Israel yaanza kuitandika Iran tena muda huu

Israel yaanza kuitandika Iran tena muda huu

Voya si jambo jema.

Lakini kuipamba Iran kama bingwa wa vita ni kujidanfanya sana:

Iran inachoizidi Israel ni idadi ya askari tu, lakini katika masuala memgine yote ya uwezo wa kivita, Israel ipa far ahead ya Iran.

Mbaya zaidi, pia hata uwezo wa kiuchumi, Israel ipo juu kuizidi Iran. Uwezo wa jeshi la anga la Israel, Iran haiufikii hata 50%. Kwa sababu vita hivi siyo vya ardhini, hata ile advantage ya Iran kuwa na askari wengi, haina msaada wowote.

Iran ina uwezo wa kusababisha maafa kwa Israel, lakini haina uwezo wa kushinda vita dhidi ya Israel.

Jielemishe:

Who has the better military, Israel or Iran?

In terms of manpower and land forces, Iran has a numerical advantage. Iran also has a slight edge at sea. But the real war between Israel and Iran will be fought in the air. And Israel's air superiority is undeniable.

How is Israel's economy compared to Iran?

Even though oil revenues have stabilized in recent years, Iran is far from an economic powerhouse. Its population of around 88 million is nearly 10 times that of its arch-enemy Israel. But in 2023, Iran's economic output was $403 billion, significantly lower than Israel's $509 billion.
2 Oct 2024
Unazungumzia united states of Israel..

Iran haikutaka kuwa na bora zaidi kwenye kutmia na kutengeneza ndege za kivita ambapo ni biashara kwa nchi za magharibi..

Iran badala yake imejiwekeza kwenye teknolojia za drones na makombora ya masafa ambapo gharama ni nafuu, na very effective kulikobhata ndege za kivita..

Maisha ni kuchagua, wakati Israel inapaisha F-35 kama kufanya marketing kwa biashara ya US ya silaha , Iran wanatengeneza hypersonic kwa ajili ya kujilinda..

Kama Iran ana makombora ya kupiga ME mahala popote, yanini ahangaike na ndege?

Iran na drones zake za kamikaze amebadili style mpya ya mapambano duniani...

Iran haihitaji ndege kupambana na Israel...
 
Israel imekuwa fooled kudhani imeimaliza nguvu Iran, waajemi wanacheza mind game...
Tusubiri hapa na tuwe patient..

Israel itapigwa dunia haitoamini.. tusubiri hapa..
Seven top generals wamefyekwa in a single strike halafu waajemi wanacheza mind games! Hivi nyie!
 
Hata kama hukubaliani na politics za Netanyahu, sometimes unahitaji watu kama huyu ili kumaliza na kukomesha hizi akili za Stone Age zinazofikiri kila mtu lazima awe kobazi ili kuishi hii dunia kwa amani
 
Seven top generals wamefyekwa in a single strike halafu waajemi wanacheza mind games! Hivi nyie!
Ila mateka kuwapata ndani ya Gaza wameshindwa.. Gen wa Iran na wanasayansi wanaua, hao high ranking officers wa Iran wanaishi kawaida kabisa pasipo kujificha...

Usichokijua kuhusu Iran, haijalishi utaua general yupi, wapo kama wote watateuliwa wengine..
Miaka nenda Israel inaua wanasayansi wa Iran lakini project zinakwenda hazisimami...

Hao high ranking officers ni picha tu kwa nje, wanaopika vitu wapo ndani hawajulikani.. waliua kina Suleiman lakini wakaja wengine..

Iran sio Rwanda kwamba Kagame akifariki basi nchi haikaliki..

Those are are the publicly known figures, there are other officials ndani ya serikali hata Mossad wanawasikia tu pengine hawajulikani walipo...

Iran ilishajiweka na kujitengenezakatika mfumo ambapo hata afe Generals wakubwa upo muongozo nii kifanyike pasipo kutetereka au kurudi nyuma..
 
