Israel yaanza kuitandika Iran tena muda huu

Israel yaanza kuitandika Iran tena muda huu

Israel mashambulizi iliyofanya si kitu ndugu zangu, Israel itapigwa hapa mtashangaa...
Iran inakwenda kuipiga Israel katika namna ambayo UN wanaingilia kati..
Ndo maana Israel wanasema wapo kwenye high alert...

Iran ina missiles city..

Kama Israel imeshindwa tu kuharibu makombora ya Yemen Houthis ambayo kila siku yanapiga Gurion airport, watakuja kuiweza Iran?

Suala la Israel kuingia Iran na kufanya mashambulizi sioni ajabu, hata Ukraine amejitutumua kafanya mashambulizi ya drone ndani ya Russia.. na sasa wanalipa walichofanya.
Iran ipi?

IMG-20250613-WA0020.jpg
 
Ukiingiwa X kwenye kurasa kadhaa za Iran, jamaa wanamwaga vitisho vya nguvu sana.

Yaani wanaweka mapicha ya AI mengi na mikwara mizito ila hawarushi hayo madude, kuna drones kama 100 zilirushwa jana ila mitambo ya Israel imezidungua zote.

Vita siyo nzuri na siombi kushuhudia ila kama wanazichapa raia waondolewe kwanza then tuone mbabe 😀!.
 
Israel mashambulizi iliyofanya si kitu ndugu zangu, Israel itapigwa hapa mtashangaa...
Iran inakwenda kuipiga Israel katika namna ambayo UN wanaingilia kati..
Ndo maana Israel wanasema wapo kwenye high alert...

Iran ina missiles city..

Kama Israel imeshindwa tu kuharibu makombora ya Yemen Houthis ambayo kila siku yanapiga Gurion airport, watakuja kuiweza Iran?

Suala la Israel kuingia Iran na kufanya mashambulizi sioni ajabu, hata Ukraine amejitutumua kafanya mashambulizi ya drone ndani ya Russia.. na sasa wanalipa walichofanya.
Ndoto za mchana
 
Iran imejaa mashushu wa mossad tu, washamsoma wakamuona yupo mtupu, atapigwa tu Sana na hakuna atakalofanya!!! Israel mpaka imeamua kuanzisha vita watakua na data nyingi mezani

Wako wapi wale wanaosema Israel anaonea vidagaa tu??? Huyu netanyahu Hana mchezo inabidi biblia wait edit waongeze jina lake
Wapo masjid wanajitawaza wakija watadai Israel inauwa wanawake na watoto
 
Back
Top Bottom