IS your LOVE safe??? SHTUKA!!! Lol

IS your LOVE safe??? SHTUKA!!! Lol

Aisee...Najitetea kabisa: sina uhusiano na mpenzi wa rafiki yangu, namuona kama tu na yeye ni rafiki ila nimegundua mi ni mmoja wa watu wanao fanya hivo bila kujua. Kumbe rafiki yangu anaweza kuja fikiria kua nina uhusiano na mpenzi wake? ngoja nianze kuzingatia hizo limits...

hahahah! Wee Mwali wewe mbona wajiwahi? Alafu you are so lovable.... kweli kabisa kwa shemejio nitakuruhusu karibu kama nipo kama guide! lol
 
If I brag about my wife to my friends. And one or a couple of my them start hitting on her and eventually she gives in and strays on me, that is a reflection of her and her morals or lack thereof.

A wife who is conscious of herself and who has solid morals will not entertain any advances made to her by anybody. But I brag about you to Habibu and Habibu starts salivating over you and you end up sleeping with him, that is entirely and squarely of your own doing.

It will show that you have loose morals and that had it not been Habibu it could have been somebody else.

The same goes for husbands too! Thought I should throw this in there to ensure the perspective is balanced.

haha haha haa
 
mmmh! TZ guy hii sioni kama imekaa vyema aisee.... kwa kigezo cha hapo tu nimeweka rangi... Naomba na wewe upasome upya..... Alafu naomba nijibu.

KUA; mpenzi wako awe na tabia hio... kwamba akisikia rafiki yako aenda (hata kama alikua hataki kuenda) ananyanyuka mara moja kukubali safari... "wee unaona ni sawa tu?" yaani ina maana matakwa yako hayana nguvu lakini ya rafiki/binamu ndio yana nguvu kwa mpenzi wako?

Najua kwamba haijakaa vizuri, ila pamoja na mambo yote huwa nachukua tahadhari. Lakini kama kuna urafiki ambao hauna dalili ya kimahaba nadhani hamna tatizo. Sometimes unaweza ukaleta mashaka ambayo si ya lazima halafu yakakuletea matatizo.
 
Kuna kitu kingine hutokea.

Unadate mtu na unamwambia rafiki yako tangia mwanzo wa mahusiano
Unakuja kugundua rafiki yako analalamika unadate bf wake au umemnyang'anya bf
Lakini wewe mwenyewe hajawahi kukuambia walishawahi date au kuwa na mahusiano yeyote kati yao

Ukimuuliza anawasifia kapo yenu inapendeza, na anabisha hajawahi kuwa na mahusiano
Hiki nacho huwa ni nini?

Kwa upande wangu naona yaweza kua hiviz;

  • Anataka kukuchafulia kwa wakaribu wenu (seko ya marafiki zenu) kua ulimtoa mahala na hali sio kweli.
  • Alikua na jamaa, but wakaachana kwa sababu zao wenyewe alafu hajawahi kukuambia only to realise jamaa kaja kwako.
  • Ni kweli walikua wapenzi but aliweka siri, huyo ex akakufahamu kupitia kwake but hajawahi wakutanisha; anatemwa na kukuta he is with you.
 
Hii nayo huwa pasua kichwa

Kwa upande wangu naona yaweza kua hiviz;
  • Anataka kukuchafulia kwa wakaribu wenu (seko ya marafiki zenu) kua ulimtoa mahala na hali sio kweli.
  • Alikua na jamaa, but wakaachana kwa sababu zao wenyewe alafu hajawahi kukuambia only to realise jamaa kaja kwako.
  • Ni kweli walikua wapenzi but aliweka siri, huyo ex akakufahamu kupitia kwake but hajawahi wakutanisha; anatemwa na kukuta he is with you.
 
