Kuna watu sijui iyo audio mmesikiliza na makalio? Sababu binti kaeleza sababu na chanzo, lkn kuna wasengerema apa mnaropoka upumbavu na ujinga,uyo ffu kumaind kwa kumkuta jamaa na huyo denti ni moja ya biti zao kwan nazan binti alikua anaonekana mdogo kwa huyo msamalia wake aliemuomba kupiga simu kwa ndugu zake,
Na baada ya kujua hawana uhusiano wowote ndio afande akazidi kukomaa akijua tayari msosi,
Pili binti alipata aman baada ya kujua jamaa ni poti, hivyo hakua na mashaka tena, na alipoulizwa tunaenda wapi jamaa akasema pale ffu tuone cha kufanya, ndio maana binti akawa mpole sababu alijua huyo mtu mwema.
Ishu ya kubakwa nikwamba jamaa alibaka mpaka denti akazimia baada ya muda akashtuka sababu ya ubaridi uliokua pale, lkn bado akamkuta jamaa anazungusha nyonga ivo akaendelea kuvunga kama kazimia, jamaa akamaliza akataka kuondoka lkn denti akawa kama kaamka, ndipo poti akaona kumbe bado kazima akarudi tena na nguvu mpya pamoja na mbwembwe za kulambana,
Akang'atwa ndipo akapandwa na hasira akashusha kipigo mpaka binti kuzimia,
Kaja kushtuka ilikua saa nane na sio kwamba alifanywa mpaka saa nane gadem.
Ishu ya miaka apo na mimi napatwa mashaka lkn naamini ni mama yake alifanya ivyo ili kuipa kesi uzito zaidi kua kabaka mtoto under 18 na sio mtoto aliesema hivyo,.