IS your LOVE safe??? SHTUKA!!! Lol

IS your LOVE safe??? SHTUKA!!! Lol

Hivi kunawatu waweza simulia mambo yao wanayofanya private na waume/wake zao mwanzo mwisho kwa rafiki zao??? Mbona ngumu kuamini!!!

...dahhh, mbona yeshakuwa kawaida tu haya tena mengine mpaka magazetini?
lakini nikikwambia kwa mtazamo wangu, wanawake wengi wapo mstari wa mbele
kuyaanika ya wenzao...

mfano, mke anamhadithia mumewe kuhusu shoga yake anavaa thongs, kafanyiwa bikini wax,
anashanga nyingi, na mengi mengineyo kuhusu huyo shoga yake kiasi cha kumuweka mumewe
kwenye fantasy world kwa huyo shoga mtu.. (hapa NN aligusia kuhusu own morals)

...unaweza sema mume anatakiwa kumzuia mkewe asimwambie upuuzi huo, lakini katika jamii
ya kisasa haya yanatokea sana.
 
Tupo karibu wote watatu. Kwanza kabisa nimekumbuka mi nilimjua huyu mpenzi wake hata kabla yake, na nilifurahi kuona wamejenga relation. Mi sina hisia za kimapenzi nae. Najua kinga ni bora kuliko tiba na ndio maana nilisema siwezi kufanya nae mautani ya kimahaba, lakini ule urafiki wa kuongea na kuspend quality time sioni kwa nini niache, so long as mpenzi wake anakua na sisi, au anajua tuko pamoja.

Shukran kwa kuwa wazi ila unadhani na yeye(mpenzi wa rafiki yako) anaweza kusema kama wewe au rafiki yako akiulizwa kuhusu urafiki wenu anaweza kujibu kama wewe bila kuwa na chembe ya wivu/wasiwasi juu yenu? Kumbuka alishawahi kukwambia japo akiwa anacheka kama ulivyosema awali juu ya ukaribu wenu.

Kama sio shida kwako hebu jitahidi kukaa mbali kidogo na huyo chalii for the sake of ua best friend.
 
Hapo kwenye red the earlier the better. Nitakutambulisha kwa ndugu na marafiki at ealierst possible to make sure that you're the right person. If you're not and if it happens you fall to one of them, then nitatafuta line nyingine mapemaaa. LOL. .

Yeah' Do that and make sure kakako woote nimeona really really early.... Just in case if it happens I don't feel guilty!lol

On the contrary, I think trust is very underrated. People talk about love and friendship with great enthusiasm but tend to forget trust and loyalty are the elements that keep them alive in the long run. Seriously, you can’t fully say you have a relationship when these are missing..

Sometimes I think loyalty is simple when compared to TRUST.... Trust is in another level; and Frankly speaking ni wapenzi wachache ambao wanafaulu inavotakiwa katika hili... Kweli vile.

Trust me. LOL. Trust is one of the best qualities a person can have. It is extremely important to any kind of relationship. I kind believe that most people who say trust is overrated are the ones who got hurt by trusting people when they shouldn't have.They think it is better to have a gaurd up then to get hurt so they say trust is overrated.

In blue... Working on it....Lmao!

I know trust is important... But is it really applied ipasavo?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
AshaDii, baada ya kufikiria upya nimeona sipo tayari kuutupilia urafiki wangu na mpenzi wa rafiki yangu just because ni mpenzi wa rafiki yangu. hakuna chochote kibaya tunacho kifanya, tuna furahia mutual company tu. na hatuna yale ya kushikana mikono au kukumbatiana hovyo. hatuchezi kwa karibu nkk. tunaongea tu kama ninavoongea na wewe hapa kuhusu kila kitu, hatuongei vya kuhamshiana hisia za kimahaba. alafu mi na yeye ni allies katika kumtakia rafiki yangu furaha!
Nikianza kuhisi kua nampenda (au yeye ananipenda) kimahaba ndio nitaacha. ila kwa sasa mi naendelea na urafiki bwana!

