IS your LOVE safe??? SHTUKA!!! Lol

mmh wala hujakurupuka umewaza kama mm yan, mwisho wa siku hata shoga akikuflirt vp uamuz wa mwisho ni wako. so wa kulaumiwa si shoga ni ww.
ila pia ucloseness wenye utata ndio usiotakiwa hapa.

Tupo pamoja. Ukaribu wenye kuleta wingu la shaka nao si mzuri. Very inappropriate if you are in an exclusive relationship.

Say hi to daddy and mommy! I heard Oprah got you a trunk full of baby books.....
 
Ni kweli tupu, uamuzi wa mwisho ni wako
Ndo maana partner akicheat haina haja ya kuhangaika na 3rd party
Kama kumchinja, chinja huyo huyo aliyekusaliti
Na uaminifu kwa wanamme ni :hatari: :A S-confused1::hatari:
Here I come with my weird take on this issue!

Mimi siwezi kuibwa na mwanamke, awe rafiki wa mwanamke wangu au hata asiwe rafiki.

Ikitokea nime stray katika mahusiaono, moja kwa moja I am accountable. Hakuna cha sijui fulani alinizoea akavuka na mipaka wala yadi yadi yada kama hizo.

Nasema hivyo kwa sababu mwisho wa siku mwenye uamuzi wa kuvua suruali ni mimi (unless nibakwe na huyo baby cutie lol). Vivyo hivyo, kama mke wangu naye ka stray na tuseme rafiki yangu, acquintance, co-worker, stranger, etc., yeye ndiyo wa kubeba lawama na kuwajibishwa, mwanzo mwisho.

Zaidi ya hapo ni longo longo tu za kutafuta scapegoats na kukwepa uwajibikaji. So that's my weird take on it. If I'm way off the mark of what is being discussed here please let me know because I have noticed that sometimes I have the propensity for 'kukurupuka' Lol.
 
Usiwe karibu sana naye, weka limits
Tena kama mie siwezi toka na wapenzi wawili afu mie niwe mtu wa 3
Huwa sifanyi kabisa hio kitu
Kongosho fikiria sisi hatujali kama tuko wa tatu au tuko kwenye party, lazima tu mimi na mpenzi wake tutakaa karibu, hadi rafiki yangu analalamika huku akicheka. kumbe maybe alimaanisha! lol

You better do it now before its too late , or else you are going to learn the hard way
Naanza leo. Just imagine hata sasa hivi nilitaka nimtumie hii link. yaani mtu wa kwanza kufikiria baada ya kuona hii article ilikua ni yeye! mmmhhh?
 
Yaani wanawake wana wizi mtupu
Tena huko Dar
Kuna chama cha wadada fulani kiko Sinza
Na jamaa yangu yuko kwenye hicho chama
Hajaolewa ila ana watoto 2
Alikuwa ananisimulia kuwa huwa wanaangalia mwanamke aliyeolewa mwenye nyodo kwenye chama chao
wanahakikisha wanakula sahani moja na mumewe

Nikajiuliza " Sasa huo umoja wa nini? Kuangusha ndoa za members?"
Lakini ndo wanavyofanya, hasa kwa wanaopenda kusema " mie na mume wangu tunacompromise..."
Its sad and crazy but true!


Kongosho tena hapo hata kushangaa huwezi.... unaangalia tu na kuwashangaa! Kwa mdada anae jitambua atajua mapema kua hicho chama; nature ya hicho chama hata kama vina faida zake kuna mambo ambayo yanarudisha saana maendeleo na saa ingine kujiboma maadili kabisa! Vitu kama mashindano ya kuvaa, kunyang'anyana waume, umbea, kila siku kuchangia shughuli... ndio hushika hatamu ya hayo makundi.... Sasa hebu imagine kupania kuingilia ndoa ya mwenzao! Na hao wakipania, ni wanaume wachacje wenye janja ya kukwepa majaribu yao....
 
Tupo pamoja. Ukaribu wenye kuleta wingu la shaka nao si mzuri. Very inappropriate if you are in an exclusive relationship.

Say hi to daddy and mommy! I heard Oprah got you a trunk full of baby books.....
hahahah zimefika lol, their very busy aftol, mamy ana show NYC na huyo jigga ndio yupo LA uko mmh.
hapa nipo na babecita 50 hapa teh.
 
