Nimefatilia maelezo ya huyu msichana anayetajwa kubakwa na askari polisi Arusha, binafsi naona kuna mtiririko usiopinda au wa kubuni aliokuwa anasimulia huyu msichana, ingawaje suala lipo mahakamani ila naona kama kuna ukweli flani , mwanzoni nilifikiri walikuwa ni wapenzi na msichana kaamua kumgeuka na kumkomesha kumbe ni kinyume,anyway, mahakama itaamua, sikilizeni na nyie ....