EMT said thank you to this useful post.
 

....wow, BJ raha kukusoma tena kwenye ulimwengu huu wa mahaba...lol
karibu bana, usipotee kihivyo
😛hoto:

Sitaki kabisa niingiliwe na rafiki/ndugu..ha ha mana ntamchakaza mtu🙂)

Thanks Mbu..lol 2011 nimeumaliza vizuri...inshallah!

Asante nimerejea kwa fujo zote, PamojA sana besti..!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Na ukiona mara kwa mara wanakuwa pamoja bila kukutaarifu.....ujue ni manyoya hayo...keshaliwa....


Shem good thing hio once in a while tukikutana hommie hua anakua na taarifa....:lol:
 

...dahhh, mbona yeshakuwa kawaida tu haya tena mengine mpaka magazetini?
lakini nikikwambia kwa mtazamo wangu, wanawake wengi wapo mstari wa mbele
kuyaanika ya wenzao...

mfano, mke anamhadithia mumewe kuhusu shoga yake anavaa thongs, kafanyiwa bikini wax,
anashanga nyingi, na mengi mengineyo kuhusu huyo shoga yake kiasi cha kumuweka mumewe
kwenye fantasy world kwa huyo shoga mtu.. (hapa NN aligusia kuhusu own morals)

...unaweza sema mume anatakiwa kumzuia mkewe asimwambie upuuzi huo, lakini katika jamii
ya kisasa haya yanatokea sana.

Hahaahahahaahaaaaa! Mbu duuu umeniacha hoi na bahati nzuri nimeshindwa kuhighlight hayo maneno yaliyonigusa kwa sababu huyu mchina kwenye hiki kitochi hajaweka hizo facility.

Lakini sidhani kama kuna mwanamke mwenye akili timamu aweza msimulia mumewe ati shoga yake sijui ana hizo thongs sijui shanga lukuki.....ili iweje? Hata hivyo kama alivyosema NN mwisho wa siku ni wewe mwenyewe ndio unatakiwa kuwajibika kwa kutokuwa mwaminifu kwa mwenza wako bila kuleta visingizio vya kujustify ubazazi wako.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
lkn big sisy unatakiwa ujiamin 2 uko kuwa insecure ndio kunaharibu kbs.
hawa wa2 nao wakiamua wameamua 2, yanajua sana yanayokuwa yanafanya bs 2.


Kid sis... Sisemi kua I am that insecure....lol.... Kuna mahala na exaggerate. On a serious note: sio kwamba eti huruhusiwi kuongea na shemejio, sio kwamba sitaki kabisa muwe peke yenu hali sipo, na sio kwamba ndio namlinda kua nikifanya hivo hataweza kutoka.... Lah! Ni ile tu kwamba mambo mengine yatokee sikua na habari na wala sio a result ya kufumbia macho! Hayo mazoea hayatakiwi yavuke mpaka.

Nilitolea mfano wa hugging... Mie nimeona meengi na najua kama rafiki yangu na Mpenzi wangu wamezoeana to the extent waweza hag mbele yangu, ina maana next time I am not there they will do more than hug.
 
Ni kweli kamanda. Kutokuwa na mipaka ni dalili ya immaturity. Mtu mzima mwenye common sense hawezi kuongelea intimacy details za love life yake.

Sikumaanisha hata kidogo kuwa mtu azungumzie sijui nyonyo za mkewe zimeumbika hivi, mihemo yake iko vile, sijui akifika kilele huwa ananikwaruza, sijui ni mtaalamu wa microphone...hapana...si hivyo hata kidogo. To me that's just TMI.

...immaturity mnh? nadhani ni attention seeker wanaojaribu ku boost self esteem zao,...psychological disorder...
We angalia hata baadhi ya thread humu mtu anakuja na maandiko oooh, kala tigo, sijui chumvini, mara idadi ya aliowafunua..inahusu nini kama sio lower self esteem...?

