Ishu ya Polisi kubaka, msichana asimulia (audio)

Ishu ya Polisi kubaka, msichana asimulia (audio)

Kutembea na mwanafunzi mwenye akili na maamuzi, kama itajulikana walikuwa wapenzi hapo kabla sjui sheriabinasemaje kuhusu hili.

Mkuu embu usitumie mihemko kwenye swala la kitaalamu kama hili.hili swala linahitaji uchunguzi makini ndipo yatoke maamuzi si kwa hisia kama za kwako.mimi kama mzazi pamoja na maumivu ya taarifa hizi nadhani binti yangu kwa maelezo haya angekuwa na maswali mengi sana ya kujibu kabla hata ya kutoa maelezo kwa hakimu,si kuweka akili mfukoni eti kisa nimeambiwa kabakwa.ntakuwa mzazi kiazi.

Au labda lilikuwa dili la kambi nzima???, nimewaza.

Yaana unabaka-anazimia-anazinduka unabaka tena-kisha unaomba unyonywe mb@@-toka saa mbili mpaka nane usiku.hamna hata mtu anapita hiyo njia????

Dah.
Ujielewi wewe na naombea mtoto wako aje abakwe uone hali ikoje
 
Ukiwa mtu wa kufikiria sana utagundua hawa walikua wapenzi. Tena huyo binti alitoka kwao kwenda kwa mshkaji ila wakatibuana. Kwa ushauri wangu. Ichunguzwe simu ya huyo binti ili waweze kubaini mahusiano yao. Jamaa hana nguvu kwakua ana date na mwanafunzi
 
Binti atafanikiwa kumuharibia jamaa unga wake lakn kumfunga hata weza maana ushahidi unautata sana huo.
 
Ukiwa mtu wa kufikiria sana utagundua hawa walikua wapenzi. Tena huyo binti alitoka kwao kwenda kwa mshkaji ila wakatibuana. Kwa ushauri wangu. Ichunguzwe simu ya huyo binti ili waweze kubaini mahusiano yao. Jamaa hana nguvu kwakua ana date na mwanafunzi
Sidhani kama kudate na mwanafunzi ni kosa kisheria kinachoangaliwa pale ni umri ndo maana ukikamatwa na mwanafunzi kosa linakuwa ubakaji na mtoto awe chini ya miaka kumi na nane, kama walikuwa wapenzi jamaa akifika mahakamani akubali walikuwa wapenzi na ulitokea ugomvi kesi itakuwa haina nguvu tena.
 
Wamekurupuka kumfukuza kazi wakati kesi ya msingi ipo mahakamani.
Kwa jeshi la Polisi na Magereza lazima kwanza wakufukuze kaz kisha ndo wakupeleke mahakaman.
Hii hufanyika kwa askari wa cheo cha chini lakn kuanzia nyota1 kuendelea huwa wanasimamishwa kwanza ndo.kesi huenda mahakaman, akishindwa anafukuzwa.
 
Sidhani kama kudate na mwanafunzi ni kosa kisheria kinachoangaliwa pale ni umri ndo maana ukikamatwa na mwanafunzi kosa linakuwa ubakaji na mtoto awe chini ya miaka kumi na nane, kama walikuwa wapenzi jamaa akifika mahakamani akubali walikuwa wapenzi na ulitokea ugomvi kesi itakuwa haina nguvu tena.
Ukitaka kuamini ishu imepangwa angalia mwanafunzi umri wake. Eti miaka 16 alafu yupo kidato cha sita
 
Hivi ndo huyu mwanafunzi wa miaka 16? Hebu tujaribu kufanya upembuz kidogo
Darasa la kwanza alianza na miaka 5
Akamaliza darasa la 7 na miaka 11
Akaingia form one na miaka 12
Akamaliza form 4 na miaka 15
Form 5 akaingia na 16, sasa hapoooooo........................ mbona ka hesabu inanisumbua, sijui nitumie quadratic equation au log au permutation! Wakuu mtanisaidia kumalizia hapo tupate jibu
 
Kwa jeshi la Polisi na Magereza lazima kwanza wakufukuze kaz kisha ndo wakupeleke mahakaman.
Hii hufanyika kwa askari wa cheo cha chini lakn kuanzia nyota1 kuendelea huwa wanasimamishwa kwanza ndo.kesi huenda mahakaman, akishindwa anafukuzwa.
Huku ni kukurupuka haiwezekani kosa la jinai kesi ya msingi ipo mahakamani halafu unamfukuza mtu je, akishinda kesi maana mahakamani ndo ina uwezo wa kutafsiri sheria na kumtia mtu hatiani.
 
