Itachukua miongo mingi sana kuipata tena hotuba hii iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan

Itachukua miongo mingi sana kuipata tena hotuba hii iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Hakika Uongozi huwekwa na Mungu.
Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongea na wazee wa Dar Es Salaam.

Hii ni Hotuba nzito sana iliyoonesha Upole, Ukweli na dhamira njema.

Hotuba hii imeonesha kuwa Rais yupo well informed.

Hotuba hii imetambulisha adui ni nani, akawaita wananchi kumkabili adui kwa maslahi ya Taifa la Tanzania.

Hotuba hii imekumbusha juu ya uhuru kuwa na mipaka na hakuna atakayeweza kuwa juu ya dola kamwe.

Hotuba hii imekumbushia dunia kuwa Tanzania ana mrengo wa "NAM" na bado ataendelea hivyo.

Hakika ubaya utapeperushwa

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

Hakika Uongozi huwekwa na Mungu.
Hii ni Hotuba nzito sana iliyoonesha Upole,Ukweli na dhamira njema.
Hotuba hii imeonesha kuwa Rais yupo well informed.
Hotuba hii imetambulisha adui ni nani,akawaita wananchi kumkabili adui kwa maslahi ya Taifa la Tanzania.
Hotuba hii imekumbusha juu ya uhuru kuwa na mipaka na hakuna atakayeweza kuwa juu ya dola kamwe.
Hotuba hii imekumbushia dunia kuwa Tanzania ana mrengo wa "NAM" na bado ataendelea hivyo.

Hakika ubaya utapeperushwa

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

Utakuwa na UTINDIO WA UBONGO wewe. Siyo bure!!
 
komaeni wazee, mimi nawaelewa njaa haina baunsa, ila sasa inatakiwa kama hivi mkishafungua uzi mnakua mshajipanga hata reply 100 za kwanza inakua ni nyie tu
Sijawahi kutegemea replies za uongo na kweli ila thread hii itaishi miongo mingi ijayo
 
Kwa hiyo upongezwe kwa kuwa sehemu ya maandalizi ya hotuba ya kukumbukwa sio,ama pongezi zienda kwa nani?
 
Tulia uisikilize na kwa kiasi kikubwa ilikuwa inatoka kichwani

Siku hizi hawasomi kwenye Makaratasi ...... Teleprompter!!

Angetoa kichwani asingesahau zile Nywi nywi nywi ......!!
 
Back
Top Bottom