Nimefatilia maelezo ya huyu msichana anayetajwa kubakwa na askari polisi Arusha, binafsi naona kuna mtiririko usiopinda au wa kubuni aliokuwa anasimulia huyu msichana, ingawaje suala lipo mahakamani ila naona kama kuna ukweli flani , mwanzoni nilifikiri walikuwa ni wapenzi na msichana kaamua kumgeuka na kumkomesha kumbe ni kinyume,anyway, mahakama itaamua, sikilizeni na nyie ....
Hivo vtambulisho vipi kasema kuna cha kupigia kura au mm ndo sijasikia vizuri coz ilisadikishwa kwamba kabaka binti wa miaka 16
Nataman kukujibu vibaya lkn acha nikuheshim sababu hatufamiani, labda waweza kua mzee zaidi yangu, ila nikuache na neno moja tu, acha ujinga, afande kapelekwa mpaka hospital kutibu dudu sasa unataka nini tena?Unasikiliza maelezo ya upande mmoja unatengeneza hitimisho nahisi umebeba boksi baadala ya kichwa ulishawahi kukutana na askari akaanza kukuzinguwa bila sababu, kwa akili ya kawaida mbakaji anaweza kumbaka mtu kutoka saa mbili usiku mpaka saa nane tena mtu azimie uendelee kumsubiri aamke umbake tena. Waza nje ya boksi lako hilo.
Wapiga kura wa ccmSo sad yan ila si walisema ana miaka 16 kitambulisho cha kura kakipata wap
Kimsingi binti bado atalika vizuri tu, mwenyew kanivutia kweli na kasauti kake, ntaenda mcheki korogwe girls pale nxt wk
Forget about the age just consider the facts if it really true it doesn't matter how old the victim is
Mtoto wa miaka kumi na sita anamiliki kitambulisho cha kura ?hii nchi bana
Ni kweli hatutetei na tunaukataa ubakaji daima na milele, yawezekana hili limetokea lakini hili linahitaji uchunguzi wa hali ya juu kama ulivyo patashaka McLover. Kwanini hakuwa tayari kupokelewa na kaka yake!?basi hata angekubali asindikizwe na kaka yake hadi huko alipokuwa willing kwenda kwakuwa muda ulikuwa umeenda. Isijekuwa walikuwa wapenzi kabla ila siku hiyo waliyokutana wakazinguana labda kutokana na kutoaminiana na wivu. Kweli ubakaji ufanyike kwa muda wa masaa zaidi ya 5?jamaa apumzike, aanze tena mmmh!napata shaka. Katika eneo hilo ingawa silifahamu vizuri muda wote huo hakuna mtu yeyote aliyepita?maswali ni mengi, lakini kama itabainika kuwa ni kweli tena kweli kabisa basi huyo askari alikuwa na kichaa.1)Bint anatumia lugha ya kisela sana
2)16 Years old, ana kitambulisho cha kura (au ndo Zile kura za maruhani ,anyway alianza form 1 na miaka 11.
3)Ni jioni ya kukaribia usiku, anaenda sehemu alofika miaka 3 iliyopita, wasichana ni wazuri kupangilia ratiba zao, kwa hali ya kawaida angepiga simu siku angalau moja kabla ya kufika Arusha .
4)Arusha mjini, kupatikane uwanja unaoweza kutumika kubaka mida ya saa 2 bila watu kujua.
☆Kakataa kwenda kwa kakaake Rama.
Sitetei ubakaji, ila taarifa sounds as if there's another side of the story.
Nimesikiliza stori nyingi za wadada waliobakwa, wanaposimulia sauti na kumbukumbu za kilichotokea huwa tofauti sana, wengi huishia kulia na kusimulia kwa aibu.
Bi dada sijui niseme yupo strong au ni confidence maana anahadithia vizuri tu.
ha ha ha haaaaa saa mbili mpaka nane jamaa anakula mashine tuu sijui alikumbuka naniliu masikini ya Mungu!!Kesi imenyooka hiyo.Shahidi wa kwanza ni yule mjenzi afande aliyempiga biti,atapatikana kwa ile namba yake aliyokuwa anawapigia wenyeji wa huyo binti.Wafanyakazi wa sheli watatoa ushahidi wa mazingira na hali walyomkuta.Ripoti ya daktari juu ya binti na uume wa afande vitamaliza mchezo kwa KO.
Lakini huyo afande lazima awe mvuta bangi kubuhu maana alijiamini sana!saa mbili mpaka nane anagonga tu!
Hilo nalo linashangaza zaidi na mpangilio wa matukio.....tena anahadithia kwa furaha
Hata akijulikana kuna ubaya gani?Pole sana binti,huyo askari atakuwa kafanya unyama sana,anapaswa awe wa mfano, ushauri kwa Millard ayo siku nyingine atoe maeneo yanayoweza kumtambulisha victim kirahisi,ikiwezekana hata kuibadili sauti,maana hapo ni kama anamwanika kabisa,ni rahisi watu kumjua.
Saa mbili jioni na magari yanayopita barabarani pale unategemea apige fujo na sauti isikike? Labda awe na kipaza sauti.Huu ni uongo dhahiri field force kwa mrombo napajua vizuri sana. Huo uwanja anaousema haufiki hata mita20 kutoka barabarani sa hio ni sehemu ukipiga kelele usisike? Na mita kama 70 upande wa kambi kuna nyumba za askari wa ffu. No way this is a cooked story kwa hapo tu nimedharau