Gia imebadilikia angani.....
Akifukuzwa hapokelewi,ila akitoka mwenyewe anapokelewa
Akifukuzwa hapokelewi,ila akitoka mwenyewe anapokelewa
Hayo ha ha unaamini maneno ya MboweMbowe na Padri Slaa walishaweka msimamo wazi kuwa safari hii HAWATAPOKEA MAKAPI kutoka CCM
Inaelekea hakuishia na kutubu peke yake .. alitoa na zaka ya bilioni 10 kwa DJ Mwenyekiti, ndio maana mkamkabidhi bendera ya chama awapeperushie..Akitubu Madhambi yake ya ufisadi na rushwa atapokelewa na kuwa mwanachama wa kawaida ambaye hataruhusiwa kugombea cheo chochote!
Presumably Dead!! [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47]IDs nyingi kwenye huu uzi zimetoweka. Ha ha ha.
Utabiri wa kua mgombea wa chadema ulitimia.. Mengine hayakutimiaKwa wale mlikuwa hajui, huyu ndie mgombea wa Chadema 2015 na ndie rais 2015 Chadema itakapochukua nchi na pia litimie lile neno rais wa 2015 lazima atoke Kaskazini haswa kwa kuzingatia, ukimuondoa ZZK, Chadema haina any other candidates wanaoweza kuwapatia ushindi kwenye urais!.
Tena hata mimi nitaingia rasmi kwenye siasa kwa kujiunga rasmi Chadema na kuna jimbo nitalichukua kama nimeliokota!, mgombea wa CCM nitampiga chini kama kumsukuma mlevi!.
Pasco
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata Magu akisema anahamia kesho watampokea na bifu litaisha...Wapiga dili Chadema hata Lugumi watampokea tu
Hivi kwanin JF awajaweka Button ya delete.. ingesaidia sana some ID zisipotee..[emoji12] [emoji12] [emoji12]Baada ya uchaguzi mkuu sijui hizi IDs zilipotelea wapi.
Ha ha ha, hata aibu huoni?
Ingekua kwa Wenzetu wanaoheshimu tafiti huyu jamaa mleta mada angekua mbali sana...Dah aisee hapa JF kila mtu aheshimiwe bil kujali kama ni mwerevu ama ********.
Kuna watu wanaongea mambo ya ajabu yanayoonekana kama ni upuuzi usiowezekana ila ni ma foreseers....Wanasayansi wa zamani kina Newton, Mendel, Tesla n.k walifanya mambo yaliyowafanya wachekwe na pengine kuzomewa na kizazi chao, kumbe walikuwa foreseer wa karne kibao, na sasa hivi wanatukuzwa na vizazi na wazomeaji wamesahaulika.
Ona huyu mtoa mada, wakati analeta hii post January 2014 hakuna member aliyeamini uwezekano wa hili jambo, ila kwa sasa ndio ukweli wenyewe....kweli idumu JamiiForums.
Unatakiwa kutushawishi ni sifa zipi za kuonekana anastahili kuwa the next president au kuwa mtu au kiongozi wa kupigiwa mfano ktk nchi hii. Naomba unitajie sifa 10 muhimu za raisi wa tanzania ajae na ni kwa namna gani matatizo yanayolikumba taifa hili kwa sasa yanaweza kutatuliwa . Kwa kifupi nchi hii kwa mtazamo wangu inakabiliwa na mambo yafuatayo;
1. Mpenda nchi yetu Tanzania zaidi ya chama na sehemu anakotoka.
Tanzania inahitaji raisi anayeweza kuondosha mapungufu haya.
3. Rushwa na ufisadi miongoni mwa viongozi na serikali na kisiasa. Tunataka kiongozi atakae kuja kupambana na rushwa na ufisadi kwa dhati bila woga wowote. QUOTE]
Uliona mbali mkuu
I'm trying to imagine sahizi hawa watu wa nafikiria niniHuyu jamaa atakua alitimukia ACT wazalendo
Mbowe is a pro business opportunist, ananifurahisha jinsi anavyowatumia Nyumbu for his own gains and the Nyumbu's still obey and follow him...Mbowe sio Mtu wa kumuamini ona sasa Leo unaadhirika, Ndugu Ngoyai ndio Bosi wa Bosi wenu
Kesha kuwa CDM na mnamsujudia sasaLowassa ni mchafu, hapaswi kuingia CHADEMA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kura ulipiga na mikono ulizungusha
Unajaribu kupooza Volcano na mate??Kwan Lowasa alifukuzwa ccm?mbona mnakosa kuelewa kuahama na kufukuzwa ni matendo mawili taofaut kbsa
Hakutubu chochote lakini mlimkubali na kumpa nafasi ya kugombea uraisAkitubu Madhambi yake ya ufisadi na rushwa atapokelewa na kuwa mwanachama wa kawaida ambaye hataruhusiwa kugombea cheo chochote!
Najua wewe ulikuwa ulikua ukisumbuliwa na liverpuliAende huko, cdm aje kufanya nin ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu uzi mtamu sana mkuu...Password ya ile Tovuti kapewa Lowassa ndio sababu siku ya Ufunguzi wa Kampeni walikusanya watu Jangwani ili awatajie Website aliyoweka Hotuba yake