Iran kuanza kula kipondo muda wowote kuanzia sasa

Iran kuanza kula kipondo muda wowote kuanzia sasa

Jamaa lina dhulma sana

Kutoka kwenye
1. Kudondosha utawala ya Ayatollah wa kidikteta ili kuleta utawala wa demokrasia
2. Kuangamiza miundombinu ya uzalishaki nyuklia

Sasa wanatamka waziwazi kumiliki miundombinu ya mafuta na mafuta yenyewe ya Iran.

Aiseeeh! Hawa jamaa ni washenzi Sana.
Iran najua atashindwa lakini anatakiwa afanye Jambo kubwa ambalo litaacha maadui za na maumivu ya kihistoria.

Bado hajafanya Jambo hilo
 
Tupe unabii wake iliotimia kwanza
Marekani atashindwa kupitia foreigners migrants wahamiaji wanaoishi hapo na vikundi vya waasi,watakao infiltrate inside USA ambao wataanza kujitoa mhanga.

itapelekea marekani kiwafukuza wageni wote wahamiaji wote ikiwemo waafrica na hata wanafuzi wanaosoma huko na kufanya kazi..

lakini pia kupitia nchi rafiki wa IRANI na vikundi vya waasi..(URUSI ikiwemo)

vita ya hermageddon itafuatia vita vya ww3

baadae vita vya magogu...

unabii
 
Ni ukichaa tu kukaa upande wa USA na Israeli, We unaona mpaka vibaraka wao Europe wamejitenga, kwa sababu wanajua at the end beneficiary atakua ni yeye mwenyewe si mwingine
 
Marekani/Israel bado haijatimiza lengo lake la kuondoa kitisho duniani. Mazungumzo ni zuga tu, baadae mtu ale kipondo kitisho kiondoshwe!
 
Marekani atashindwa kupitia foreigners migrants wahamiaji wanaoishi hapo na vikundi vya waasi,watakao infiltrate inside USA ambao wataanza kujitoa mhanga.

itapelekea marekani kiwafukuza wageni wote wahamiaji wote ikiwemo waafrica na hata wanafuzi wanaosoma huko na kufanya kazi..

lakini pia kupitia nchi rafiki wa IRANI na vikundi vya waasi..(URUSI ikiwemo)

vita ya hermageddon itafuatia vita vya ww3

baadae vita vya magogu...

unabii

WAAFRIKA HAPA NDIPO USOKWE
WETU ULIPO
 
WAAFRIKA HAPA NDIPO USOKWE
WETU ULIPO
na vigundi vya magaidi na wahamiaji wageni wanaoishi marekani pamoja na trrrorist vikundi vya kigaidi..

Kwa wanaofuatilia habari za ufunuo wa DANIEL wanafahamu hii script ,US inakwenda kuangushwa na US dollar inakwenda kuanguka...RUSSIA+CHINA zinakwenda kuinuka...

na Vita vya tatu vya dunia vinakwenda kuanza kati ya makundi haya makuu manne
1)kundi la kwanza URUSI USSR itaungana na UKRAINE,+ CHINA +KOREA ASIA na North africa

kundi pa pili
2)USA NATO na South africa

3)kundi la tatu ambalo ni dhaifu hakina silaha ambalo litakuwa linajificha na kujihaminna vita vya wenyewe(EAST AFRICA +WEST AFRICA)

4)Kundi la nne ni ISRAEL ambayo haitapigana hii vita vya hermageddon

baada ya hii vita MPINGA KRISTO ataibuka

atakuja na suluhisho la NWO,akisaidina na nabii wa uongo na mnyama,akisaidiana na reptilian manefil nephilim na IA robots

Vita vya magogu mataifa yote yataungana kumshambulia ISRAEL KILA PANDE...

baada ya vita vya 3 vya dunia mataifa yote yataungana kumshambulia ISRAEL KUTOKA KILA PANDE KILA KONA.
 
Tufanye nini sasa ili kuepuka haya yasitokee?
 
Nukuu Kuu za JD Vance (Islamabad, Pakistan):

Aprili 12, 2026 asubuhi na mapema.

Kuhusu Msimamo wa Iran:

"Tumekaa nao usiku kucha, tukiwapa nafasi ya wazi ya kurejesha amani na utulivu katika eneo hilo. Lakini viongozi wa Iran wamechagua njia nyingine. Wamechagua kutokubali masharti yetu ambayo yalikuwa na lengo la kuifanya dunia kuwa salama."

Kuhusu Masharti ya Marekani:

"Rais Trump alikuwa wazi tangu mwanzo: Marekani haitakubali makubaliano yoyote yanayoiacha Iran na uwezo wa kutishia majirani zake au kuzuia biashara ya dunia kupitia Hormuz. Hatutoi ahadi za amani kwa maneno matupu, tunataka vitendo."

Onyo la Baadaye:

"Wamepoteza nafasi adhimu ya kidiplomasia. Sasa, hatua zinazofuata zitategemea uamuzi wa Rais Trump na uwezo wa jeshi letu kulinda maslahi ya Marekani na washirika wetu."

Mambo 3 Muhimu Aliyoyagusia (Point of Analysis):

1. Hakuna Pesa: Vance amesisitiza kuwa kwa vile wamekataa masharti, suala la kuachia zile Tsh trilioni 15.5 ($6B) zilizoko Qatar limefutwa rasmi kwenye meza.

2. Muda wa Trump: Ameweka wazi kuwa "uvumilivu wa Marekani una kikomo," akirejea ile kauli ya Trump ya kutoa wiki mbili pekee za kusitisha mapigano.

3. Hormuz: Amethibitisha kuwa Marekani haitasubiri ruhusa ya Iran kuendelea na operesheni za kusafisha Mlango-bahari wa Hormuz.
 
IRGC ndiyo wanaume wa dunia. Wazee wa kuwapelekea Moto Mashoga.
THE GENIOUS OF TRUMP- amaifinya IRAN wao sasa ndyo no:1 exporter wa oil, hi ni vita ya oil...The U.S. now is the world’s leading oil producer, producing over 13.5 million bpd in 2026, a position it has maintained since 2018.
 
Back
Top Bottom