hahahah! Wee Mwali wewe mbona wajiwahi? Alafu you are so lovable.... kweli kabisa kwa shemejio nitakuruhusu karibu kama nipo kama guide! lol
AshaDii, baada ya kufikiria upya nimeona sipo tayari kuutupilia urafiki wangu na mpenzi wa rafiki yangu just because ni mpenzi wa rafiki yangu. hakuna chochote kibaya tunacho kifanya, tuna furahia mutual company tu. na hatuna yale ya kushikana mikono au kukumbatiana hovyo. hatuchezi kwa karibu nkk. tunaongea tu kama ninavoongea na wewe hapa kuhusu kila kitu, hatuongei vya kuhamshiana hisia za kimahaba. alafu mi na yeye ni allies katika kumtakia rafiki yangu furaha!
Nikianza kuhisi kua nampenda (au yeye ananipenda) kimahaba ndio nitaacha. ila kwa sasa mi naendelea na urafiki bwana!
 
Sasa nimekupata Vin...lol... No longer mad as you can see.... Care to say kama hio hali imekukuta nini utafanya nini?

Nimeona cases nyingi sana kwa watu wangu wa karibu....mara nyingi wahanga ni wasichana...hii inatokana na uzoefu wangu...ikitokea kwangu sitakuwa na choice zaidi ya kuquit...
 
AshaDii, baada ya kufikiria upya nimeona sipo tayari kuutupilia urafiki wangu na mpenzi wa rafiki yangu just because ni mpenzi wa rafiki yangu. hakuna chochote kibaya tunacho kifanya, tuna furahia mutual company tu. na hatuna yale ya kushikana mikono au kukumbatiana hovyo. hatuchezi kwa karibu nkk. tunaongea tu kama ninavoongea na wewe hapa kuhusu kila kitu, hatuongei vya kuhamshiana hisia za kimahaba. alafu mi na yeye ni allies katika kumtakia rafiki yangu furaha!
Nikianza kuhisi kua nampenda (au yeye ananipenda) kimahaba ndio nitaacha. ila kwa sasa mi naendelea na urafiki bwana!

Mwali dia, ukaribu fanya na shostito wako na sio na mpenzi wake. Nikweli hauna nia mbaya ila pia kujihadhali just in case. Si unajua kinga ni bora kuliko tiba?
 
Mie daima naamini kua "it is easy to fall in Love BUT really complicated to maintain it".... Hio ni moja ya sababu hata kama najua mimi ndio mimi na najiamini kua ni wake... Sibweteki kua mambo yatajipeleka yenyewe, sometimes kunahitajika extra effort hasa kulind penzi lako - Mradi tu isivuke mpka....

Mfano;

wewe BJ ni mdada mrembo, mzuri na una lips za kumvutia kila mmoja hadi wanawake wenzake.... Naweza namimi niwe mzuri, mrembo na mvuto pia... Lakini bado haitafanya nijiamini kabisa kua nimuache Mwanaume wamgu awe sambamba kabisa na wew Belinda (sori nakupenda saana BJ, But you know I love him more eeeh? lol) for the simple reason kua attraction haina adabu... waweza jikuta maeneo shawishi na wakabanjua....lol...

Alafu Belinda mbona swali lako sijaliona dear.... Ama sijaelewa?

Ni kweli mamii, kujibweteka sana siyo nzuri mana penzi/pendo linahitaji kupaliliwa kila mara. Halafu sipendi kitu cha rafiki yangu/ndugu kujifanya kamzoea sana mpenzi wangu, huwa sibakishii mtu..kwamba eeeh, hayo mazoea mabaya na siyapendi tena mbele yao wote..kwa kuwa muwazi hilo halinishindi maana kama kuna chembe chembe ya kuviziana ife na isifanyike mbele yangu..

Mazoea mabaya+mazingira = vishawishi vya uzinzi

On a note side: Ntakutumia hilo swali mumie, yaani unipe insight zako..nahisi niko katika ulimwengu ambao siufahamu kabisa, huh!..sasa hivi nakutumia.
 