Eiyer hio kwa watu wengine haijalilshi..... Jamii imebadilika saana na people don't care if you are committed or not! Kwamba sababu mtu anajua maana ya mahusiano ndo awezi fanya hivo.... Ila hapo upande wa heshima nakubali kabisa! Heshima ni kitu kizuri, kama kweli wamheshimu mwenzio huwezi fanya hivo....

Narudia tena kwa msisitizo mtu asiejua nini maana ya mahusiano na hajiheshimu HAFAI,huwezi kuniambid eti bro ana g/friend halafu nikitokea mimi anachangamka na kutaka kuoka na mimi au nikimpa apointiment anakuja fasta ila kwa mhsika anakua mzito,huyu hawezi kujua maana ya mahusiano,kwanza huyu atanifanya nisiende kwake na sitahitaji mazoea nae bro akiuliza namwambi live MPENZI WAKO MJINGA!
 
Ni weki tupu
Ndo maana partner akicheat haina haja ya kuhangaika na 3rd party
Kama kumchinja, chinja huyo huyo aliyekusaliti
Na uaminifu kwa wanamme ni :hatari: :A S-confused1::hatari:

Oh yeah..hiyo ya kugombana na mzinifu-ambata wa mwenza wako nayo ni ujinga.

Ya nini nijiweke katika harm's way kwa mtu ambaye kanidharau na kunidhalilisha? Manake unaweza kuanzisha zali na ukaishia kudundwa vile vile.

No way, siwezi pigana na mtu aliyecheat na mwenza wangu. A cheater is just not worth fighting for.
 
dont be sisy...nachomaanisha ni kwamba ulichosema ni sahihi kwani nimeona cases kibao na wala mhusika mkuu hashtuki kwamba anakula pamoja na rafiki/ndugu yake.....

Sasa nimekupata Vin...lol... No longer mad as you can see.... Care to say kama hio hali imekukuta nini utafanya?

Hata wanawake nao hawajali kabisa kama wewe ni shemeji,kaka au vp!Anakulegezea macho bila aibu!

hahahaha!!! Sasa afanyeje kama yeye hana bahati kabisa? lol

Kuna post zingine zinafurahisha sana humu.....!Trust me kuna kitu naangalia hapa!


Hope utakuja na feedbak ya nini hasa you have observed....
 
Tena kama mie siwezi toka na wapenzi wawili afu mie niwe mtu wa 3
Huwa sifanyi kabisa hio kitu

same to me,sijawahi penda kuwa kwenye kampani ya wapenzi wawili ilhali mi niko singo,iwe ni dada rafiki au nani. Likewise sipendi kuwa acompanied na mtu singo nikiwa na mpenzi wa mine,sijui ndo uchoyo.
 

....utambulisho unajenga na kubomoa na hii inatokana na tabia ya wahusika wakuu wawili, mume na mke.

Kama wahusika wakuu wanatabia ya kuyazungumza yao ya ndani kwa uwazi nje, mjue mnawapa road map
hao mashemeji kwenye mahusiano yenu. Muhimu heshima na kujiwekea mipaka nini cha kuongea nao.



Hapa Mbu naona we are speaking the same language.... Nimependa ulivotumia neno "Road Map"
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Eiyer hio kwa watu wengine haijalilshi..... Jamii imebadilika saana na people don't care if you are committed or not! Kwamba sababu mtu anajua maana ya mahusiano ndo awezi fanya hivo.... Ila hapo upande wa heshima nakubali kabisa! Heshima ni kitu kizuri, kama kweli wamheshimu mwenzio huwezi fanya hivo....

Narudia tena kwa msisitizo mtu asiejua nini maana ya mahusiano na hajiheshimu HAFAI,huwezi kuniambid eti bro ana g/friend halafu nikitokea mimi anachangamka na kutaka kuoka na mimi au nikimpa apointiment anakuja fasta ila kwa mhsika anakua mzito,huyu hawezi kujua maana ya mahusiano,kwanza huyu atanifanya nisiende kwake na sitahitaji mazoea nae bro akiuliza namwambi live MPENZI WAKO MJINGA!
 
