nchonga aliyebaki
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 590
- 1,062
Chadema walimia kwa lowassaMosi, EL ni zaidi ya CDM sasa EL atahamiaje CDM? CDM ndio inaweza ikahamia kwa EL na sio EL kuhamia CDM.
Pili hakuna mtu mwenye akili timamu anayehama kutoka kwenye taasisi kubwa kwenda kwenye kigenge cha wahuni.