Hawa watu inaonekana walikuwa wapenzi ndio maana baada ya jamaa kumkuta na yule kijana alimind maana haingii akilini uwakute watu wamesimama wawili uanze kumzingua kijana bila kujua wana uhusiano gani vinginevyo huyo askari ni mgonjwa wa akili
Kitendo cha binti kukataa kwenda kwa kaka yake maanake alijiandaa kwenda sehemu nyingine tofauti na hao marafiki zake?
Ilikuwaje aanze kuongozana na huyo askari bila kuhoji anampeleka wapi? Lengo lake lilikuwa aende kwa marafiki zake kwanini alihaarisha na kuanza kuongozana na askari huyo?
Kwa akili ya kawaida tu mtu anaweza kwenda kumbaka mtu katikati ya uwanja kweli?
Hapa inaonekana walikuwa wanaenda kwa mshikaji ugomvi ukatokea katikati ya uwanja inawezekana pia hapa amedanganya huenda ugomvi ulitokea nyumbani kwa askari yeye amesema katikati ya uwanja ili kukwepa maswali alifuata nini kwa mshikaji.
Binti anasema alibakwa kuanzia saa mbili usiku mpaka saa 8 usiku katikati ya uwanja hivi kwa akili ya kawaida mtu anaweza kumbaka mtu asiyefahamu muda wote huo?
Binti amesema alikuwa na kitambulisho cha kupigia kura maelezo ya awali alidai ana miaka kumi na sita,
Mwisho kabisa kuna mahali binti amesema "sikuamini tena" akamalizia kwa vile umening'ata hapa binti ameshtuka kumalizia hivyo lakini ukweli inawezekana kulikuwa na ugomvi na jamaa alikuwa anamtuhumu mwenzake kwa kukosa uaminifu,.
Ukweli ni kwamba hawa watu walikuwa wanajuana ila ndo hivyo jamaa aatanyea ndoo sana maana binti kajipanga hasa.