Israel yaanza kuitandika Iran tena muda huu

Israel yaanza kuitandika Iran tena muda huu

Iran imejaa mashushu wa mossad tu, washamsoma wakamuona yupo mtupu, atapigwa tu Sana na hakuna atakalofanya!!! Israel mpaka imeamua kuanzisha vita watakua na data nyingi mezani

Wako wapi wale wanaosema Israel anaonea vidagaa tu??? Huyu netanyahu Hana mchezo inabidi biblia wai edit waongeze jina lake
Ni Iran ndio iliyoanza kuipiga Israel,wanachofanya Israel nikulipa tu. kumbuka baada ya shambulio la Iran (ahadi ya kweli 2)Kisasi walicholipa Israel hakikuwa na mafanikio waliyoyatarajia.
 
Wanaogopa uprising hasa Wananchi wasisikie hotuba za Netanyahu na Trump kuhamasisha uasi.
Kuna uvumi mwingi wa uongo unaoenezwa na Wazayuni pamoja na vyombo vya habari vinavyowaunga mkono.
Kwa mfano,kuna uvumi unaonezwa kwamba Iran imeanza kujibu shambulizi la Israel kwa kurusha drones ambazo zote zimetunguliwa na wazayuni, Iran imekanusha madai hayo.
 
Wanaogopa uprising hasa Wananchi wasisikie hotuba za Netanyahu na Trump kuhamasisha uasi.
Raia wa Iran sio vichaa kiasi hicho waanzishe uasi muda huu.
Tena nyakati kama hizi ndio wako pamoja na wanaungana mkono.
 
Iran imejaa mashushu wa mossad tu, washamsoma wakamuona yupo mtupu, atapigwa tu Sana na hakuna atakalofanya!!! Israel mpaka imeamua kuanzisha vita watakua na data nyingi mezani

Wako wapi wale wanaosema Israel anaonea vidagaa tu??? Huyu netanyahu Hana mchezo inabidi biblia wai edit waongeze jina lake
Kiongezwe kitabu cha benyamini
 
Haya mashambulizi ya sasa utashangaa Iran ikaionya Jordan kwa kipigo heavy..
Qatar pia inaweza kutembezewa kichapo , anga la Iraq pia ambalo lipo chini ya US inaweza kuwa target..

Ninachokiona Iran itafanya kitu ambacho hata US haikufikiri..

sote tunaamini US ndio anaishambulia Iran huku Israel ikiwa mask mbele kuficha US..
We jamaa bana 😂😂 unachoandika hua unarudia kusoma kweli au unapost tu 😂😂 Hivi we mkazi wa namtumbo una akili kweli wewe au bichwa lako limejaa kamasi.
 
Back
Top Bottom