...kwenye ndoa mke/mume akishaanza kuhadithia hapati haki yake inavyostahili, hatosheki au amezidiwa...katika hao wanaosimuliwa kuna mmoja atavutika kutoa msaada.
 
...immaturity mnh? nadhani ni attention seeker wanaojaribu ku boost self esteem zao,...psychological disorder...
We angalia hata baadhi ya thread humu mtu anakuja na maandiko oooh, kala tigo, sijui chumvini, mara idadi ya aliowafunua..inahusu nini kama sio lower self esteem...?

...kwenye ndoa mke/mume akishaanza kuhadithia hapati haki yake inavyostahili, hatosheki au amezidiwa...katika hao wanaosimuliwa kuna mmoja atavutika kutoa msaada.

Pick your adjective...but bottom line is, it's stupid!

Mimi nina jamaa (acquaintance) ambaye hadi leo hii huwa ananisimulia akilala na mwanamke. Huwa hata siulizi. Anaanzaga mwenyewe tu. Na yuko kwenye mid-upper 30s. Huyo unaweza kweli ukasema yuko mature?

Maana kwangu hayo mambo ni ya shule ya msingi na labda sekondari hadi kwenye form 3 hivi. Akianzaga kunisimulia mimi huwa nasema 'ooh...'aisee'...'duuuh' n.k. Huwa namchora tu halafu kichwani najisemea huyu jamaa kweli bado hajakua! Wengine tulishakua tukayaacha hayo!
 
Hahaahahahaahaaaaa! Mbu duuu umeniacha hoi na bahati nzuri nimeshindwa kuhighlight hayo maneno yaliyonigusa kwa sababu huyu mchina kwenye hiki kitochi hajaweka hizo facility.

Lakini sidhani kama kuna mwanamke mwenye akili timamu aweza msimulia mumewe ati shoga yake sijui ana hizo thongs sijui shanga lukuki.....ili iweje? Hata hivyo kama alivyosema NN mwisho wa siku ni wewe mwenyewe ndio unatakiwa kuwajibika kwa kutokuwa mwaminifu kwa mwenza wako bila kuleta visingizio vya kujustify ubazazi wako.

...lol, usi highlight bana..mezea!

...siku hizi yanayofanyika kwenye kitchen party mnayaweka wazi, sijui tulaumu maadili,
facebook au hizo smartphone zenye video na camera?..

..tufanyeje sasa ilhali "pupwe lina msisimo kwa kondoo wenye manyoya haba?"
AshaDii nahisi kama nachakachua thread yako, acha nisepe...
 
Mwali,
Sasa ushawaunganisha si uwaache tena waendelee wenyewe :lol: au wewe upo single so unakosa kosa company?
Sikuwaunganisha, waliungana wenyewe mimi nikiwepo.
Ndio, mimi ni single, lakini hata nikiwa na mtu wangu haimaanishi kua nitawaacha marafiki wa zamani.
 
EMT said thank you to this useful post.
Watu wengine wanataka kulimit urafiki na wapenzi wao sababu ya wivu usio na msingi (sorry AshaDii, sija maanisha wewe. lol).
Mi najua kua sina uhusiano wa kimahaba na mtu, alafu niachane nae kisa ni mpenzi wa rafiki yangu? angekua mpenzi wa mtu mngine ingekua ni sawa? kwanza mi naona ni bora jiwe rafiki ya mpenzi wa rafiki yangu kuliko niwe na rafiki wa kiume hata mpenzi wake simjui. Hapo uwezekano wa kuteleza (kama wanavo dai) utakua juu zaidi sababu huyo third party ni third party hasa, na haujali atakavo feel... lol
 
  • Thanks
Reactions: EMT
AJ katika mahusiano yangu ya kimapenzi I am always careful.... maybe too careful. Napenda mahusiano yangu ya Mapenzi hata yakivunjika, yasivunjike kwa uzembe wangu ama from my careless ness.... Hio hali ikinikuta (i believe nitai notice mara moja) kuna mawili:-


If I still Love the guy na he is worth it...

Taratibu naanza kuwaachanisha kwa kuwaweka mbali. Namfuata rafiki/ndugu yangu na kumuambia mimi na Mpenzi wangu we are on the rough kuna kitu tunaweka sawa hivo we need some "US" time na kumuomba kua sasa akae mbali kwa mda. Nitahakikisha naweka stand kwa Mpenzi wangu kua kuna mambo huyo ndugu/rafiki yamekaa vibaya hivo nitakua nae mbali na I expect him as my Man to support me kwa kuhakikisha kua ukaribu ule wa kua pamoja ama kutoka pamoja uishe. Both sides sitawapa sababu za msingi for hiii hali ni hatarishi kui disclose kwa wahusika.... If ilikua wanablend na they have feelings bila wao kunotice unakua umewaha moto OR ile kitendo cha kuwambia hutaki wawe pamoja because you don't trust them.... Pia utakua umewasha moto maana itawafanya wawe karibu for they will have one thing in common against me.... Which would be more dangerous....

Kama he is not worth it....

I wouldn't care..... Nitaangalia upepo unavoenda....

Take note AJ kua hiii kazi saana kutokea kwangu for mimi nishajiwekea kuna mipaka ya mazoea ya Mpenzi na rafiki yangu.

Honestly you technically empress me! Lol

.. I never knew you have that RIGHT STRENGTH ... si unajua sio kutumia manguvu na makelele saaana? .. which I call Wrong Strength! Maana kama ulivyo onyesha hapo if you go with wrong strength reactively, hovyohovyo ... you end up ..empowering them ...that is to say you empower the wrong in them, you empower the wrong relation .. tena kwa mikono yako mwenyewe!!lol

Hah hah .. ndio maana in my post I said ... the initial first step was crucial ... ukikosea ... umepoteza the partner!

And I think you have gone to the next final step ... TAKING THE RIGHT ACTION!!

Loh ... have seen how you calmly, patiently, with stillness, firmness and kindly (Tough Love lol)... how you separated them ... hahh hah .. I agree this was not Reaction it was ACTION ... which I believe it always works to your advantages and to their disadvantages!!

... anyway have never seen this in you ... its so clear lovely black and what!!

... One thing as you said even if it was me ... sirahisi kujikuta tunakimbizana na kuwindana ... maana nitakuwa nimejua tatizo mapema saaana ...have observed it ...in my privet time ...and done the needfull..nikichelewa sana ..then ndio ..kama hivyo ..the first two steps ...

Yes will treat it with sweet romantic toughness and firmness not the destructive toughness etc ...and its because she is mine!!

Can you call all of this ... Win the wrong in others with LOVE! ... Confront the opponent with power of LOVE ... You know where I got this eh Lol
 
Hii inanikumbusha kitu kimoja nisichokipenda kwa brother angu huwa anapenda sana kuwa-hug wake wa wadogo zake, ila binafsi nilimuambia kwamba sipendi na asirudie tena.



Alafu ni rahisi saana kwa kaka kuweza tembea na wake wa wadogo zake.... Anakua na ujanja fulani hivi, na hao wanawake kupotezea "Shikamoo shemeji" kwa saana...lol... Ni vizuri ulionesha msimamo wako.
 
Najua kwamba haijakaa vizuri, ila pamoja na mambo yote huwa nachukua tahadhari. Lakini kama kuna urafiki ambao hauna dalili ya kimahaba nadhani hamna tatizo. Sometimes unaweza ukaleta mashaka ambayo si ya lazima halafu yakakuletea matatizo.



Tz hii ni kazi saana kwa wengine kuweza control... Kama wewe waweza na huyo shemejio na ndugu yako karidhika.... then kwa kweli that is well and good. But hapo in blue ni dhahiri umeelewa kabisa ni kwa nini nimeongea hayo.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom