Iran yamuonya Trump baada ya mashambulizi mapya ya Marekani

Kadhakan

Senior Member
Joined
Jul 20, 2026
Posts
126
Reaction score
201
Uwanja wa Ndege wa Erbil umefunguliwa tena baada ya ndege isiyo na rubani (drone) kuanguka karibu na eneo la uwanja kufuatia shambulio la drone dhidi ya mji huo.

Screenshot_20260724-122407.png

Wakati huo huo, ving'ora vya tahadhari vilisikika nchini Bahrain, huku Kuwait ikitangaza kuwa imefanikiwa kuyadungua makombora ya Iran.

Soma zaidi:Rais Donald Trump asema anakaribia kusaini agizo la mashambulizi mapya kwenye mitambo ya kuzalisha umeme na madaraja nchini Iran

Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani (US Central Command) imesema imehitimisha mashambulizi ya anga dhidi ya Iran kwa usiku wa 13 mfululizo.

Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti milipuko katika miji kadhaa, ikiwemo Khorramabad, Jask, Ahvaz na Bandar Abbas.

Shambulio la kombora la Marekani karibu na Ahvaz limesababisha vifo vya watu wanne na wengine watano kujeruhiwa.

Aidha, mashambulizi mengine yaliyofanyika Khorramabad na mji wa bandari wa Bandar Abbas yalisababisha watu wawili kujeruhiwa katika kila eneo, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Iran.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema kuwa "uchokozi usio na busara" utamgharimu Rais Donald Trump "gharama kubwa zaidi" katika juhudi zozote za kufikia makubaliano ya kumaliza vita

Wapalestina wanne na mkaazi mmoja wa makazi haramu ya Kiyahudi wameuawa katika mapigano ya kutumia silaha karibu na makazi haramu ya Havat Gilad, yaliyopo Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu (West Bank).

================

Erbil airport reopens after a drone crashed near the facility following a drone attack on the city. Sirens sound in Bahrain and Kuwait says it has intercepted Iranian missiles.

The US Central Command says it has concluded air strikes against Iran for the 13th consecutive night, with Iranian media reporting blasts in several cities, including Khorramabad, Jask, Ahvaz, and Bandar Abbas.

A US missile strike near Ahvaz left four people dead and five injured, while additional strikes on Khorramabad and the port city of Bandar Abbas resulted in two injuries at each site, according to Iranian media.

Iranian Foreign Minister Abbas Araghchi says that “mindless aggression” will only see Trump pay a “heavier price” for a deal to end the war.Four Palestinians and one Israeli settler have been killed in a shootout near the illegal settlement of Havat Gilad, in the occupied West Bank.

Source: Al-Jazeera
 
Ufike wakati Iran nao waoneshe undava wao. Mashabiki za tunasubiri wafanye makubwa ili roho zisuuzike.

Nitaweka bonge la party nikisikia huyo Mzee mwenye domo kama kinda la bata amekufa.
Kwa alivyo pigwa mtungo ,na bado yupo tu , mpka hapa, Iran kaonyesha ubabe wa kutukuka , na kajenga heshima kubwa itakayo dumu vizazi na vizazi.
 
Mi huwa ni mumini sana wa kitu kinaitwa Muda
Ujue bana kwanye haya maisha kila mtu anaweza akaongea ila muda ndo huwa msema kwel

Ata vita ya israel na hamas kila mtu alikia anaongea lake mwisho wa sku mshindi ni israel. Ni suala la muda tu

Hezbolla vs israel kila mtu aliongea lake mwisho wa SKU mshindi anajulikana

Israel vs iran kila mtu aliongea lakuongea mwisho wa sku israel yuko juu na mpaka saiv iran anawapiga warabu wenzake ila anaogopa kumgusa israel inaonyesha kabsa iran anamuogopa Israel

So ata kwenye hili Iran vs USA tunajua tu mshindi atapatikana muda sio mrefu ni suala la muda tu

So sioni aja ya kutoana jasho kugombana wala kubishana nazan tuache tu muda utaongea

Ata kombe la dunia kila mtu aliongea lake na wengi walisema kombe la dunia la mwaka huu litakua la hovyo
Lakin mwisho wa SKU kombe la dunia la mwaka huu ndo limeibuka kua kombe la dunia zuri na bora kuliko la qatar na russia according to data na sio maneno yangu
Na atakae bisha bas abishe kwa data ila data za fifa zinasema world cup ya mwaka huu ilikua bora na kwanzia pesa zilizo ingia, uzuri wa viwanja na ata ubora wa mashindano kwa ujumla

So jipeni muda
 
Screenshot_2026-07-24-13-07-55-70_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Upendo wangu kwa Waajemi ni wa daima na milele, kifo tu ndio kitatutenganisha!!!!
 
Yaani Iran anabaki kuwa na vikwazo, lakini anamgonga vibaya mno Israel ambayo haipewi sapoti na USA
Urusi na China wanamuuzia silaha zote anozohitaji, vikwazo havimuathiri kihivyo. Iran ilijiandaa kwa vita muda mrefu huku ikitengeneza makombora kama silaha yake kuu ya vita.
Kwa tuliyokuwa tunasimuliwa, bado Iran hajaonyesha umwamba wake.
 
