Israel yaanza kuitandika Iran tena muda huu

Vita is all about information na sio silaha pekee , Israel hawakuwa kweny high alert na Yemen mpk miaka ya hv karibuni ila Iran amekuwa tishio serious tangu kitambo so wamekuwa wanajipanga tangu muda sana
Kwa hio Israel ilikuwa inajipanga huku Iran wame relax?
 
Israel mashambulizi iliyofanya si kitu ndugu zangu, Israel itapigwa hapa mtashangaa...
Iran inakwenda kuipiga Israel katika namna ambayo UN wanaingilia kati..
Ndo maana Israel wanasema wapo kwenye high alert...

Iran ina missiles city..

Kama Israel imeshindwa tu kuharibu makombora ya Yemen Houthis ambayo kila siku yanapiga Gurion airport, watakuja kuiweza Iran?

Suala la Israel kuingia Iran na kufanya mashambulizi sioni ajabu, hata Ukraine amejitutumua kafanya mashambulizi ya drone ndani ya Russia.. na sasa wanalipa walichofanya.

Voya si jambo jema.

Lakini kuipamba Iran kama bingwa wa vita ni kujidanfanya sana:

Iran inachoizidi Israel ni idadi ya askari tu, lakini katika masuala memgine yote ya uwezo wa kivita, Israel ipa far ahead ya Iran.

Mbaya zaidi, pia hata uwezo wa kiuchumi, Israel ipo juu kuizidi Iran. Uwezo wa jeshi la anga la Israel, Iran haiufikii hata 50%. Kwa sababu vita hivi siyo vya ardhini, hata ile advantage ya Iran kuwa na askari wengi, haina msaada wowote.

Iran ina uwezo wa kusababisha maafa kwa Israel, lakini haina uwezo wa kushinda vita dhidi ya Israel.

Jielemishe:

Who has the better military, Israel or Iran?

In terms of manpower and land forces, Iran has a numerical advantage. Iran also has a slight edge at sea. But the real war between Israel and Iran will be fought in the air. And Israel's air superiority is undeniable.

How is Israel's economy compared to Iran?

Even though oil revenues have stabilized in recent years, Iran is far from an economic powerhouse. Its population of around 88 million is nearly 10 times that of its arch-enemy Israel. But in 2023, Iran's economic output was $403 billion, significantly lower than Israel's $509 billion.
2 Oct 2024
 
Israel mashambulizi iliyofanya si kitu ndugu zangu, Israel itapigwa hapa mtashangaa...
Iran inakwenda kuipiga Israel katika namna ambayo UN wanaingilia kati..
Ndo maana Israel wanasema wapo kwenye high alert...

Iran ina missiles city..

Kama Israel imeshindwa tu kuharibu makombora ya Yemen Houthis ambayo kila siku yanapiga Gurion airport, watakuja kuiweza Iran?

Suala la Israel kuingia Iran na kufanya mashambulizi sioni ajabu, hata Ukraine amejitutumua kafanya mashambulizi ya drone ndani ya Russia.. na sasa wanalipa walichofanya.
Hakuna kitu watafanya, hii mara ya ngapi Kobazi inachomwa moto.?
 
Rudia tena kusoma ulichoandika bila kupanic.
 
Iran imejaa mashushu wa mossad tu, washamsoma wakamuona yupo mtupu, atapigwa tu Sana na hakuna atakalofanya!!! Israel mpaka imeamua kuanzisha vita watakua na data nyingi mezani

Wako wapi wale wanaosema Israel anaonea vidagaa tu??? Huyu netanyahu Hana mchezo inabidi biblia wait edit waongeze jina lake
Biblia? Wayahudi wanatumia Biblia?
 
Israel mashambulizi iliyofanya si kitu ndugu zangu, Israel itapigwa hapa mtashangaa...
Iran inakwenda kuipiga Israel katika namna ambayo UN wanaingilia kati..
Ndo maana Israel wanasema wapo kwenye high alert...

Iran ina missiles city..

Kama Israel imeshindwa tu kuharibu makombora ya Yemen Houthis ambayo kila siku yanapiga Gurion airport, watakuja kuiweza Iran?

Suala la Israel kuingia Iran na kufanya mashambulizi sioni ajabu, hata Ukraine amejitutumua kafanya mashambulizi ya drone ndani ya Russia.. na sasa wanalipa walichofanya.
Unaamini Israel wameshindwa??!!
 
Back
Top Bottom