Ishu ya Polisi kubaka, msichana asimulia (audio)

Jamaa alikunywa pweza?????
saa 2 mpaka 8 ju ya kiuno!!
kinamama msiofikishwa na waume zenu mtafteni uyu jamaa akipona dhakari yake alongatwa
 
Binti wanasema ana miaka 16. Lakini maelezo yake anasema ana kitambulisho cha mpiga kura...then hebu tuassume alianza shule na miaka 7, darasa la 7 amemaliza na miaka 13, kidato ca nne miaka 17, so kidato cha sita na miaka 16 niaje? Sikiliza vizuri rafudhi na organisation ya mawazo ya huyo binti!! DOUBT
 
Huu ni uongo dhahiri field force kwa mrombo napajua vizuri sana. Huo uwanja anaousema haufiki hata mita20 kutoka barabarani sa hio ni sehemu ukipiga kelele usisike? Na mita kama 70 upande wa kambi kuna nyumba za askari wa ffu. No way this is a cooked story kwa hapo tu nimedharau

Unaandika kitu usichokijua,tuulize wahusika tutakujibu. Eneo la tukio hata iwe mchana umesimama piga kelele hakuna anayeweza kukusikia na hizo mita20 unazosema wewe zikoje? Kutoka barabarani hadi eneo la tukio ni mita150 na kutoka hiyo point kwenda goli la kusini ni mita105 na hapo hujagusa kambi ilipo. Hakuna uongo ktk audio hiyo hata kidogo
 
Nikuulize swali kutoka canteen kwenda hilo unaloita eneo la tukio ni mita ngapi na kutoka hilo goli la kusini kwenda first right bar ni mita ngapi au unadhani mie mgeni maeneo hayo? Niambie eneo la tukio ni uwanja wa mpira kwenye migunga au kwenye mashamba wanayolima askari mahindi ambako sio uwanjani? Na kutoka uwanjani na kituo cha uzunguni kuna mita ngapi?
 
Kutoka goli la kusini kufika nyumba ya mwisho ffu hazifika hata mita mia hata kama ni mita 500 kwa usiku kelele ya mtu mwenye maumivu hata kutoka kwambini ingefika kwa morombo. Kwano kutoka uwanjanj kwenda petrol station haizidi mita 300
 
Nikuulize swali kutoka canteen kwenda hilo unaloita eneo la tukio ni mita ngapi na kutoka hilo goli la kusini kwenda first right bar ni mita ngapi au unadhani mie mgeni maeneo hayo? Niambie eneo la tukio ni uwanja wa mpira kwenye migunga au kwenye mashamba wanayolima askari mahindi ambako sio uwanjani? Na kutoka uwanjani na kituo cha uzunguni kuna mita ngapi?

Ilikuwa maeneo ya mashamba ya askari sio uwanjani n trust me,umbali ninaoutaja ninamaanisha jpkw siko tayari kuendelea in details. Kwa usiku eneo hilo la tukio hakuna taa yoyote inayofika eneo hilo,labda nikushauri,simama pale filling station na tazama kwa macho umbali wa kutoka hapo hadi nyumba ya kwanza kambini
 
  • Thanks
Reactions: OR7

Nimefatilia maelezo ya huyu msichana anayetajwa kubakwa na askari polisi Arusha, binafsi naona kuna mtiririko usiopinda au wa kubuni aliokuwa anasimulia huyu msichana, ingawaje suala lipo mahakamani ila naona kama kuna ukweli flani , mwanzoni nilifikiri walikuwa ni wapenzi na msichana kaamua kumgeuka na kumkomesha kumbe ni kinyume,anyway, mahakama itaamua, sikilizeni na nyie ....

Ila kama ndivyo hivyo huyu jamaa hafai kuitwa binadamu ni mnyama kabisa.
 
Ilikuwa maeneo ya mashamba ya askari sio uwanjani n trust me,umbali ninaoutaja ninamaanisha jpkw siko tayari kuendelea in details. Kwa usiku eneo hilo la tukio hakuna taa yoyote inayofika eneo hilo,labda nikushauri,simama pale filling station na tazama kwa macho umbali wa kutoka hapo hadi nyumba ya kwanza kambini
Nimekuelewa mkuu. Tuache sheria uchukue mkondo wake. Kwa hapo sina shaka. Wasi wasi wangu ulikuwa uwanjani...
 
mkuu jamaa kabaka kweli na case imenyooka.....ffu wenzake ndio walimkamata n akapelekwa central kahojiwa na upelelezi mpka jana ulikua umekamilika.....wa2 waliomuona huyo mtoto wamesikitika n rpc sabas hana masihara kwa ujingaujinga....mwingne mwez dec kampiga mwanamama rpc kamuweka ndani wiki 2 sasa hivi kazi yke kufanya usafi alikua dreva wa gari ya patrol
Ninamwamini Afande Liberatus Sabas. Polisi wanatakiwa kuiga utendaji wake kwa kuchukua hatua kwa haraka.
 
