twahil
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 4,100
- 2,796
El hawezi kuhamia cdm ba hafikirii hilo na cdm hawafikirii kumpokea mtu km huyo hata cku moja ila hapa ni kujaribu kukimbiza masaa na mada hii.
Jamani Jamani Jamani....hii ndio Tanzania. Wengi mnaishi lakini hamuijui. Yanapokuja masuala serious hauangaliwi umaarufu wa mtu bali nani wa kutuvusha...EL hawezi fukuzwa CCM na hawezi kuhama CCM hata jina lake likikatwa kwani yeye atakua king maker come 2015 na atatoa raisi si mwingine.....Nape na Mangula ndo watakao kimbia