Ishu ya Polisi kubaka, msichana asimulia (audio)

Ishu ya Polisi kubaka, msichana asimulia (audio)

Binti wanasema ana miaka 16. Lakini maelezo yake anasema ana kitambulisho cha mpiga kura...then hebu tuassume alianza shule na miaka 7, darasa la 7 amemaliza na miaka 13, kidato ca nne miaka 17, so kidato cha sita na miaka 16 niaje? Sikiliza vizuri rafudhi na organisation ya mawazo ya huyo binti!! DOUBT
Nani anasema binti ana miaka 16? Alianza darasa la kwanza akiwa na umri gani ili leo awe kidato cha sita?
 
Pole sana binti,huyo askari atakuwa kafanya unyama sana,anapaswa awe wa mfano, ushauri kwa Millard ayo siku nyingine atoe maeneo yanayoweza kumtambulisha victim kirahisi,ikiwezekana hata kuibadili sauti,maana hapo ni kama anamwanika kabisa,ni rahisi watu kumjua.

Mwenyewe nimeshangaa... Hakuna
censoring ya aina yoyote. Kila kitu
kiko wazi. What type of journalism is
this!
 
Nidhamu ya uandishi wa habari pia imekiukwa, raia alofanyiwa shambulio la aibu na ndo mlalamikaji hatakiwi kudhihirisha identity yake ,anapaswa kustiriwa.
Jina lake , picha yake ni vitu vya kuwa mbali na public.
 
nimeyaona live mahojiano yake na vituo vya luninga wala si mipango ni kweli kweli tupu,masikini bint wa watu ,je akiwa makamu wa rais huyu ? daaaah dunia hiii
 
Mkuu Mtende tukipata majibu hapa binti atakuwa kajichanganya. Afu kwa nyongeza mbakaji atakaaje eneo la tukio hadi saa sita??
Afu mbakaji anyonywe uume na mbakwaji kweli??? Sie twajua mtu ananyonywa km hajisikii kuwa na hamu ya ngono so binti huyu alimhamasisha askari.
Afu yule binti alimquote askari kuwa " sikuamini tena" maana yake kulikuwa na mapatano ya kuaminiana.
My cut binti apitie upelelezi wa mtu makini jibu litapatikana ikiwezekana watumie utaalamu wa sungusungu wa enzi za Lyatonga
 
Hawa ndio askari wetu wenye jukumu la ulinzi wa mali na raia wetu tanzania ,askari anapovishwa uniform za askari hujisahau na kuona wako juu ya kila kitu baadhi ni waadilifu wengine si waadilifu mfano huyu aliyebaka angepaswa atoe msaada kwa msichana huyu na kumuonyesha njia badala yake amembaka ,hapa utaona taswira ya askari wasiowaadilifu walivyo na hulka za ajabu ,kutumia uaskari kama utambulisho na kujipatia mali au chochote ni kosa kubwa sana ,mfano wewe ni askari wa barabarani mshahara wako unafahamika kutokana na kukosa maadili ya kazi baada ya miaka 5 ana nyumba ,gari ,vimada ,hili ni kosa umetumia dhamani uliyopewa na serikalli kulinda mali na raia kujipatia fedha isivyo halali unastahili upelekwe mahakamani ujielleze kwanini usifukuzwe kazi,,na serikali inayojali utawala bora lazima ione hili ni tatizo na kuchukua hatua zinazostahiki ,,askari hawa wa aina hii tunao wengi ni wakati sasa wa kuona haya na serikali ichukue hatua madhubuti kwa askari yeyote aliyekiuka maadili na uadlifu wa kazi ya uaskari .mkoa wa arusha uwe wa mfano kwa tanzania yote .maadili yameporoka sana tuamke tukomeshe tabia hii na kwa kufanya hivi rushwa tutakuwa na uwezo mkubwa wa kupambana nayo .haihitaji ushahidi kuona hali halisi angalia maisha halisi ya baadhi ya askari hayalingani na utumishi wa serikali wanaoitumikia ,angalia trafiki wanatumia gari zao na kujazana humu na kutafuta njia panda na kuegesha gari pembeni ,hapa masurufu yatakayokusanywa kwanza watamjali aliyewabeba kwaleta pale ,pili watajiangalia wao ,tatu kama chenji zimebaki watawasilisha kituoni,.Huu si utaratibu mzuri wa serikali wa kukusanya pesa barabarani,unalea tabia ya rushwa .
 
Huyu binti nimemsikiliza! Kifupi huyu Asikari ni barazuli mkubwa. Ni wa kufunga
 
haijalishi walikubaliana au alimbaka.ila mwanamke akishitaki umembaka ndugu kazi unayo
 
Sijawahi kusikia mbakaji kaomba kunyonywa Ub** kwenye mazingira kama hayo ya wazi (uwanjani) japo alisema kulikuwa na giza.
ukimsikiliza kwa makini huyu msichana maelezo yake yanaonyesha kuna kasoro nyingi, maana uchunguzi ukiendelea zaidi utakuta hata huyo msichana anafahamiana na huyo jamaa (askari) sababu sijawahi kuona nikuonyeshe kitambulisho changu kisha nitafute giza nikubake tena kutoka saa 2 usiku hadi saa 8?

nilimsikia msichana akisema baada ya jamaa kuomba kunyonywa, yeye alimyonya na kumng'ata kwa nguvu kwenye uume mpk alipohisi damu akamuachia. Hapo hapo jamaa alisema "sikuamini tena" na kuanza kumshambulia tumboni na sehemu za siri.

hii kesi inawezekana ikawa imepindishwa au watu wametengeneza tu ili kutengeneza headlines.
Kiukweli mapungufu ni mengi kutokana na maelezo ya huyo msichana. Pia muandishi akuangalia misingi ya taaluma yake maana kuna maelezo mengi yanayo muweka wazi msichana kutambulika kwenye jamii.
 