"Alivyonipa ninyonye tena nikamng'ata, akakasirika sana akaniambia SIKUAMINI TENA, YANI UMENING'ATA, SIKUAMINI KABISA" basi damu ikawainamtoka nyingi sana, baadae akaniona kama nimezinduka akaanza tena kunibaka"-

From saa 2 mpaka saa 8 Usiku askari anambaka mwanafunzi tena baada ya kumkagua vitambulisho vyake bado kampanda tena na kumbaka?!,...
Huyo askari katumwa au alikunywa "Mkuyati"?!
Ina maana askari alirukwa na akili mpaka akasahau kabisa kwamba wapo katikati ya uwanja wa mpira?!
Ina maana askari alisahau ghafla kila kitu kuhusu yeye binafsi mara baada ya kumkuta binti njiani na kijana (fundi ujenzi)?!
Binti ni mzuri sana kiasi cha kumchanganya askari au askari alikuwa na ugwadu wa siku nyingi?!

Pole sana binti kwa yaliyokukuta, Ujana una mambo mengi sana, be careful!!
 
Itabidi FBI washirikishwe kwenye ili sakata maana kuna vitu kaongea huyu dada vinaitaji mahojiano marefu anasema alizimia mara mbili jamaa bado akawa anamsubiri mpaka aamke ili ambake tena daah!! Na ili la kumnyonya ni gumu kuamini wala kukataa.
 
Maelezo ya binti mbona yana utata utata!cm anayo yake ila akaomba ya msamalia,kabakwa kuanzia saa mbili hadi saa nane hivi huyo mbakaji haitaji kurudi kwake ucku huo?kapewa anyonye kweli mbakaji anafikia huko wakat tendo ni la nguvu?aligoma kuja kuchukuliwa kwa kudai anaenda kwa ndugu zake,vp tena upotee?mmmmh! Labda.
Ni unyama wahali ya juu.Ila sijui ni maumbile kwa jinsi anavyoeleza no feelings! Kwa kwelisijui ilakama ni kweli huo ni uuaji!
 
"Alivyonipa ninyonye tena nikamng'ata, akakasirika sana akaniambia SIKUAMINI TENA, YANI UMENING'ATA, SIKUAMINI KABISA" basi damu ikawainamtoka nyingi sana, baadae akaniona kama nimezinduka akaanza tena kunibaka"-

From saa 2 mpaka saa 8 Usiku askari anambaka mwanafunzi tena baada ya kumkagua vitambulisho vyake bado kampanda tena na kumbaka?!,...
Huyo askari katumwa au alikunywa "Mkuyati"?!
Ina maana askari alirukwa na akili mpaka akasahau kabisa kwamba wapo katikati ya uwanja wa mpira?!
Ina maana askari alisahau ghafla kila kitu kuhusu yeye binafsi mara baada ya kumkuta binti njiani na kijana (fundi ujenzi)?!
Binti ni mzuri sana kiasi cha kumchanganya askari au askari alikuwa na ugwadu wa siku nyingi?!

Pole sana binti kwa yaliyokukuta, Ujana una mambo mengi sana, be careful!!
Jamaa anabaka alafu anataka starehe as if yupo na mchumba/mke wake "eti ninyonye", its so disturbing. Nachukizwa na watu wenye beastly desires kama huyo polisi.
Alafu ugonjwa huu wa kubaka mara nyingi watu ambao si wepesi wa kuzungumza na wanawake wana tabia hii hata kama ana elimu ya PhD
 
Itabidi FBI washirikishwe kwenye ili sakata maana kuna vitu kaongea huyu dada vinaitaji mahojiano marefu anasema alizimia mara mbili jamaa bado akawa anamsubiri mpaka aamke ili ambake tena daah!! Na ili la kumnyonya ni gumu kuamini wala kukataa.
Hivi kweli unabaka mtu azimie uendelee kumsubiri aamke umbake tena mara ya pili huyo binti adanganye ndugu zake vinginevyo yalikuwa makubaliano.
 
Jamaa anabaka alafu anataka starehe as if yupo na mchumba/mke wake "eti ninyonye", its so disturbing. Nachukizwa na watu wenye beastly desires kama huyo polisi.
Alafu ugonjwa huu wa kubaka mara nyingi watu ambao si wepesi wa kuzungumza na wanawake wana tabia hii hata kama ana elimu ya PhD
Hawa watakuwa wanajuana basi tu wamehitilafiana mmoja kamuwahi mwenzake yaani umbake mtu umpe akunyonye basi huyo askari atakuwa chizi.
 
Dah! Inasikitisha sana....
Hawa jamaa huwa siwapendi kabisa kwa tabia zao za ubabe ubabe na ulimbukeni wanapokuwa mitaani na wanafanya hivyo wakiamini kuwa wanaogopwa kwa sababu ya uaskari....
Ila bado kwa maelezo ya huyo mwanafunzi kuna mambo bado yamejificha.... pengine itafahamika tu baadae.
 
Back
Top Bottom