wana hoja za kusimamia? Je wanastahili kuaminiwa?
 
Back
Top Bottom