Sijui niseme nini maana uongo ni mwingi kuliko ukweli! sasa naumia kama mzazi sijui ni seme nini ila swala zima la ubakaji limetawaliwa na hisia, na ni swala linalo gusa sana hisia za wazazi, hivyo linahitaji umakini nabusara sana,hata polisi wamekurupuka kumuachisha kazi kwani akishinda kesi watamlipa pesa nyingi...kuna polisi wanaua kwa makusudi na wapo leo kazini! sasa iweje huyu afukuzwe.?? kwakutia doa Jeshi la polisi??wakati kuna taarifa nyingi za jeshi la polisi kubaka mahabusi au hao hawana haki??Hila siachi hivi hivi nakopy hii URL Nampelekea Mkurugenzi wa mshitaka DPP kwani naamini nayeye atajiridhisha na maelezo ya binti! pamoja mawazo yenu, kwani ofisi ya DPP inao uwezo wa kufutilia mbali swala hili! Endapo nasema Endapo itajiridhisha kuwa ni fishing story!ila kwakuwa nitampa copy ya hii thread (URL) tusubiri ukweli.Hila mimi kama mzazi wa watoto wakike na wanasoma maeneo hayo ya Arusha Moshi imenigusa ila maelezo ya binti yana utata mkali sana! kwani bila kuwa makini unampoteza mtu miaka 30yrs! Hivyo hii kesi apewe mweledi na si kwakufuata jinsia pia kwa DPP asiwape wadada! inabidi awape wnasheria zaidi ya watu 3 means 3,5,6 Na hakika mtakuwa mumenielewa zaidi hivyo nampa copy ya comments zenu tutajua mwisho wasakata hili.

mkuu ushahidi upo mkubwa sana na Rpc ndio kasema sheria ifuate mkondo hachomoki....pia dushe alikaguliwa wakakuta limejeruhiwa vibaya....pia alikua umue huyo mtoto ni mungu 2 alisaidia....police wenzake wanakuambia case imenyooka hachomoki
 
Mkuu Mtende tukipata majibu hapa binti atakuwa kajichanganya. Afu kwa nyongeza mbakaji atakaaje eneo la tukio hadi saa sita??
Afu mbakaji anyonywe uume na mbakwaji kweli??? Sie twajua mtu ananyonywa km hajisikii kuwa na hamu ya ngono so binti huyu alimhamasisha askari.
Afu yule binti alimquote askari kuwa " sikuamini tena" maana yake kulikuwa na mapatano ya kuaminiana.
My cut binti apitie upelelezi wa mtu makini jibu litapatikana ikiwezekana watumie utaalamu wa sungusungu wa enzi za Lyatonga
mbaya zaidi anasema baada ya kumnyonya na kumg'ata mbakaji aliendelea kumbaka, hivi umejeruhiwa uume na damu inatoka unaweza kufanya tendo tena?
 
Aisee.embu wapelelezi waanzie kuwaza hapa.
.
Kuna kaukweli Fulani ktk haya mkuu,,wachunguze vizuri tu, il ht km alikuwa mpenzi wake,bado sheria inambana kuwa na mahusiano na students,,,,,, labda iwe kasingiziwa
 
Utakuaje na mapenzi na mtoto wa shule ? Assume we ndio mzazi wa uyo binti utajiskiaje hapo hakuna namna atakama mlikubaliana ni kikukutanaye umebaka tu acha anyee ndoo kwanza na akitoka uko atakuwa kaishakuwa shoga
 
Pole sana binti,huyo askari atakuwa kafanya unyama sana,anapaswa awe wa mfano, ushauri kwa Millard ayo siku nyingine atoe maeneo yanayoweza kumtambulisha victim kirahisi,ikiwezekana hata kuibadili sauti,maana hapo ni kama anamwanika kabisa,ni rahisi watu kumjua.



hiii ishajulikana mkuu hata aifiche vipi haizuiliki hujui kuna mitandao sura yake nayo ishajulikana ko usimpe lawama millard kafanya kazi yake KIKUBWA KUJIULIZA UNYAMA ALIOUFANYA HUYU MWENZETU alikosa nini mpaka kubaka?
 
ninachohofia mimi ni pale anaposema alipigiwa simu na kaka yake eti akakataa akasema anakwenda kwa kona halima. halafu yule kijana anayesema ni msamaria yule askari alimbadilikia kwanini? kuna kitu hapo.wewe umeambiwa uijiwe na kaka yako unakataa unalazimisha kwenda kulala sehemu usioijua vizuri kwanini?
 
Kwa mnaounga mkono huyu mbakaji; mwaka huu hautaisha lazima ubakwe!!
Mi siungi mkono ubaki, Ila maelezo ukiyasikiliza vizuri kwa utulivu Mh! Na hicho ktambulisho Cha mpiga kura!
 
Back
Top Bottom