LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,875
- 13,486
Nakuhurumia we ndugu, mbona mna mioyo migumu sana hata kwenye kukubaliana na vitu obvious tu??Israel mashambulizi iliyofanya si kitu ndugu zangu, Israel itapigwa hapa mtashangaa...
Iran inakwenda kuipiga Israel katika namna ambayo UN wanaingilia kati..
Ndo maana Israel wanasema wapo kwenye high alert...
Iran ina missiles city..
Kama Israel imeshindwa tu kuharibu makombora ya Yemen Houthis ambayo kila siku yanapiga Gurion airport, watakuja kuiweza Iran?
Suala la Israel kuingia Iran na kufanya mashambulizi sioni ajabu, hata Ukraine amejitutumua kafanya mashambulizi ya drone ndani ya Russia.. na sasa wanalipa walichofanya.
Toka alfajir milipuko inasikika Iran, ila bado mnaongea hiz kauli, are you serious??