Israel mashambulizi iliyofanya si kitu ndugu zangu, Israel itapigwa hapa mtashangaa...
Iran inakwenda kuipiga Israel katika namna ambayo UN wanaingilia kati..
Ndo maana Israel wanasema wapo kwenye high alert...

Iran ina missiles city..

Kama Israel imeshindwa tu kuharibu makombora ya Yemen Houthis ambayo kila siku yanapiga Gurion airport, watakuja kuiweza Iran?

Suala la Israel kuingia Iran na kufanya mashambulizi sioni ajabu, hata Ukraine amejitutumua kafanya mashambulizi ya drone ndani ya Russia.. na sasa wanalipa walichofanya.
IRAN kuishinda ISRAEL ni ngumu sana bila ya kuwachakaza kwanza vibaraka wa Kiarabu.
 
IRAN kuishinda ISRAEL ni ngumu sana bila ya kuwachakaza kwanza vibaraka wa Kiarabu.
Haya mashambulizi ya sasa utashangaa Iran ikaionya Jordan kwa kipigo heavy..
Qatar pia inaweza kutembezewa kichapo , anga la Iraq pia ambalo lipo chini ya US inaweza kuwa target..

Ninachokiona Iran itafanya kitu ambacho hata US haikufikiri..

sote tunaamini US ndio anaishambulia Iran huku Israel ikiwa mask mbele kuficha US..
 
Nasikia kipigo kinaendelea sasa hivi Kituo kingine cha Neucler kinadondoshewa mabomu mazito mazito nadhani kitakuwa Fordow.

Iran wawe wapole tu Israel amesema hali iliyoppo ni point of no return wakizidi watakuwa masikini visima vya mafuta vitafuata.

Anga nyeupe hata Baloon la watarii Iran hawezi tena iangusha
1749847181504.png

A satellite image shows new reactors under construction at the Bushehr site in Iran in this handout image dated January 1, 2025. (credit: Maxar Technologies/Handout via REUTERS ATTENTION EDITORS )
 
Iran, Iran, Iran tunaionea huruma ila yenyewe ni kama haijielewi. US ilishasema kuna uwezekano wa Israel kuishambulia Iran, walishindwa nini kujiandaa? Wameshindwa hata kutungua ndege kadhaa aah!!!

Viongozi wangetawanyika kuwa kwenye mahandaki na sehemu tofauti wanapoishi. Ili mradi kumchanganya adui, ila wamekutwa palepale walipoambiwa chumbanii!!!!

Nilijua wanaweza kuwa na mashambulizi makali Tel Aviv iwe jivu, kwanini huwa wanatuma sijui ni vidrone, visivyoleta madhara kwa Israel? Au wanaogopa? Imefika muda kuachana na Ayatollah kuwa ndiyo last say wa kila kitu, naona anawakwamisha sana Iran. Pole yao..
 
Iran imejaa mashushu wa mossad tu, washamsoma wakamuona yupo mtupu, atapigwa tu Sana na hakuna atakalofanya!!! Israel mpaka imeamua kuanzisha vita watakua na data nyingi mezani

Wako wapi wale wanaosema Israel anaonea vidagaa tu??? Huyu netanyahu Hana mchezo inabidi biblia wai edit waongeze jina lake
Netanyahu aitwe KING DAVID 11
 
KIpenzi unachambua vita😂
 
Iran imejaa mashushu wa mossad tu, washamsoma wakamuona yupo mtupu, atapigwa tu Sana na hakuna atakalofanya!!! Israel mpaka imeamua kuanzisha vita watakua na data nyingi mezani

Wako wapi wale wanaosema Israel anaonea vidagaa tu??? Huyu netanyahu Hana mchezo inabidi biblia wai edit waongeze jina lake

Watakuja na wimbo mwingine. Subiri tu.
 
Back
Top Bottom