Ishu ya Polisi kubaka, msichana asimulia (audio)

Ishu ya Polisi kubaka, msichana asimulia (audio)

WeUOTE="OR7, post: 15138579, member: 50298"]Huu ni uongo dhahiri field force kwa mrombo napajua vizuri sana. Huo uwanja anaousema haufiki hata mita20 kutoka barabarani sa hio ni sehemu ukipiga kelele usisike? Na mita kama 70 upande wa kambi kuna nyumba za askari wa ffu. No way this is a cooked story kwa hapo tu nimedharau[/QUOTE]



We ni hakika hujui chochote kile na unajaribu kutetea kwa utetezi wa uongo...
Kwa haya maelezo ya huyu bint kuna asilimia kubwa za ukweli maana mimi mwenyewe nimesha wahi kukatiza hilo eneo.
Ni eneo linalo toka kambi ya fidifos kando ya uwanja wa mpira linafika mpaka barabara inayo panda bar mpya....
Umbali kutoka kwenye kambi bara bara inapo anzia mpaka mwisho wa bara bara ni umbali kama wa 100mtrs hv au zaidi
Na nikweli kwa jinsi makazi yalivyo mbali ni ngumu
Sauti ya binti kusikika
 
Kwa
Hawa watu inaonekana walikuwa wapenzi ndio maana baada ya jamaa kumkuta na yule kijana alimind maana haingii akilini uwakute watu wamesimama wawili uanze kumzingua kijana bila kujua wana uhusiano gani vinginevyo huyo askari ni mgonjwa wa akili
Kitendo cha binti kukataa kwenda kwa kaka yake maanake alijiandaa kwenda sehemu nyingine tofauti na hao marafiki zake?
Ilikuwaje aanze kuongozana na huyo askari bila kuhoji anampeleka wapi? Lengo lake lilikuwa aende kwa marafiki zake kwanini alihaarisha na kuanza kuongozana na askari huyo?
Kwa akili ya kawaida tu mtu anaweza kwenda kumbaka mtu katikati ya uwanja kweli?
Hapa inaonekana walikuwa wanaenda kwa mshikaji ugomvi ukatokea katikati ya uwanja inawezekana pia hapa amedanganya huenda ugomvi ulitokea nyumbani kwa askari yeye amesema katikati ya uwanja ili kukwepa maswali alifuata nini kwa mshikaji.
Binti anasema alibakwa kuanzia saa mbili usiku mpaka saa 8 usiku katikati ya uwanja hivi kwa akili ya kawaida mtu anaweza kumbaka mtu asiyefahamu muda wote huo?
Binti amesema alikuwa na kitambulisho cha kupigia kura maelezo ya awali alidai ana miaka kumi na sita,
Mwisho kabisa kuna mahali binti amesema "sikuamini tena" akamalizia kwa vile umening'ata hapa binti ameshtuka kumalizia hivyo lakini ukweli inawezekana kulikuwa na ugomvi na jamaa alikuwa anamtuhumu mwenzake kwa kukosa uaminifu,.
Ukweli ni kwamba hawa watu walikuwa wanajuana ila ndo hivyo jamaa aatanyea ndoo sana maana binti kajipanga hasa.

Ww huo uwanja unaujua!!? Na unajua hiyo njia ilikuwa inaenda wapi!!!?
Binti kasema alipotea alipo kuwa anaenda maana anamiaka mitatu hajafika huko so angefanyaje!!?
 
Huu ni uongo dhahiri field force kwa mrombo napajua vizuri sana. Huo uwanja anaousema haufiki hata mita20 kutoka barabarani sa hio ni sehemu ukipiga kelele usisike? Na mita kama 70 upande wa kambi kuna nyumba za askari wa ffu. No way this is a cooked story kwa hapo tu nimedharau
Dharau na usiamini hadi siku limtokee mtu wako wa karibu sana. ...kwa kifupi haya matukio yanatokea sana na ni wachache wenye ujasiri wa kueleza kwa ufasaha kama huyo dada!
 
Maelezo ya binti ya binti yana zusha maswali mengi sana mbakaji hana muda wa kusubiri akisha jiridhisha fasta ana sepa
 
[QU OTE="matamauruke, post: 15147874, member: 349230"]Maelezo ya binti ya binti yana zusha maswali mengi sana mbakaji hana muda wa kusubiri akisha jiridhisha fasta ana sepa[/QUOTE]

We unadhani kwanini huyu mbakaji jina la mzaha akaitwa Osama!?
 