It does not make sense.
Kwanza utakosa hata la kuongea
Unakosa pozi kabisa
same to me,sijawahi penda kuwa kwenye kampani ya wapenzi wawili ilhali mi niko singo,iwe ni dada rafiki au nani. Likewise sipendi kuwa acompanied na mtu singo nikiwa na mpenzi wa mine,sijui ndo uchoyo.
 
hahahah.... Then you don't know me at all! lol.... Nani kakuambia nitaenda hio shopping? Hivo vitu vina haraka gani? lol.... Kwa siku moja OK. But wakuta ni mara kwa mara... with my sister you talk of things even I kama sister ake have no idea.... na you always enjoy each others company! Hivi Pal unajua kuna ile una mpenzi wako but in the long run only kumfahamu rafiki ama dada/kaka only to realise you fell for the wrong person? lol (that's what I don't like to happen to me!)lolz

Hapo kwenye red the earlier the bettter. Nitakutambulisha kwa ndugu na marafiki at ealierst possible to make sure that you're the right person. If you're not and if it happens you fall to one of them, then nitatafuta line nyingine mapemaaa. LOL.

Who said selfish is always bad? It is not that I don't trust you... BUT ile to fact kua I fall for men who true Men; ina maana atakua ni Rijali.... And I know the side effects of it....loll.... If you know what I mean.... TRUST.... Is sometime sooo overated. I do not have to apply to trust in all things.... :eyebrows: FYI Siku dumb, tunabanana mpaka tufike... Labda if you are not worth a MAN and if I have proven you don't feel anything for me!

On the contrary, I think trust is very underrated. People talk about love and friendship with great enthusiasm but tend to forget trust and loyalty are the elements that keep them alive in the long run. Seriously, you can't fully say you have a relationship when these are missing.

Trust me. LOL. Trust is one of the best qualities a person can have. It is extremely important to any kind of relationship. I kind believe that m[FONT=arial, helvetica, clean, sans-serif]ost people who say trust is overrated are the ones who got hurt by trusting people when they shouldn't have.[/FONT]They think it is better to have a gaurd up then to get hurt so they say trust is overrated.

In blue please soma post # 84

Pamoja saana Pal.

Noted with a like. LOL.
 
Na ukiona mara kwa mara wanakuwa pamoja bila kukutaarifu.....ujue ni manyoya hayo...keshaliwa....
 
If I brag about my wife to my friends. And one or a couple of my them start hitting on her and eventually she gives in and strays on me, that is a reflection of her and her morals or lack thereof.

A wife who is conscious of herself and who has solid morals will not entertain any advances made to her by anybody. But I brag about you to Habibu and Habibu starts salivating over you and you end up sleeping with him, that is entirely and squarely of your own doing.

It will show that you have loose morals and that had it not been Habibu it could have been somebody else.

The same goes for husbands too! Thought I should throw this in there to ensure the perspective is balanced.
 
With that beautiful face on the Avatar? NO waaay!! lol.... Salam tu kwa mbali kid sis yatosha shemeji yenu hafai kabisa kuguswa! lol
lkn big sisy unatakiwa ujiamin 2 uko kuwa insecure ndio kunaharibu kbs.
hawa wa2 nao wakiamua wameamua 2, yanajua sana yanayokuwa yanafanya bs 2.
 



"Habari zenu wana MMU"


Siku nyingi jamani... Hoping tu wazima wa afya na that the Holidays where Great!


Kawaida a couple hua watamaniana pendana na hatimae kujikuta ni wapenzi katika urafiki (yaani Gal friend/boy friend) ama ndoa kabisa. As time goes on Mwamaume/Mwanamke humtambulisha mpenzi wake kwa watu wake baadhi wa karibu kama rafiki/ndugu ama jamaa. However kuna ile tabia ya kusema kua mmoja wa hao marafiki/ndugu ama jamaa huwa karibu zaidi na Mpenzi wa mhusika kuliko wale woote aliowahi tambulishwa..... Which in most cases is convinient and neccessary.

LAKINI kuna wakati yule mtu ambae ndio wa karibu yenu as a couple (yaani rafiki ulie mtambulisha kwa Mpenzio) anakua karibu saana na Mpenzi wako huyo. Sometimes kupita kiwango ambacho yatakiwa iwe.... Yaani hao mtu na shemejie waweza dondokeana... either kwa kupenda ama tu bahati mbaya bila wao kujua ama wao kujua.....



The following ni baadhi ya viashiria ambavo wawez observe....



  • Mpenzi wako anamzungumzia rafiki/ndugu yako kila mara mnapokua woote? Iwe faragha.... iwe katika maongezi ama popote pale... Mara ooh “D” hivi mara oooh “D” vile... mara analisema hiki mara kile na the like...



  • Unagundua kua hua waonana mara kwa mara... mara for lunch, mara shopping, mara movie watching , mara kutembeleana... Yaani ili mradi it is convinient for them to meet; they do meet bila kujali kwa frequency ipi na wala kua haupo wewe mhusika mkuu...


  • Wapo more than comfortable wakiwa pamoja..... Yaani very relaxed together. Hii waweza zaidi wasoma wakiwa kwa mbali. Mfano labda mna outing, wewe kama mhusika nyanyuka kuenda washroom OR labda kuagiza vinywaji... Kwambali wawaangalia wapo so deep in conservation... oblvious of the exsting world and people around them... Waweza chelewa several minutes kurudi pale mezani but wasi notice (if they do baaada ya mda nayo out of guilt of their pleasure)


  • Huyo rafiki yako wa karibu (hata mpenzi wako) anataka kila mtokapo nae awepo kama third party... Tena hata siku moja haji na plus one wake (or anakua wakubaraguza tu kupoteza lengo). Kokote kule nae aambatane kana kwamba kwamuhusu kote. Kila Mpenzi wako anapokusisitiza tuende na rafiki yako – ukimtafuta yupo soo ready na ataacha lolote lile.... ili mradi tu nae aje na nyie as a couple.


  • Rafiki yako yupo weird... Hapendi kabisa aongelee mambo ya mpenzi wako, OR kila saa anataka aongelee mambo ya mpenzi wako huyo. Yaaani hachoki, sifa kibao! Mara anafaa... mara wa ukweli... mara mara haziishi yaani! Ni kweli kuna ile wamsifia Mpenzi wa rafiki yako... But I do believe there are some limits to it. Hio yaweza hata kua pande zoote mbili; kwa mpenzi wako na rafiki yako pia.. Mpaka you start wondering hivi nisipokuwepo na mimi natajwa hivi hivi? Lol On top of that unakua unapokua na Mpenzi wako ama huyo rafiki yako ana details za Mpenzi/rafiki yako hata wewe hujawahi sikia kabisa!


Kama nilivosema hapo juu... Hizo ni baadhi ya viashiria... kama wewe unaepita hapa iko hivo... SHTUKA!! Kama kawa naomba ushirikiano wenu katika mada hii tuweze ongezea, punguza na rekebisha pia.



Pamoja Saana...:grouphug:



AshaDii.
Hii inanikumbusha kitu kimoja nisichokipenda kwa brother angu huwa anapenda sana kuwa-hug wake wa wadogo zake, ila binafsi nilimuambia kwamba sipendi na asirudie tena.
 
Here I come with my weird take on this issue!

Mimi siwezi kuibwa na mwanamke, awe rafiki wa mwanamke wangu au hata asiwe rafiki.

Ikitokea nime stray katika mahusiaono, moja kwa moja I am accountable. Hakuna cha sijui fulani alinizoea akavuka na mipaka wala yadi yadi yada kama hizo.

Nasema hivyo kwa sababu mwisho wa siku mwenye uamuzi wa kuvua suruali ni mimi (unless nibakwe na huyo baby cutie lol). Vivyo hivyo, kama mke wangu naye ka stray na tuseme rafiki yangu, acquintance, co-worker, stranger, etc., yeye ndiyo wa kubeba lawama na kuwajibishwa, mwanzo mwisho.

Zaidi ya hapo ni longo longo tu za kutafuta scapegoats na kukwepa uwajibikaji. So that's my weird take on it. If I'm way off the mark of what is being discussed here please let me know because I have noticed that sometimes I have the propensity for 'kukurupuka' Lol.



Nothing about scapegoating hapa.... Not about why mmoja wa hao watu ka stray.... In other words naweza tolea mfano kwamba you have a galfriend/boyfriend you have never thot having some chemistry between you two; but in the long run it just happens.

Kikubwa nazungumzia mipaka ya mazoea bana ya marafiki....na jinsi gani yaweza jenga uhusiano mpka watu hao waweza jikuta wataka kua wapenzi. Kwamba I would blame one side if in case it happens? NO! Kwamba woote ambao wajikuta katika hio hali na hatimae kulalana wanakua mmoja ndio ka force things (as per your say kuibwa) NO! Hio ni mara moja moja, BUT in most cases both parties wanao cheat on the mhusika wanakua wameridhia kabisa!

I wonder why you would ever think you are of the mark..... "Am I really that sensitive? Dah! Will have to change it seems".... And Ngabu it ain't even weird..... It is more the logical part of it.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom