SOLDIER GENIUS
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 358
- 242
hii ishu sio kweli..miaka 16 yuko form six,halafu anakitambulisho cha mpiga kula,hii inawezekana vipi?
Hujui kuwa huo ndio ulikuwa mkakati wa mabadiliko especially maeneo ya kaskazini?Mtoto wa miaka kumi na sita anamiliki kitambulisho cha kura ?hii nchi bana
Oohoo Umeshaanza kuharibu asubuhi asubuhiHujui kuwa huwa ndio ulikuwa mkakati wa mabadiliko especially maeneo ya kaskazini?
Nimeharibu kwa kusema ukweli!Oohoo Umeshaanza kuharibu asubuhi asubuhi
Mbona ya nanihii kumiliki kampuni kubwa ya usafiri akiwa na miaka 9 huisemi? Ngoja tusirudi kwenye siasaNimeharibu kwa kusema ukweli!
jamaa alimbaka mpaka binti akazimia akamsubili mpaka akazinduka akambaka tena kisha akamwambia amnyonye binti aka mng'ata mpaka akahisi dam, Mh!!#babu seya na wanawe....
1. Binti wa miaka 16.
2. Anasoma form 6.
3. Anakitambulisho cha mpiga kura...
4. Amebakwa eneo la wazi kwa masaa yasiyo pungua 6
JAMANI HATA KAMA MNAENDA KUMFUNGA BWANA AFANDE JARIBU KUANGALIA SUALA HILI UPYA.