.
Kuna kaukweli Fulani ktk haya mkuu,,wachunguze vizuri tu, il ht km alikuwa mpenzi wake,bado sheria inambana kuwa na mahusiano na students,,,,,, labda iwe kasingiziwa
Kutembea na mwanafunzi mwenye akili na maamuzi, kama itajulikana walikuwa wapenzi hapo kabla sjui sheriabinasemaje kuhusu hili.
Utakuaje na mapenzi na mtoto wa shule ? Assume we ndio mzazi wa uyo binti utajiskiaje hapo hakuna namna atakama mlikubaliana ni kikukutanaye umebaka tu acha anyee ndoo kwanza na akitoka uko atakuwa kaishakuwa shoga

Mkuu embu usitumie mihemko kwenye swala la kitaalamu kama hili.hili swala linahitaji uchunguzi makini ndipo yatoke maamuzi si kwa hisia kama za kwako.mimi kama mzazi pamoja na maumivu ya taarifa hizi nadhani binti yangu kwa maelezo haya angekuwa na maswali mengi sana ya kujibu kabla hata ya kutoa maelezo kwa hakimu,si kuweka akili mfukoni eti kisa nimeambiwa kabakwa.ntakuwa mzazi kiazi.
Upo sahihi kabisaaa nami najiuliza hapa ule uwanja upo barabarani kabisaa pana baa ile ya ffu,pembeni tena pana nyumba za ffu na ule uwanja watu huwa wanapita sana hv toka saa mbili hadi saa nane hakuna mtu alopita akawaona,anyway ukwel wanajua wao acha tuiachie mahakama
Au labda lilikuwa dili la kambi nzima???, nimewaza.

Yaana unabaka-anazimia-anazinduka unabaka tena-kisha unaomba unyonywe mb@@-toka saa mbili mpaka nane usiku.hamna hata mtu anapita hiyo njia????

Dah.
 
Binti wanasema ana miaka 16. Lakini maelezo yake anasema ana kitambulisho cha mpiga kura...then hebu tuassume alianza shule na miaka 7, darasa la 7 amemaliza na miaka 13, kidato ca nne miaka 17, so kidato cha sita na miaka 16 niaje? Sikiliza vizuri rafudhi na organisation ya mawazo ya huyo binti!! DOUBT
Something fishy
 
Umri si tatizo hata angekua na miaka 30 kosa la ubakaji ni jela tatizo maelezo ya binti yana utata sana haiwezekani ubakwe uzimie uzinduke mbakaji atake tena hata kama awe katili kiasi gani haiwezekani labda kama alikuja nyumbani kwa Huyo Osama!
 
Forget about the age just consider the facts if it really true it doesn't matter how old the victim is

Km kadanganya umri, na vingine kadanganya. Kama umri alosema kweli, ana jinai ya kufoji kitambulisho cha kura (sijamsikiliza nanukuu maneno ya wachangiaji wengine). Huo pia ni uongo kwa hiyo hakuna ubakaji hapo.
 
Wala hata jamaa simjui ni kutokana na masimulizi. Si ungi mkono ubakaji lakini kwa maelezo niliyoyasikia hapa something fishy is going on. Kapiga simu yeye kama yeye ikawa inaita tuu. Then kaamua kutembea akapotea kakutana na msamalia mwema kaomba simu apige wakati huo ya kwake ilokuwa kwenye mfuko wenye crips imekuwaje? Askari aliyefunzwa akupe kitambulisho akutane na watu anaowafahamu wanaomfahamu then eneo la wazi kama uwanja wa ffu usiokuwa na mti akubake? Does it make sense to you? Huo uwanja unaoongelewa ni uwanja wa mpira hauna hata nyasi ni vumbi tuu. Saa 2 upande wa kulia wa barabara wenye baa taa zote humulika hapo uwanjani hilo giza lilitoka wapi? Ni maswali. Ninayojiuliza tu mm. Lakini kama ni kweli kabakwa kama ni kweli basi a atendewe haki. Japo nina mashaka sana na situation hii. Na hii ni kutokana na maelezo ya mhusika.


Ninamashaka Mkuu OR7 ni wale wale. Huyo mwanafunzi kaelezea kilaki2 simple & clear wewe sijui ili uamin uambiwaje. Inawezekana mbakaji ni Rafiki yako nadhani Na wewe uwe-arrested Na uhojiwe juu ya hiii Habari.kuna Raia asiyemjua Osama pale ki2uoni.

Rafael wala hajulikani sana kuliko Jina la Osama. Huyo mwanafunzi anamuonea wivu huyo Askari Kwa lipi mpaka amzushie 2uhuma kama hizo. Kuna mambo ya ku-support lakini sio huu unyama mkubwa namna hii.sidhani kama Una wa2o2o wakike wa Rika la mish au of any age.usinge changia poor & shame contributions Za namna hii.lakini ipo Siku yakikuku2a you would be in a positions 2 say something positively
 
Back
Top Bottom