If I brag about my wife to my friends. And one or a couple of my them start hitting on her and eventually she gives in and strays on me, that is a reflection of her and her morals or lack thereof.

A wife who is conscious of herself and who has solid morals will not entertain any advances made to her by anybody. But I brag about you to Habibu and Habibu starts salivating over you and you end up sleeping with him, that is entirely and squarely of your own doing.

It will show that you have loose morals and that had it not been Habibu it could have been somebody else.

The same goes for husbands too! Thought I should throw this in there to ensure the perspective is balanced.

...there should be a limit basi, maana unakuta mwingine ana brag mpaka mambo yanayohusu na kufanyika ndani ya kuta nne kwa marafiki/mashoga zake. Heshima ipo wapi sasa hapo? ...mtu anakuwa anajifungia kitanzi mwenyewe kwa kuwa tempt the evil minded.
 
Ni kweli mamii, kujibweteka sana siyo nzuri mana penzi/pendo linahitaji kupaliliwa kila mara. Halafu sipendi kitu cha rafiki yangu/ndugu kujifanya kamzoea sana mpenzi wangu, huwa sibakishii mtu..kwamba eeeh, hayo mazoea mabaya na siyapendi tena mbele yao wote..kwa kuwa muwazi hilo halinishindi maana kama kuna chembe chembe ya kuviziana ife na isifanyike mbele yangu..

Mazoea mabaya+mazingira = vishawishi vya uzinzi

On a note side: Ntakutumia hilo swali mumie, yaani unipe insight zako..nahisi niko katika ulimwengu ambao siufahamu kabisa, huh!..sasa hivi nakutumia.

....wow, BJ raha kukusoma tena kwenye ulimwengu huu wa mahaba...lol
karibu bana, usipotee kihivyo
😛hoto:
 
...there should be a limit basi, maana unakuta mwingine ana brag mpaka mambo yanayohusu na kufanyika ndani ya kuta nne kwa marafiki/mashoga zake. Heshima ipo wapi sasa hapo? ...mtu anakuwa anajifungia kitanzi mwenyewe kwa kuwa tempt the evil minded.

Hivi kunawatu waweza simulia mambo yao wanayofanya private na waume/wake zao mwanzo mwisho kwa rafiki zao??? Mbona ngumu kuamini!!!
 
...there should be a limit basi, maana unakuta mwingine ana brag mpaka mambo yanayohusu na kufanyika ndani ya kuta nne kwa marafiki/mashoga zake. Heshima ipo wapi sasa hapo? ...mtu anakuwa anajifungia kitanzi mwenyewe kwa kuwa tempt the evil minded.

Ni kweli kamanda. Kutokuwa na mipaka ni dalili ya immaturity. Mtu mzima mwenye common sense hawezi kuongelea intimacy details za love life yake.

Sikumaanisha hata kidogo kuwa mtu azungumzie sijui nyonyo za mkewe zimeumbika hivi, mihemo yake iko vile, sijui akifika kilele huwa ananikwaruza, sijui ni mtaalamu wa microphone...hapana...si hivyo hata kidogo. To me that's just TMI.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mwali dia, ukaribu fanya na shostito wako na sio na mpenzi wake. Nikweli hauna nia mbaya ila pia kujihadhali just in case. Si unajua kinga ni bora kuliko tiba?
Tupo karibu wote watatu. Kwanza kabisa nimekumbuka mi nilimjua huyu mpenzi wake hata kabla yake, na nilifurahi kuona wamejenga relation. Mi sina hisia za kimapenzi nae. Najua kinga ni bora kuliko tiba na ndio maana nilisema siwezi kufanya nae mautani ya kimahaba, lakini ule urafiki wa kuongea na kuspend quality time sioni kwa nini niache, so long as mpenzi wake anakua na sisi, au anajua tuko pamoja.
 
Mwali,

Sasa ushawaunganisha si uwaache tena waendelee wenyewe :lol: au wewe upo single so unakosa kosa company?
 
Back
Top Bottom