Natamani waoneshe umwamba wao ili iwe story kila Kona ya Dunia.
 
Nadhani kwa wanayepigana nae kawazidi parefu, Iran anaishia kushambulia vinchi vya Kiarabu hapo ila US ajipigia tu. Hivi Iran hana air defense systems? mabomu kama yanazama tu bila shida yoyote.
 
Mi huwa ni mumini sana wa kitu kinaitwa Muda
Ujue bana kwanye haya maisha kila mtu anaweza akaongea ila muda ndo huwa msema kwel

Ata vita ya israel na hamas kila mtu alikia anaongea lake mwisho wa sku mshindi ni israel. Ni suala la muda tu

Hezbolla vs israel kila mtu aliongea lake mwisho wa SKU mshindi anajulikana

Israel vs iran kila mtu aliongea lakuongea mwisho wa sku israel yuko juu na mpaka saiv iran anawapiga warabu wenzake ila anaogopa kumgusa israel inaonyesha kabsa iran anamuogopa Israel

So ata kwenye hili Iran vs USA tunajua tu mshindi atapatikana muda sio mrefu ni suala la muda tu

So sioni aja ya kutoana jasho kugombana wala kubishana nazan tuache tu muda utaongea

Ata kombe la dunia kila mtu aliongea lake na wengi walisema kombe la dunia la mwaka huu litakua la hovyo
Lakin mwisho wa SKU kombe la dunia la mwaka huu ndo limeibuka kua kombe la dunia zuri na bora kuliko la qatar na russia according to data na sio maneno yangu
Na atakae bisha bas abishe kwa data ila data za fifa zinasema world cup ya mwaka huu ilikua bora na kwanzia pesa zilizo ingia, uzuri wa viwanja na ata ubora wa mashindano kwa ujumla

So jipeni muda
WEWE KAMA UNATUMIA AKILI YAKO VIZURI UMEONA VITA INAYO ENDELEA NI KATI YA IRAN NI ISRAEL???
KAMA ULIKUWA HUJUI ILE NI VITA KATI YA IRANI NA MAREKANI
ISRAEL YUPO PALE KAMA BOYA TU KWA SABABU KITUO KIKUBWA CHA KIJESHI CHA MAREKANI KIPO TEL-AVIV (ISRAEL)
 
Nadhani kwa wanayepigana nae kawazidi parefu, Iran anaishia kushambulia vinchi vya Kiarabu hapo ila US ajipigia tu. Hivi Iran hana air defense systems? mabomu kama yanazama tu bila shida yoyote.
Iran anapiga sehemu zenye maslahi kwa adui pamoja na zile sehemu ambako makombora ya marekeni hutokea.

Ipo siku sisi Iran tutarusha makombora ya kibalistiki kuelekea marekani 💪
 
Iran kawaje nae ana piga pole pole wakati ye ana kandwa kwel kwel

Tatizo propaganda za media lkn mjomba Iranian inatimiza majukumu yake kisawasawq!!!

Ndiomana tunasikia Trump kimya kimya anatafuta tena kusitisha Vita
Kashaelemewa kufikia sasa✍️
 
Kwa alivyo pigwa mtungo ,na bado yupo tu , mpka hapa, Iran kaonyesha ubabe wa kutukuka , na kajenga heshima kubwa itakayo dumu vizazi na vizazi.
Heshima huku unapigwa ni kejeli iliyochangamka
 
Maonyo hayajatosha tu? Wawatume makomandoo wa IRGC wafanye kama Maduro
 
Mi huwa ni mumini sana wa kitu kinaitwa Muda
Ujue bana kwanye haya maisha kila mtu anaweza akaongea ila muda ndo huwa msema kwel

Ata vita ya israel na hamas kila mtu alikia anaongea lake mwisho wa sku mshindi ni israel. Ni suala la muda tu

Hezbolla vs israel kila mtu aliongea lake mwisho wa SKU mshindi anajulikana

Israel vs iran kila mtu aliongea lakuongea mwisho wa sku israel yuko juu na mpaka saiv iran anawapiga warabu wenzake ila anaogopa kumgusa israel inaonyesha kabsa iran anamuogopa Israel

So ata kwenye hili Iran vs USA tunajua tu mshindi atapatikana muda sio mrefu ni suala la muda tu

So sioni aja ya kutoana jasho kugombana wala kubishana nazan tuache tu muda utaongea

Ata kombe la dunia kila mtu aliongea lake na wengi walisema kombe la dunia la mwaka huu litakua la hovyo
Lakin mwisho wa SKU kombe la dunia la mwaka huu ndo limeibuka kua kombe la dunia zuri na bora kuliko la qatar na russia according to data na sio maneno yangu
Na atakae bisha bas abishe kwa data ila data za fifa zinasema world cup ya mwaka huu ilikua bora na kwanzia pesa zilizo ingia, uzuri wa viwanja na ata ubora wa mashindano kwa ujumla

So jipeni muda
Yes it's a very good analysis based on the fact that it's the time that perfects everything so time will tell.
 
Back
Top Bottom