Specificity
Member
- Jan 18, 2016
- 60
- 45
Mkuu Code Breaker niambie ubakaji gani huuu??? Km ni kweli basi ni ubakaji shirikishi.
Hata mi nimewaza hivo hivo, askali alivuta Cha Arusha!Kabakwa muda mrefu.... Saa mbili hadi saa nane!!!
Upo sahihi kabisaaa nami najiuliza hapa ule uwanja upo barabarani kabisaa pana baa ile ya ffu,pembeni tena pana nyumba za ffu na ule uwanja watu huwa wanapita sana hv toka saa mbili hadi saa nane hakuna mtu alopita akawaona,anyway ukwel wanajua wao acha tuiachie mahakamaHuu ni uongo dhahiri field force kwa mrombo napajua vizuri sana. Huo uwanja anaousema haufiki hata mita20 kutoka barabarani sa hio ni sehemu ukipiga kelele usisike? Na mita kama 70 upande wa kambi kuna nyumba za askari wa ffu. No way this is a cooked story kwa hapo tu nimedharau
Kusoma ujui hata audio ujasikia anakwambia alizimia mara 2 afu atakama mtoto kadanganya issue bado alimtia bila ridhaa yake huo bado ni ubakaji , we tena mwanamke bado unatetea ujingaHata mi nimewaza hivo hivo, askali alivuta Cha Arusha!
Hapo unafikiri nini mtu ana alama za vipigo shahawa zilionekana na yule jamaa alijitokeza kutoa ushaidi pia mtoto wa shule atakama mmekubaliana iyo bado ni kubaka tu midemu ya kununua imejaa unalazimisha mtoto wa shuleMtoto wa maskini acha jazba toa hoja Sara kasema anachofikiri wewe jibu km unapafahamu na km inawezekana binti kabakwa si kila mwananke anafikiri km wewe
nimeyaona live mahojiano yake na vituo vya luninga wala si mipango ni kweli kweli tupu,masikini bint wa watu ,je akiwa makamu wa rais huyu ? daaaah dunia hiii
ipo pia you tube simu tv ya star tvNi kituo gani mkuu, utatujulisha bac kama kutakuwepo marudio
Ushahidi mzuri upo kwa maelezo ya binti alimng'ata nyeti huyo askari mpaka damu basi askari atazamwe nyeti zake kama atakutwa na jeraha la meno utakua ni ushahidi wa wazi kabisaHuu ni uongo dhahiri field force kwa mrombo napajua vizuri sana. Huo uwanja anaousema haufiki hata mita20 kutoka barabarani sa hio ni sehemu ukipiga kelele usisike? Na mita kama 70 upande wa kambi kuna nyumba za askari wa ffu. No way this is a cooked story kwa hapo tu nimedharau
Hawa watu watakuwa wanajuana.Ushahidi mzuri upo kwa maelezo ya binti alimng'ata nyeti huyo askari mpaka damu basi askari atazamwe nyeti zake kama atakutwa na jeraha la meno utakua ni ushahidi wa wazi kabisa
Hao ndio wanafunzi wanaofanya uchangu pia.huyu binti anajichanganya, kuna mahali kasema alikua na kiyambulisho cha uraia, halafu baadae akasema ni kitambulisho cha kura
ningekua mimi mahakama ningemuuliza maswali yafuatayo
1. kwanini aliazima simu ya msamaria mwema ilhali simu yake ameiweka kwenye mfuko?
2. alipoondoka na huyo askari, je alimuuliza wanapoelekea?na kama ndivyo kwa nini yeye ahakuomba msaada wa kupelekwa anapokwenda akaamua kumfata huyo askari?
3. alikua na namba ya kaka yake na aliwasiliana na kaka yake muda mfupi tu kabla ya kuelekea huko kwa akina rehema, kama aliona amepotea njia kwa nini hakumpigia kaka yake amuelekeze baada ya kuona kina rehema hawapokei sim?
3. tatu, alikua na fedha mfukoni, kwa nini hakuamua kuchukua hata gest alale mpaka asubuhi akaamua kufatana ana askari sehemu asiyoijua wakati option ya haraka pale ilikua ni yeye kurudi stend alipotokea badala ya kufatana na mtu usomjua wala hujui anakupeleka wapi eti kisa u anaonekana ni mwenyeji na ni askari
4.amesema huwa anafikia kwa akina rehema mara kwa mara, na kwamba tangu mwaka juzi hajafika ndio maana amepasahau, mimi nadhani mahali ambapo unafikia marakwa mara huwezi kupasahau kirahisi, na hata kama amepasahau nadhani angeweza kuulizia jina la mwenyeji wake baada ya kupiga sim kuona haipokelewi kwa sababu kwa akili ya kawaida tu mtu ukienda mahali ukipotea lazima uulize atlist watu wawili watatu kama wanamfahamu mwenyeji wako ukishindwa ndo uchukue option
otherwise huyo binti mi naona either anadanganya au ana akili za kitoto bado kiasi cha yeye kushindwa kujieleza
nampa pole sana
Sijampa lawama,nimempa elimu inayoweza kumsaidia siku nyingine.hiii ishajulikana mkuu hata aifiche vipi haizuiliki hujui kuna mitandao sura yake nayo ishajulikana ko usimpe lawama millard kafanya kazi yake KIKUBWA KUJIULIZA UNYAMA ALIOUFANYA HUYU MWENZETU alikosa nini mpaka kubaka?