Inaweza kutokea lakini sio mara zote kwa bad intentions. Kwa mfano, unaweza kunitambulisha kwenu halafu nikawa close na dada yako simply because tuna-share some interests ambazo you don't share. Unawezakuta dada yako ni mshabiki mkubwa sana wa mpira, kwa hiyo on Saturdays tunaweza ku-bond in watching footie while you're out shopping for shoes for our next outing.
Hata ukiwahi kurudi utakuta mzuka wa mpira ndio kwanza umepanda na tuongelea lugha amabazo huzielewiki kwako kama offside, kujenga kibanda bila idhini ya halimashauri ya jiji, back to back defeat, screamer, two footed tackle, why always me, 4-4-2, holding midfielder, zone defending, man to man, fantasy football, scoring a ha-trick, nk.
Pia kuna wengine they're simply ladies' men. They're irresistible to most women lakini unakuta jamaa mwenyewe wala hana bad intentions. Some are simply naturally attractive to be around with. It is possible hata wewe mwenyewe umeshakutana na watu wa aina hii lakini for various reasons hukuwa close nao though you would have wished to. LOL.
But if you mind me becoming a friend of your sister, it may mean you're just insecure and selfish because you wants all my attention. LOL. Alternatively, may mean that you don't trust me. And since a relationship cannot work without trust, then inabidi uni-dump fasta or mimi nikishtuka nitaku-dump fasta x 2. LOL.
Finally, labda ufafanue kidogo neno SHTUKA kwenye sentensi yako ya mwisho. Mtu ashtuke kwa kufanya nini? Achukue hatua gani?
Pamoja Saana... - source AshaDii.