Kusoma ujui hata audio ujasikia anakwambia alizimia mara 2 afu atakama mtoto kadanganya issue bado alimtia bila ridhaa yake huo bado ni ubakaji , we tena mwanamke bado unatetea ujinga
Mtoto wa maskini: mpaka sasa hakuna anae jua upi ni ukweli upi ni ujinga katika hii issue, hapa kila Mtu anasema vile ameelewa katika kusikiliza hiyo audio
 
Ujielewi wewe na naombea mtoto wako aje abakwe uone hali ikoje

Kama wewe ni mwanaume basi sio baba, na kama ni mwanamke sio mama.
Kama mkuu hajielewi mtoto wake anahusika nini hadi umwombee abakwe? ????
Wewe ndio walewale wapenda kutoa laana.
Mie huwa nashangaaga unagombana na mtu then unamtukania mama yako hivi kiuhalisia kosa la mama ni lipi huwa??? Sasa Leo ndio nimeongeza upeo wa kushangaa kwa hayo yako.

Kila mtu anahaki ya kudought, na Kila mtu anajinsi anamlea mwanae.

Hapo tukio limetokea lakini shida zipo nyingi.
1. Anasema aliamua akaekae stendi ndio afanye booking, kwani booking inahitajika kungoja hadi saa moja, huko ni kuhang mtoto wa kike sio sawa.
2. Aliamua kwenda kwa classmate wake badala ya kwa kaka yake kwanini? tena Anasema huko ndiko hushukiaga, iweje apasahau ghafla??
3. +hizo mikanganyika waliyoanisha hapo juu.

Ukiangalia hata binti kuna uhuru aliopewa ambao sio mzuri.

Ila kiukweli kama Mie ningekuwa ndio mzazi wa huyo binti, aisee huyo polisi ningedili nae vibaya sana sabab ukiacha ubakaji ningeamini ndie mwaribifu wa binti yangu.
 
Uyu jamaa kama atakama hajabaka tayari anatembea na mtoto wa shule iyo tayari ni kesi pia hata kama alikua demu wake hakustahili kumlazimisha amtie wakati demu hataki afu anaanza kushusha kipigo maana hata mkeo kama hataki ukimlazimisha hapo umebaka so nasimamia palepale acha afande akawe mwanamke kwanza uko shimoni
 
Then kaamua kutembea akapotea kakutana na msamalia mwema kaomba simu apige wakati huo ya kwake ilokuwa kwenye mfuko wenye crips imekuwaje? . Mkuu kumbuka yeye ni mtoto wa kike, aliyekutana nae hamjui, asingeza kutoa sim yake usiku ule, kwani hakuwa anamwamini mtu, wakwapuaji ni wengi mno, pia kwa usiku na kwenye uwanja katikati mtu unaweza kufanya chochote bila watu kuhisi chochote, kumbuka uwanjani kuna watu wanafanya mazozi ya tumbo, mara wamebinuka mara wamelala chali, hivyo huyo askari alitumia mwanya huo.
 
Binti alipiga kura na 16yrs?
Pole kwa yaliyokukuta!
 
Mshana jr ni nini maoni yako juu ya hawa waganga wa kienyeji...

Natumaini sijaku kosea hapa mkuu!
Sio wakweli, wengi ni wapotoshaji na wachonganishi hao wachache wakweli tiba zao zinakinzana na mafundisho ya Mungu (kwa wale waamini lakini)
 
Anasimulia bila kulia halafu hana aibu anataja hadi shule yake , bonge la movie ha ha ha halafu mawingu yamekula upepo si bure maana nikikumbuka story ya msukule naanza kukubali yale maneno ya jamaa mmoja kwamba mawingu huwa yanabebwa na upepo , mawingu aKa the industry
 
Back
Top Bottom